Maisha Club imeungua moto!!

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,692
5,044
11_09_f7z81m.jpg

Askari wa kikosi cha zimamoto na uokoaji wakijadiliana namna ya kuzima moto uliokuwa ukiliteketeza jengo la klabu maarufu inayojulikana kama Maisha Club lililopo Oysterbay Dar es Salaam jana mchana. Jengo hilo linalomilikiwa na Jenti Ladwa na kukodishwa na Mfanya biashara Hellen Sweya ambaye ndio mmiliki wa klabu hiyo liliteketea kabisa kwa moto huo. (Picha na Mroki Mroki).
 
Picha kwa hisani ya Mroki Mroki http://www.mrokim.blogspot.com/

1.JPG

Jamaa wakimfariji Bi. Hellen. Club ahiyo hivi karibuni ilifanyiwa ukarabati mkubwa uliogharibu ma milioni ya shilingi za Kitanzania.

2.JPG

Jengo la Cluba Maisha likionekana baada ya kuteketea kabisa kwa moto uliosababisha na hitilafu ya umeme.

1.JPG

Mmiliki wa Club Maisha mama Hellen Sweya akiwasiliana na baadhi ya jamaa zake juu ya kuungua kwa Club yake hiyo leo.
 
Mama Hellen. Janga kama hili linatukumbusha kukatia bima biashara zetu!!!!!!

Tiba
 
Ajali kama hii ikitokea,watu wote wanasikitika. Lakini swali moja hapa la kuuliza,ni kwamba, kuhusu hizi ajali za moto,how do we compare,for example ,wtih Kenya? Ajali za moto hapa zinatokea vipi ukilinganisha na Kenya au na nchi zingine?
Kwa sababu,hili ni swali ambalo aliuliza Mbunge Islam,mbunge wa CCM[nadhani],kwamba,''Mbona hizi ajali za moto zimezidi?'' Kwa sabau,kwa maoni yangu,wataalamu wa umeme,kama vile Tanesco,wana wajibu,wana jukumu la kuwaonya raia kuhusu matatizo kama haya.
Kuna ajali za moto za vibatali na mishumaa,hilo ni swala tofauti kabisa,hapa tunauliza tu kuhusu ajali za moto zinazohusu hitilafu za umeme.
Kwa sababu,these are not just statistics,there are people behind this,people who are suffering every time something like this happens.
 
Ganesh,

I feel you.

Zaidi ya hayo, pale ajali zinapotokea (even with the best of proactive protective precautions these kinds of "accidents" are bound to happen) then the question becomes how prepared are we to deal with them?

Kwa mfano, Dar kuna magari ya Zimamoto mangapi? Stations ngapi za zimamoto? Kuligawany jiji la Dar katika manispaa tofauti kumesaidiaje shughuli za Zimamoto? Mgari haya ya Zimamoto yanaweza kufika sehemu ya tukio katika muda gani (a good percent of Dar is not even reachable by these services!)
 
Pole Hellen, pole Ladwa!
kama mlikuwa makini kukata BIMA, nadhani machozi yenu hayatakuwa mengi kama msingekuwa na Bima! Kama lingekuwa jengo la serikali au taasisi ungeskia imeundwa kamati ya uchunguzi, kisha ripoti inatoka SABABU NI HITILAFU YA UMEME, lakini huwezi kusikia mkandarasi aliyefunga umeme, au Tanesco wamewajibika!!!
.....Mama weeeeee, alipata kafaida kazuri, akakatumia kufanya ukarabati ili kuongeza kiwango avune vizuri, ooh pole sana
 
Doh noma sana. Nadhani material walizotumia hazikuwa flame retardant maana hilo eneo lina zimamoto nyingi private karibu yake, ila carpet ya kichina ikishika moto hata sekunde haichukui!
 
kwa uchafuunaoendelea usiku wa manane hata bima wasilipwe
 
Doh noma sana. Nadhani material walizotumia hazikuwa flame retardant maana hilo eneo lina zimamoto nyingi private karibu yake, ila carpet ya kichina ikishika moto hata sekunde haichukui!

Hiyo ajali nadhani imesababishwa na mitambo duni ya kichina ya kudhibiti umeme. Wachina wanatumaliza na bidhaa feki. Mtu ume-invest mamilioni ya mtaji kutengeneza mdude wa kisasa na kifahari kama huo halafu unakosea stepu kwenye masuala nyeti kama mitambo ya umeme. Bora ajali imetokea mchana wakati Club imefungwa vinginevyo ingekuwa usiku wa kuamkia Jumapili wangeangamia wengi sana na mipombe waliofakamia..
 
Mama Hellen. Janga kama hili linatukumbusha kukatia bima biashara zetu!!!!!!

Tiba

Kwani zile Stika za Fire walizo-introduce juzi vipi?? wanabandika kwenye magari tu au hata kwenye nyumba
 
Jamani mi nina mtazamo tofauti na wenzangu, naona kama vile matukio ya moto yanapangwa..... Mi sidhani kama kweli itilafu za umeme ndio chanzo cha matatizo hayo kusema kweli.

Naona wafanya biashara wamejanjaruka kiasi cha kwambawanataka kulipwa na bima wajenge kitu kikali zaidi kama yule jamaa wa Paradize Bagamoyo.

Napenda kumpa pole huyo mama mwenye ukumbi na hongera pia kwa kufanikisha dili yake.....................
 
Una ushahidi mkuu?
 
Mimi niliwah kuandika humu JF na narudia tena japo binafsi sina nyumba yangu binafsi au ya biashara lakini nawauliza hata sisi wenyewe members hapa JF, ni nani ana fire extinguisher hata moja nyumbani kwake na familia wanajua kuitumia??
 
faya eksitingwisha ndo nin?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom