Mahusiano yanapovunjika, wanawake ndio huumia zaidi...!

Still, not even wrong.

A bunch of gross oversimplifications that shamelessly bundle all women (and men) from all walks of life into a single narrative, without a sample space, any credible sourcing or falsifiable claim.

If you gulp this nonsense you would be excused to think that we are still living in medieval times.

You can do better than that.
 
Pia wanaume wananafasi ya kuamua lini aanze mahusiano na mwanamke mwingine lakini si hivyo kwa mwanamke. Mwanamke atabaki kusubiri mwanaume atakayekuwa tayari kumpenda na kumuoa ikiwezekana. Mwanaume akiamua kuoa kesho mwanamke lazima akubali vinginevyo ataikosa nafasi, ila mwanamke akitaka kuolewa kesho haiwezeka na akilazimisha ataikosa nafasi. Kwa mtindo huu ni lazima wawaze sana pindi uhusiano unapovunjika

Inaaminika ndani ya jamii kuwa nguzo ya uhusiano wowote ni mwanamke, hivyo unapovunjika ni aibu kwake mbele za watu ila kwa mwanaume ni sifa kubwa. Tena watu husema huyu jamaa anamsimamo sana, kamwacha mkewe baada ya kuona anamsumbua (Hata kama msumbufu alikuwa ni mwanamme)
 
Mi mbona mbona naangukia kundi la wanawake kutokana na maelezo yako khaa kumbe nina roho ya kike.
 
Kiranga,hivi tafiti za mambo kama haya ya kihisia hua zinafanywaje?
"Tafiti" my foot.

Tumuulize Mtambuzi labda.

Tena mtu anakwambia kabisa macho makavu "wanawake" bila qualification yoyote.

Kuna kipindi kimoja cha BBC (I believe it is "From Our Own Correspondence") jamaa wana parody "tafiti", kipindi kinanza kwa kusema 75% ya wasikilizaji wa kipindi hicho wako hivi na vile, turns out kumbe mtayarishaji wa kipindi alienda kunywa na rafiki zake wanne, watatu kati yao ndio wamempa kichwa cha kusema "75% ya wasikilizaji wa kipindi..."

Tafiti indeed!

Ndiyo maana mimi nauliza sample space na methodology.
 
Kuacha,Kuachwa, kuachana
Kutosa (dump!), kutoswa, kutosana

Mimi nadhani inategemea ni nini hasa kimetokea hivyo.
 
Kiranga,hujajibu swali,hujui namna tafiti zinavyofanywa au unajua?

Ninavyokwambia "tumuulize Mtambuzi labda" maana yake labda yeye ndiye anaweza kutusaidia, maana yake mimi sijui, kama ni lazima nikutafunie na kukulisha jibu.

Niambie utafanya vipi utafiti wa kujumlisha hisia za wanawake wote wa dunia nzima.
 
Kiranga,inashangaza sana unabisha usichokijua!

Hakuna yeyote anayejua chochote.

More than kubisha, ninachallenge.

Nimeuliza maswali ambayo mpaka sasa hayajapewa majibu, kwa hiyo katika suala la kujua pengine siko peke yangu, na ninashawishika kusema wote hatujui.

Na kufikiri kwamba kubisha usichokijua ni makosa ni umasikini wa mawazo tu.

Naweza kuwa sijui square root ya mbili ni nini, lakini mtu akaniambia ni nane, na nikambishia vizuri tu.
 
Kwa maoni yangu nadhani huwezi kubisha bila kuwa na 'clues' au 'guts' kuhusu jambo flani unaloliongelea..
Unapobisha kuhusu jambo au kama unavyosema kuwa una'challenge' lazima pia uwe na 'back up' kwenye arguments zako
Nashangaa sana unaposema hujui tafiti zinavyofanyika at the same time unataka utuaminishe kuwa Mtambuzi amekosea kusema asilimia kadhaa ya wanawake wako hivi au wako vile..

Mimi nadhani ukimsoma vizuri Mtambuzi unaweza kujua anamaanisha wanawake wapi..jikite zaidi kwenye 'context' utaelewa!!!
 
Last edited by a moderator:

Unajicontradict.

