Maisha plus ni upuuzi, upumbavu, kupotezeana muda, umaarufu kunuka, ulimbukeni, uwizi wa idea, nk nk nk.
ningewaona wenye maana zaidi kama mngeweza kuanzisha shindano la mkoa gani una vijana wenye kubuni miradi ambayo kwa namna moja ama nyingine inamanufaa kwao ama kwa jamii husika.
Hii ingepelekea makundi ya vijana toka mikoa mbali mbali kujikusanya na kuanzisha shughuli ambazo mwisho wa mwaka zinapitiwa na kukaguliwa kisha mshindo anapewa zawadi.
hakika vijana wengi wangejiunga pmj na kufanya mambo yenye msingi na ushindani wenye faida.
Hiyo maisha plus mkiulizwa inaelimisha nini au ina faida gani mnabaki mnakodoa mijicho tu.
Umefika wakati watanzania muache kukurupukia na kudanganywa na mambo ya kigeni.
Hiyo maisha plus ni wazi kuwa kuna wahuni wachache wamecopy na kupaste.
Yaani ni marekebisho machache yamefanyika kisha wanafaidika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.