Maige: CCM itakufa

Eti wazee 300 wananiuliza ninakoelekea wanifate. jaman huu ni uongo wa Maige na kama ni kweli stil kuna watz ambao wana uvivu wa kufikiri kupita kiasi.
 
Wana JF naomba mtu ayefahamu historia yake huyu Maige atumwagie humu kama; 1. Alikuwa mtabiri mashuhuri 1979-1992 2. Alifanya kazi katika kampuni ya Pacha watatu 1993-1998 ? tuweze kuangalia kama anauwezo wa kutabiri nani alimshawishi kugombea ubunge kwa ahadi ya uwaziri wa kudumu? majibu yatapatikana ktk majibu ya maswali hayo
 
President Kikwete was right to kick this dude out of the cabinet. I wonder how he even managed to make it to the cabinet in the first place.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom