SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Wapendwa wanachichat habari zenu? Leo ntafunguka na kujimwaga sana kuhusu mambo yaliyonitokea hivi karibuni. Mambo yalianza hapahapa chitchat niliporusha uzi huu: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ica-leyla-mwenda-angekuwa-gelfrend-wangu.html. Uzi huu ulizua jambo moja kubwa; Erotica sasa ni wangu! Tangu tumeanza kuwa pamoja maisha nayaona kwenye mwanga tofauti kabisa. Nilikuwaga na stress za aina fulani, lakini baada ya Erotica kuingia kwenye anga zangu stress na feelings negative za maisha nlizokuwa nazo zimeyeyuka! Kila mara najisikia mwepesi na mwenye furaha sana. Unajua kilichotokea? Ni kwamba Erotica ni expert lover sijapata ona pengine. The way she hugs! The way she kisses! Halafu baada ya hapo akunong'oneze kitu masikioni weee! Mwanzoni niliona kama ndoto lakini sasa naanza kuona it's real and part of my life.Sasa ije mambo ya msosi. Sijui kasomea wapi mapishi bwana! Mie napenda sana ugali kwa samaki. Anavyosonga ugali mtamu jamani huyu mama! Tena kanifundisha kula ugali wa mhogo. Eeee bwanae! Aanze na mabusu halafu akusevie ugali mhogo! Unajiona uko mbinguni.Hizo stori sasa saa mnakula na pengine kwa bahati awepo shogaake mkubwa Kaunga! ambaye ni mcheshi sana. Ni raha juu ya maraha nakwambia.
Lakini nionavyo kadri siku zinaenda Erotica anazidi kuchoka kwa sababu ya ujauzito wake. Ameshauriwa na dokta apumzike full yaani hata kuoga asiende bafuni. Ila yeye si mtu wa kupenda kukaa mahali moja. Hata hivyo kumpunguzia kazi mimi na Kaunga tupo kusaidia.
Hivi karibuni kuna kitu klitokea na kitu hicho naona kama kimemuumiza sana, hata mimi pia. Nilimfuma na picha moja ya sex aliyopiga na mjamaa. Nilipomwuliza alipatwa na kwikwi kali kisha akamwita Kaunga azungumze nami. Nilielewa, nikamwambia aichome hiyo picha kwani inanipa shida. "Itachomwa tu shemeji usitie shaka" Kaunga aliniambia. Sijui kama imechomwa ila mahug na makisses yameongezeka mno
Ni hayo tu wanachitchat. Kwangu yalianza kama uzi wa kawaida hapa ila yamegeuka kuwa makubwa! Naomba mtuombee!