Unaanza kwa kusema huwezi kubisha bila ya kuwa na clue kuhusu unachobisha (nakubali, clue is not the same thing as kujua, rejea mfano wangu wa kubishia jibu la square root ya mbili bila kuijua). Halafu unaonyesha kwamba ili nibishe ni lazima nijue tafiti zinavyoendeshwa. What if hakuna tafiti kabisa, mtu anakuja na figures out of thin air, nitaanzia wapi kujua tafiti zinavyoendeshwa?

Nimemsoma vizuri Mtambuzi na sijaona popote alipoelezea kwa uzuri anaongelea wanawake wa aina gani, na hivyo kaacha tafsiri ya kwamba anaongelea wanawake wote.

Na kwa kuwa nilitaka kuwa fair kwa Mtambuzi, nimempa nafasi kadhaa atueleze anaongelea wanawake wa namna gani.

Hakufanya hivyo.

Anazidi kutufanya tuamini kwamba anatuletea habari za "ganga ongo" hapa.

Challenges zangu zimekuwa backed up na kanuni za statistics nilizozitaja hapo juu kwamba ili probability yako iwe meaningful, inabidi iwe specific.The more specific your sample space is, the more meaningful your statistics are.The more general you are (as in wanawake without further qualification) the more baloney your figures will be.

Mpaka sasa sijapewa jibu wanawake gani anaoongelea. Na hata wewe hujajibu zaidi ya ku obfuscate.

Huwezi kutaka tukubali statistics tu bila kupewa sample space wala methodology.
 
Kiranga bana,unadai "hakuna yoyote anaejua chochote",umejuaje hii?Kwa sababu kutokujua kuwa hujui ni kujua pia.Unapokataa kuhusu jambo fulani kuwa ni uongo wakati huohuo huna ukweli utakua unaelekea kwenye ukichaa.Ili ukatae kuhusu utafiti fulani ni lazima utuambie makosa yametokea wapi na utafiti sahihi unafanyikaje,lakini kumbe hata utafiti wenyewe hujui unafanyikaje!!!!Kama hujui gari linatumia maji au mafuta,akija mtu akakuambia linatumia haja ndogo ya mwanadamu utabishaje?Ukibisha ukaambiwa ili huyo anaedai ni haja ndogo awe mwongo,tuambie gari linatumia nini ukasema hujui hata nzi watakushangaa.Ili jambo au kitu kithibitishwe ni uongo ni mpaka pale itakapothibitika kwa ushahidi sio kwa nadharia.Kwa taarifa yako,Ukweli ni mwafaka baina ya MATUKIO na UHALISIA wa mambo.Sasa niambie,aliyosema Mtambuzi kwenye thread yake sio muafaka wa MATUKIO na UHALISIA????
 
Nikisema "hakuna yeyote anayejua chochote" inherently hata mie sijui chochote na sijui kwamba hakuna yeyote anayejua chochote.

Maneno yako yote yaliyobaki nayajibu kwa kusema.

Huhitaji kujua square root ya mbili ni nini (hakuna mwanadamu anayeijua kikamilifu btw) ili kujua kwamba si nane.
 
Ha,ha,ha,ha,haaa! Kiranga,narudia maneno yako "muungwana akichemka husema kuwa kachemka",fahamu kuwa ukikubali umechemka sio uzuzu ni uungwana huo ndugu yangu!
 
Last edited by a moderator:
Ha,ha,ha,ha,haaa! Kiranga,narudia maneno yako "muungwana akichemka husema kuwa kachemka",kukubali umechemka sio uzuzu ni uungwana!

Nimechemka wapi?

Kuchemka pekee ninapokuona hapa ni kusema mwenzako kachemka bila kuonyesha kachemka wapi.
 
Kiranga,Mi nadhani niwaachie wengine waje wakuambie ulipochemka maana najichosha bure,acha nifanye shughuli nyingine!!
 
Last edited by a moderator:
Kiranga,Mi nadhani niwaachie wengine waje wakuambie ulipochemka maana najichosha bure,acha nifanye shughuli nyingine!!

Mi nadhani hii ni njia nyepesi zaidi ya kukimbia bila ya kunionyesha nilipochemka kwa sababu huwezi.
 
Kuweka source kama hivi
hata kama hiyo tafiti itapingwa na wengine itasaidia sana
angalau mtu akisoma atajua hizo tafiti zilifanywa wapi
mfano ukisema tafiti ilifanya Norway itasaidia kwa mtu anaeishi
Magomeni kujua aamini hiyo tafiti au la..
 
Back
Top Bottom