Maisha ya Hostel siku za Mwanzo Chuo kikuu

Mabibo ilikua half London ujanja wote ulikua unapatikana hapo.
 
shukuru mungu walikupiga exile tena hao ni waungwana
mi hiyo niliizoe mbaya zaidi ilionishtua nilikuwa nikiingia na
gfriend wangu aisee nasikia kama panya wanapita kwenye dari kuangali juu naona
mbona no concrete..hao panya wanapitia wapi siku ya siku shemjiyo aakaja
akaomba game kama nilivyo kuwa na upendo mtoto wa mkulima sina uchoyo nikampa
gafla nikasikia dumu la uchafu nje linasogezwa nikahisi wanakusanya uchafu nikiwa natoka kumalizia nikasikia pwaaaaaaaaaaaaaaaa
nikahisi tumevamiwa kuangalia juu ya mlango naona vijimacho zaidi ya nane nkahisi movie ama , kuna vile vinyavu watu wamechana aisee wanacchungulia kma awana akili nzuri kumbe wakati limepiga kelele walikuwa wanashindaana kupanda juu ya kifuniko..toka siku hiyo nikanunua kanga nikipiga game naweka na vimizumari vidogo vidogo akiamungu mwenzangu mmoja nae akaleta mzigo natoka klass nikkakuta watu wamepanda juu ya dumu la uchafu...nkasema loh leo zamu yangu kupanda nkakuta khanga yangu imechanwa katikati wanachofanya wanaitanua

jamani ""deo""" huyu alitutesa yaani ukiingia tu mwanamke wanakula deo mpaka unaondoka .......na wengine inasemekana walikuwa wanamlizia kwenye ukuta wakati wamesimaa pole sana bra..ila wenzio walituvua nguo live..bahati awakutugusa

mabibo ndio akufai kabisa uko loh
Wewe jamaa wewe umenifurahisha sana kwa kweli, you know how to explain for really. Kula zako 100%
 
Mambo ya exile state siyo?... Ukipigwa exile na wewe mtafutie siku umpige exile.
 
Hebu tuambie kipindi hicho wale ngedere watu niliowasikia Jana hapa..bado walikuwepo?
 
Back
Top Bottom