zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
You are missing the point somewhere, anachosema Maige ni kupewa adhabu asiyostahili, usikimbilie kumhukumu kuhusu uwaziri tu, try to think twice
Huyo anajaribu kujitetea waliochagua waone hakufanya makosa, anaelezea kuhusu kina Kamran? kwani alikuwa wapi wakati Twiga wanasafirishwa? si hapo hapo wizarani tena naibu waziri. Mbona hajazuia alipokuwa hapo, mpaka siri ilipotoka ndio anajidai yeye aliyewashika? huu ni ufinyu wa mawazo kutoka kwa Maige.
Aliyopewa Maige siyo adhabu, ni kaishindwa wizara na kaondolewa. Adhabu inamngoja atapopandishwa mahakamani na kuonekana ana hatia yoyote ile, kama hafikishwi mahakamani basi ni chachu tu za kazi lakini si adhabu.