Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,667
- 4,993
Askari wa kikosi cha zimamoto na uokoaji wakijadiliana namna ya kuzima moto uliokuwa ukiliteketeza jengo la klabu maarufu inayojulikana kama Maisha Club lililopo Oysterbay Dar es Salaam jana mchana. Jengo hilo linalomilikiwa na Jenti Ladwa na kukodishwa na Mfanya biashara Hellen Sweya ambaye ndio mmiliki wa klabu hiyo liliteketea kabisa kwa moto huo. (Picha na Mroki Mroki).