Mahusiano: Usafi hustawisha mapenzi!

Usafi ni kwa wote tu sio wanaume tu...kuna wa wanawake wananuka kuanzia mdomo mpaka k halafu haTa hawajistukii wanataka ma care ya ma kiss na mahug na wanataka kuingiwa na chumvini...let it be equal actions.
 
haswaaaaaaaaaaaaa...
Umenena,
umesema,umezungumza,
umeandika
yaaaani ukweli mtupu hapo nakupa 100/100
sio unapishana na mwanaume kwapa inatema hadi kichefuchefu,
wengine akivua viatu soksi chafu zinatoa harufu hadi mtu unapata mafua
Chupi /boksa inanuka uvundo hadi akiingia ofisini unausikia,
kwenye daladala baadhi wakisimama tooooba kwapa zina nywele ndefu kama anataka kusokota rasta halafu za njanooooooooooooooooooooooo....

Usafi unahamasisha mapenzi, wengine watakuja na hoja ooooh mke hanisafishi, kama mwenyewe hujitunzi mkeo atakutunzaje loh

Una maneno wewe dah.....mbavu zangu jamani......kwikwi kwikwi....kwikwi kwikwi...kwikwiiiii
 
Ni kweli kabisa usafi ni jambo la muhimu katika mahusiano, utakuta mtu ananuka jasho au mdomo mpaka ukitaka kua nae unaanza kujifikiria utakabiliana vipi na hali hiyo.

Ushauri wangu ni kwamba kina kaka tujitahidi kupiga miswaki vizuri hasa sehemu za ulimi mana ndo zinaleta harufu mbaya, pia tutumie deodorant kulingana na wingi wa jasho, kama unasweat sana unaongeza kiwango, ikishindikana kila siku usiku nawa kwapa na maji ya limao au maji ya ukoko, itasaidia kupunguza harufu kwa kiwango flani.
 
Haya tena, wapi mama terry aje atie mkazo! Na msijiweke cologne wakati hamjakoga,hehehe
 
Nimekutana na msichana mrembo kweli, totoz whitiiii na mashallah ameumbika hata yale mambo yangu ya uwani kulikuwa kumekucha kabisa. Nikatafuta mbinu tukaanza urafiki wa kaka na mdogo kichwani natengeneza mitego.

Hamadi mtoto akanasa baada ya miezi 8 ya kumuandaa, mchakato uliofuata ni kukata kiu maana kinda linavutia hasa. Sikutaka haraka kama nimetoka balehe jana, baada ya wiki kadhaa hatimaye miadi ikatiki na mtoto akaanzisha mada mwenyewe.

Basi wikiend moja mtoto akaja kitaa, na bila kujivunga tukaanza michanganuo. Mambo yalikuwa safi hatua zote, shida ilianza baada mpira kuingia uwanjani, kilichofuata hapo sikuwa na hamu hata ya raundi ya pili na ikabidi baadae nikimbilie supermarket kununua Air fresher. Chumba chote kilijaa harufu ya mikojo, sikujua cha kumwambia na wala sijamuona akitilia shaka mabadiliko ya hali ya hewa pale ndani.

Hadi leo tunaendelea (anafaa sana kwa outing na show-off) lakini linapokuja suala la ile huduma huwa nakwepa, WADAU NAMSAIDIAJE HUYO MSICHANA, pole kama mpo mlioguswa ila ndo hali halisi
 
kama unaonaa anaafaa mchane laivuuu and direct,awee anapigaa usafii chini na kubadilisha gaguloo,mnunuliee mi c h u pi ya kumwagaaa,kuliko kuanzaa kumchana huku.chako kipendeee na kilindee,ukishindwaa wezako watakusaidia kutunzaa na kukisafishaa.ni hayo 2 brazaaaa kakaaa
 
Hivi unaanzaje kumwambia msichana kuwa awe anajisafisha bila kumuumiza fikra zake hasa akiwa anajiamini kuwa ni mzuri na sista duu? Hili nalo sio dogo mjue hadi nimeliweka humu nimezidiwa uwezo, na nyie mnaopiga madongo, watoto wengi wazuri siku hizi ni wale waliozaliwa miaka ya 90, tutafanyaje wakati maisha yako hivyo. Mdogo uliemzaa kwa wenzako Kakua huyo....:lol:
 
fiksiman

Jianzishie utaratibu wa kuwasafisha na sabuni ya unga kama Foma, Puff baadae unaanza kula tunda watanoga mara dufu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaanzaje kumwambia msichana kuwa awe anajisafisha bila kumuumiza fikra zake hasa akiwa anajiamini kuwa ni mzuri na sista duu? Hili nalo sio dogo mjue hadi nimeliweka humu nimezidiwa uwezo, na nyie mnaopiga madongo, watoto wengi wazuri siku hizi ni wale waliozaliwa miaka ya 90, tutafanyaje wakati maisha yako hivyo. Mdogo uliemzaa kwa wenzako Kakua huyo....:lol:

Mmh kuna kaukweli hapa..:poa Ukimwambia tu I bet hatakuwa sawa tena kama mwanzo haijalishi kama ulikuwa na nia nzuri au
 
vitamu kwasababu vidogo....wa kwako tu ndo mchafu.anza kugharamia ndugu,chupi kwa wingi perfume deoderant n.k
inawezekana alikuwa ananuka mikojo kabla hata ya game ila njaa zako zilikufanya usisikie harufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom