Maisha Yangu Baada ya Kumpata Erotica

Mbona hujatuambia jinsi anavyodeka?
7o6cfp948846-02.jpg
Unajua Asprin? Kudeka na makomplikeshen mengine yanaishia kwenye mahug na makisses. Sionagi deko zozote!
 
Last edited by a moderator:
Kweli hayo ni mapenzi maana umeona picha ya sex lakini wala hukumaindi ila twakuonea wivu maana anaonekana ni mwanadada ambae kitandani shuhuli anaipenda :biggrin1: ndo maana hubanduki hapo haya sasa mwatarajia lini??!!
mtotowamjini usipate mawivu ya bure! Hali yake hairuhusu game. Kwa jinsi anavyonihandle, naridhika kabisa.Chezea Erotica wewe!
 
Last edited by a moderator:
Mi anachonifurahisha ni mapozi yake tu. Sijui yanaendanaje na mapozi ya Erotica
attachment.php
Nafikiri haya mapozi ndo yanampagawisha Eroticamaana namsikiaga akiniambia "turn round darling, I wanna kiss your nose! It's so lovely"
 
Last edited by a moderator:
Heheheh...sasa HYGEIA, wewe ndo mchina, mzungu ama mbongo?? maana hata kiswahili chako....
 
Last edited by a moderator:
Shemeki wa ukwelii HYGEIA mbona picha tulishaichoma long tym! Halafu kitu ninachokupendea ni uelewa wako na macare, yaani mpaka raha yaani. My Erotica is luckiest woman in the whole world.Ila unachoniboa ni uaminifu wako, khah yaani hata nikikukonyeza seriously unaipotezea kiutani! Wapi Kaizer, weekend ndio hiyo!
Shem wangu Kaunga. Smaku ya Erotica kwangu ni kali sana. Halafu Eiyer namheshimu mno!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mi hata huu uzi wa HYGEIA sijauelewa vizuri

kwa nini unahitaji maombezi yetu? LOL

halafu jamani twendeni jeshini, wamalawi wanataka ziwa lote watu tupo chit chat? hebu tukajiandikishe huko!
3_8_14.gif

mchungaji kama nakumbuka uliniambia bwana aombwa wakati wa shida na raha.. teh teh.

sasa papito Hygie ana furaha mno anahitaji maombi ya kumaintain hiio furaha.
 
Shemeki wa ukwelii HYGEIA mbona picha tulishaichoma long tym! Halafu kitu ninachokupendea ni uelewa wako na macare, yaani mpaka raha yaani. My Erotica is luckiest woman in the whole world.

Ila unachoniboa ni uaminifu wako, khah yaani hata nikikukonyeza seriously unaipotezea kiutani! Wapi Kaizer, weekend ndio hiyo!


say that again baby, yaani Hygie na Eiyer hawana tofauti. teh teh teh.
 
Wapendwa wanachichat habari zenu? Leo ntafunguka na kujimwaga sana kuhusu mambo yaliyonitokea hivi karibuni. Mambo yalianza hapahapa chitchat niliporusha uzi huu: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ica-leyla-mwenda-angekuwa-gelfrend-wangu.html. Uzi huu ulizua jambo moja kubwa; Erotica sasa ni wangu! Tangu tumeanza kuwa pamoja maisha nayaona kwenye mwanga tofauti kabisa. Nilikuwaga na stress za aina fulani, lakini baada ya Erotica kuingia kwenye anga zangu stress na feelings negative za maisha nlizokuwa nazo zimeyeyuka! Kila mara najisikia mwepesi na mwenye furaha sana. Unajua kilichotokea? Ni kwamba Erotica ni expert lover sijapata ona pengine. The way she hugs! The way she kisses! Halafu baada ya hapo akunong'oneze kitu masikioni weee! Mwanzoni niliona kama ndoto lakini sasa naanza kuona it's real and part of my life.Sasa ije mambo ya msosi. Sijui kasomea wapi mapishi bwana! Mie napenda sana ugali kwa samaki. Anavyosonga ugali mtamu jamani huyu mama! Tena kanifundisha kula ugali wa mhogo. Eeee bwanae! Aanze na mabusu halafu akusevie ugali mhogo! Unajiona uko mbinguni.Hizo stori sasa saa mnakula na pengine kwa bahati awepo shogaake mkubwa Kaunga! ambaye ni mcheshi sana. Ni raha juu ya maraha nakwambia.

Lakini nionavyo kadri siku zinaenda Erotica anazidi kuchoka kwa sababu ya ujauzito wake. Ameshauriwa na dokta apumzike full yaani hata kuoga asiende bafuni. Ila yeye si mtu wa kupenda kukaa mahali moja. Hata hivyo kumpunguzia kazi mimi na Kaunga tupo kusaidia.

Hivi karibuni kuna kitu klitokea na kitu hicho naona kama kimemuumiza sana, hata mimi pia. Nilimfuma na picha moja ya sex aliyopiga na mjamaa. Nilipomwuliza alipatwa na kwikwi kali kisha akamwita Kaunga azungumze nami. Nilielewa, nikamwambia aichome hiyo picha kwani inanipa shida. "Itachomwa tu shemeji usitie shaka" Kaunga aliniambia. Sijui kama imechomwa ila mahug na makisses yameongezeka mno

Ni hayo tu wanachitchat. Kwangu yalianza kama uzi wa kawaida hapa ila yamegeuka kuwa makubwa! Naomba mtuombee!


Caramel flavored Hygei, need i say more? you have said it all.

I will always be your Leila Mwenda for you know all my personalities

ambazo ni muhimu kwenye mimba hii. hawa watoto wanabahati sana aisee...

come this way papito. mwaaaaaaaah.
 
You picked a fine time to leave me Erotica /with four hungry children/crop in field/i ve had some bad times/lived through some sad times/but this time your hurting wont heal/you picked a fine time to leave me Erotica.
 
Back
Top Bottom