Paulo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 350
- 66
Ha ha ha yalikukuta bwana weee..... Basi sisi mwaka wetu ndo tuliokuwa wa kwanza kupangiwa mabibo hostel mwaka 2001. Mi nikatupwa mabibo na marafiki zangu wakabaki main campus. Lakini nikawa bado natokea home (mbezi beach) naenda chuo kwa karibu kama miezi miwili hivi basi ndo maclass mate zangu wa mabibo wakawa wanaeleza mambo ya mabibo yalivyokuwa hot hot na mabinti kama kina kitimoto na wengine kama mtakumbuka. Basi mi nikaona nikienda mabibo basi nitachakachua uadilifu wangu, so nikaswitch na jamaa mmoja mshamba mshamba akaenda mabibo na kunipisha campus. Basi tangu mwaka huo hadi 2005 sikuwahi kukosa accomodation main campus.
Pia nakumbuka cc ndo tuliokuwa wa kwanza kufanya matriculations ili kujoin chuo.... Challenges zilikuwa kibao kwa wwale tulio ingia 2001.
Pia nakumbuka cc ndo tuliokuwa wa kwanza kufanya matriculations ili kujoin chuo.... Challenges zilikuwa kibao kwa wwale tulio ingia 2001.