Maua yaliyopo mkabala na Mmawasiliano Tower na Hosteli za Magufuli yapunguzwe

kangesa

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
551
1,050
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.

Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba kabisa hali inayoweza kupelekea vibaka kujificha humo na kuvi.zia sisi watembea kwa miguu ndyo sana tuko na hatari dhidi ya ukwapuzi unaofanywa na vibaka hapa mjini.
 
Achana na maua. Njoo inbox 0716676060 nikakuweke mjegejo
 
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.

Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba kabisa hali inayoweza kupelekea vibaka kujificha humo na kuvi.zia sisi watembea kwa miguu ndyo sana tuko na hatari dhidi ya ukwapuzi unaofanywa na vibaka hapa mjini.
Unashani kila mtu anapita maeneo hayo, sio kila mada ni yakuweka humu, Tanzania ina watu zaidi ya 60m. Walioko maeneo tofauti tofauti, weka picha itapendeza zaidi.
 
Kama hupiti hapo unadhani inakuhusu nini?
 
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.

Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba kabisa hali inayoweza kupelekea vibaka kujificha humo na kuvi.zia sisi watembea kwa miguu ndyo sana tuko na hatari dhidi ya ukwapuzi unaofanywa na vibaka hapa mjini.
Utaambiwa faida inayopatikana kutokana na maua ni kubwa kuliko hasara watakaykusababishia vibaka
 
Yaani kabisa umeona ni tatizo hadi unaleta humu. Nyie ndo mnajengaga nyumba mnakata miti yote na hampandi hata mti mmoja
Tatizo hujaona,ikiwa nia ni kupanda miti kwanini wasipande miti? Au hujui tofauti ya namna ya upandaji wa miti na maua?
 
Back
Top Bottom