Maisha bora kwa kila Mtanzania...?

Greek

Member
Nov 8, 2010
68
1
Jamani mi naona kama tumekaribia kufika hivi..?
Au nyie wenzangu mwaonaje?
Kikwete you bloody bastard....!
 
Nchi gizani, migogomo kila kona, hali ya usalama huko A town kesho kitendawili etc. its a molten larva.
 
Hakuna kitu hapa Tanzania. Kila siku ni afadhari ya jana tabu kila kona ya nchi. Maisha bora kwa kila FISADI.
 
Maneno mbofu mbofu tu hiyo...hata siamini kuna watu walidanganyika nayo kwa mara nyingine!
 
JK HANA UJANJA. Alitumia fedha chafu kuingia madarakani. Leo hii ataweza wapi kukemea mafisadi wakati wamemfadhili kuingia madarakani?. We need serious people to mobilise tanzanian to bring changes. The only one is Dk. Wilbrod Slaaaaaa.
 
Back
Top Bottom