Maige: CCM itakufa

Maige ungetuliza mawazo katika kipindi hiki kigumu ambacho kwa uhamuzi wowote ambao utachukua utakuwa unaambatana na Hisia na hasira.

Mwisho wa yote M4C ni Jibu Jipange unadindie ndiga kabla hakujakuchwa usiwaache na hao wazee....
 
Tabia ya kuwatuhumu na kuwahukumu wanasiasa hapa nchini bila kusikilizwa inazidi kushika kasi. Hii sio afya kwa demokrasia yetu. Tuliyaona kwa Lowasa alihukumiwa na akina Mwakyembe bila kusikilizwa, na sasa tunamuona Maige naye analalamikia hilohilo. Ni muhimu watu kupewa fursa ya kujieleza na kujitetea hata kama tuna uhakika na tuhuma zao kiasi gani. Hata akina Tarek na Tailor wamepewa haki hii kabla ya kuhukumiwa. 'Tujisahihishe'.
 
29/05/2012 ndugu baloz Hamis Kagasheki ,waziri wa mali asili na utalii amewasimamisha kazi vigogo 4 wa maliasili kwa vifo vya faru2 mwezi wa 4,pamoja na askari wa wanyamapori kibao kwa ujangili! Mh upo apo?
 
Hanu hanu leo yamekuwa haya maige!!!!???? Umeamini wacha wafu wawazike wafu wao yatatimia...wenyewe ndio mtakimaliza chama chenyu nukta.
 
siku zote mkosaji haachi kutapatapa
angekuwa clean angekaa kimya
anataka kujisafisha kwa njia ya kijinga
arudishe kwanza twiga wetu na ashirikiane na polisi kuwataja alioshirikiana nao asilete usanii
 
29/05/2012 ndugu baloz Hamis Kagasheki ,waziri wa mali asili na utalii amewasimamisha kazi vigogo 4 wa maliasili kwa vifo vya faru2 mwezi wa 4,pamoja na askari wa wanyamapori kibao kwa ujangili! Mh upo apo?
Serikali ilikuwa inasubiri KUMFUKUZA Maige kwanza ndo wawafukuze waliohusika na UJANGILI mbugani? Je, Huu ndio utawala bora?
 
Namshauri atulie la sivyo watampa kesi ahangaike nayo hadi atafirisika shauri yake!!!!
 
Waliondolewa ni wengi lalini kumbuka kina Mkulo na Omari Nundu wale ni wastaafu wakati Maige ana zaidi ya miaka 20 afike umri wa kustaafu

Ebo Maige ni mbunge bado,mwakilishi wa jimbo lake,atazidi kuwatumikia wananchi vizuri zaidi,Bw Maige Uwaziri ausomewi unapewa au unatunukiwa kama alivyokutunukia JK na akakutema.Usitafute ugonjwa wa moyo labda una lako jambo.
 
MAIGE nakushauri usome vyema msemo huu wa wahenga unaweza kukusaidia.


"It is beter to keep your mouth shut and be thought a full than opening it and remove all doubt"
 
Huyu Maige hana hoja zaidi ya kuumia alipomwagwa. Atulie tu alichokula kinatosha sana huu ni wakati wa mwingine atulize kipira.
 
Wakati anapewa uwaziri akakenea mene 32 nje hakujua chama kinakufa shwain

Sizitaki mbichi hizi
pumbavu hilo na midomo mbinuko yake kama K,yaani lenyewe lilifikiri litakuwa hapo siku zote.tataizo hakubaliani na hari ya mabadiliko
 
Maige anaonekana kuumizwa sana na kunyang'anywa Uwaziri.

Mimi nampa ushauri wa bure. Kwamba kama ana uhakika kuwa YUKO CLEAN ila tu wenzake ndani ya Chama chao cha Magamba-CCM wamemfanyia fitna,hujuma na majungu basi RUKSA KUHAMIA CHADEMA. Namwomba aingie kwenye mdundo wa CHADEMA wa VUA GAMBA,VAA GWANDA.

CHADEMA tutakuwa tumejihakikishia jimbo la Msalala kulichukua mwaka 2015. Lakini tutamkaribisha kwa tahadhari kubwa. Kama akileta porojo za Vuvuzela Shibuda tutamtimua. CHADEMA siyo kichaka cha MAFISADI.

Naamini hata uongozi wa juu wa CHADEMA hautasita kumkaribisha.

TULIHO BABA NG'WANA MAIGE!


Mimi namshauri aeleze kwanza mali alizonazo alipata wapi (bila usanii), then arudishe mara saba sabini kwa watanzania (iwe ni kwa watoto yatima, homeless etc). Baada ya hapo ndio afanye maamuzi ya kisiasa; kinyume na hapo ataendelea kuwa mzigo tu kwenye chama chochote atakachojiunga nacho.
 
Afadhali Maige mwayego Mie nakupongeza Kwa kimsihi Hasimu wako mkuu Lembei sasa mkae pamoja Kama Zamani ..
maana uwaziri ulikuvimbisha mbichwa kiasi ukamwona mzee mvi Kama panzi vile. Leo Hunao tena umekumbuka kuwa binadamu tena, kumbe uwaziri ni Kama ujinamizi flan vile, ukiupata unakuwa Limbukeni, unazuzuka kiasi kwamba mbunge mwenzako unamwona Kama panzi vile, Na mwanachi unamwona Kama kisisimizi flan ..
Sasa Maige, mpe ushauri nasaha mwenzio Sita, lau nao wakae meza moja Na mwenzake Kapuya, wao mpaka Leo hawaongei tu.. Wakubwa hugombana vibaya?
 
Uhakika sinyie ndio mnao, mnaopigana na mafisaadi, sasa nyie ndio wakumsafisha na kumpa kadi ya CDM, kwani mnauwezo wakumtoa nani aliemsafi ndani ya CCM, kazi yenu kuchukua marijecti wa CCM, mnamtamani Lowassa aje kwenu, mnaona aibu na yeye anaona aibu kuingia huko,, mnajidai Sita kawaomba aingie kwenu kawatoa nishai, kwalinganishe nyie na wazoa taka.
Mnasema CCM iko madarakani kwa vile watanzania wengi wajinga...........sasa wajinga sie hatuta wapa kura ng'oo, umaarufu wenu humu humu kwenye mablog. Tena jimbo lenu ndio hili JF.
 
CCM haiwezi kufa kwa staili hiyo....msijidanganye kabisa wala kupoteza muda CCM inawawajibisha wale wote wasiofanya yale yanayopaswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom