maisha sambamba na usaliti

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wakubwa,
Dalili ya mafanikio katika safari yoyote ile,iwe safari ya ukombozi,safari ya kupambana na maisha n.k....Ni lazima iwe na usaliti.Rejea safari za yesu,alisalitiwa na Yuda na petro,rejea video sarafina,kuna watu walikuwa wakiwasaliti,Je umejiuliza wewe upo kwenye safari gani? Na umesha salitiwa?umewahi kusalitiwa au kusaliti?
 
mm kuna mtu namdai laki moja...
mwaka wa pili sasa huu...
sijui na huo ni usaliti?...
 
jamani,niliposema USALITI mbona wote mmewaza mapenzi tu,emu jiulize hamujawai kuwa kampan ambayo mmefulia mnasaidiana alafu mmoja akipata tu anawatenga nyie msikua nacho,au mfano mwingine chuo mnakuta mnapanga kugoma na wakati mnapanga kumbe kunawatu wanapeleka taarf juu ya mipango yenu.
 
bila kusalitiana mapenzi hayanogi, kusalitiana ni sawa na kiitikio kwenye beti!
 
Me nimeshawahi kusaliti.
Tena nilimsaliti mtoa mada Ruhazwe JR.
Ila siwezi msaliti nilie nae sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom