maisha sambamba na usaliti

kwani hujui alichokusaliti? We c ulikuwa shemeji yangu? Nadhani hapo anamaanisha kakuacha, asa hv yupo na mwingine ambaye cjatambulishwa ruttashoborwa

We mtoto tulia.
Ila mpe ukweli huo,anajidai kasahau.
Punguza munkari nitakuja kukutambulisha soon Kijino.
 
Last edited by a moderator:
kwani hujui alichokusaliti? We c ulikuwa shemeji yangu? Nadhani hapo anamaanisha kakuacha, asa hv yupo na mwingine ambaye cjatambulishwa ruttashobolwa

anajua akimaanishacho nami pia najua ila nilikua namteka ili ajiropokeshe mwenyewe,kwa ruttashobolwa kapata au kapatikana,zee lenyewe ling zinga la busha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom