hivi MwanajamiiOne kapotelea wapi jamani?
cc. Nyamayao, FirstLady1, bht.....
nb. Mnakumbuka ile mipango yetu ya mwaka 47?
Hii mada nimeisoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kuna kitu nimepata na hakika kitakuwa msaada kwangu katika safari iliyopo mbele yangu.
Kinadada na kinamama mliopo hapa jamvini, naomba ushauri wenu. Iwapo umeolewa na mwanaume ambaye alikwishaoa hapo awali kisha akaachana na mkewe na kuacha watoto ambao wanajielewa.
Baada ya muda unasikia wakiambizana huyu mama yetu wa kambo si kama mama yetu yaan hiki na kile hatufanyii kama mama yetu. Laiti mama yetu angekuwepo angetufanyia. Ni kweli unaweza kuta walilelewa katika mazingira fulani ambayo wewe huwezi kufahamu.
Hiyo kauli pia unaisikia kwa mawifi na mashemeji, bora mke aliyeachana naye kuliko huyu.
Utafanyaje kuhusiana na hizo kauli?
Mpo wapi MwanajamiiOne, Nyamayao, bht, gfsonwin, @FP, FirstLady1, Fixed Point Pearl na wamama wengine hapa