Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #21
Siku hizi umekuwa NUNDA halisi kwa ubishi utadhani Kaunga .............I totally disagree mzazi.
Wanawake wanaweza ku-move on haraka sana kwa sababu ni wepesi ku-seek support kutoka kwa wanawake na wanaume pia (emotionally)
Wanawake wanaotegemea wenzi wao ndo wanaishia nahisi (Wa idadi gani?). Ngoja nimalizie sikukuu, keshooo tutajadiliana hili. Navuna ufuta
Wewe subiri tu dawa yako iko jikoni..... Wewe na huyo Kiranga wote naona mna matatizo ya macho, maana kusoma mmeshindwa hata picha kuona hamuoni.
Hebu someni tena hapa chini kwa umakini, huenda sasa mtaelewa nazungumzia jambo gani
Kwa kuangalia idadi ya watu wanaoathirika kufuatia kuvunjika kwa uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume mtu atagundua kwamba wanawake ndiyo ambao hupatwa na athari kubwa zaidi. Kwa mfano ukichukua watu ishirini, wanawake kumi ambao wameachwa na wapenzi wao na wanaume kumi ambao nao wameachwa pia na wapenzi wao, utagundua kwamba, wakati ni wanaume watatu tu kati ya hao kumi ndio watakaosumbuliwa sana na na hali hiyo, kwa wanawake idadi itakuwa ni saba kati ya hao kumi.
Last edited by a moderator: