Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,315
- 7,730
tanzania bila ukimwi inawezekana kweli?
Sana tu dada'angu...!
tanzania bila ukimwi inawezekana kweli?
Jianzishie utaratibu wa kuwasafisha na sabuni ya unga kama Foma, Puff baadae unaanza kula tunda watanoga mara dufu.
tanzania bila ukimwi inawezekana kweli?
Kama kweli wampenda mbadilishe wewe na atafaa hata kuwa mkeo mtarajiwa.
Ila unamuabisha humu sababu umedhamiria kumchezea tu binti wa watu.
NYAMBAFUUU KABISA CHUKUA BAKORA ZAKO 60, Na usirudie kuchezea watoto wa shule.
Matokeo yameshatoka, na hawa ndio waliojaza verse za bongo fleva kwenye mtihani.Hizi shule zitafunguliwa lini?
utakufa na ukimwi wewe badili tabia..
Ahhh ahhh pole kwa kimbilia mahouse girl kaka