Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

kwa nini ukimbie ndoa bht? kitakachonitoa kwenye ndoa ni mume peke yake, maana ndoa ni maagano yangu na yeye, zaidi ya hapo hakuna cha kunitoa.

Neno hilo FP.... Koment yako ya mwanzo naizingatia sana. Its very rich!

ucdhubutu.....unaiacha ndoa ukiwa umeshindwana na mume tu sio vinginevyo!

Nimekusoma mpendwa.....

yaani niwe mkweli kabisa, mimi ni mmoja wa watu ninayeogopa sana mtafaruku na ndugu wa mume.....huu uzoefu wenu kwenye maisha ya ndoa umenipa mwanga sana.

Frankly, when i look/think (about) at ''him''...i am so grateful to his parents!

bht, huyo kwenye avatar ni wewe unamnyonyesha mwanao? au unambembeleza alale ili uweze kuingia JF? LOL

MJ1 ni mada nzuri, na ningependa nichangie ingawa kwa kujazia kidogo kwani mengi mazuri yameshasemwa.

Binafsi naona uhusiano kati ya wake zetu na wakwe/mawifi wakati mwingine unakuwa mgumu kutokana na vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wetu. Kuna vyanzo vingi lakini tukiangalia inawezekana sisi wanaume tunatengeneza mazingira hayo hata kabla ya ndoa. Unakuta mimi nina mpenzi wangu nampenda kwa dhati na pia nataka awe ndiyo dira yangu ya maisha. Sasa kabla sijaoa nawaita mama na dada zangu eti wampitishe..yaani naleta demkrasia kwenye maisha yangu, nadhani ili ni kosa kubwa na ndiyo chanzo cha matatizo ya baadaye kwani ndugu zangu wataona wana share kwenye ndoa yangu. Nadhani kinachotakiwa ni kuwapa tu taarifa kwa busara kuwa huyu ndiye ndugu yenu niliyependezwa nae..wapende au wasipende. Full stop! Hii inawezekana nami nilifanya hivyo!

Pili tukumbuke kuunganisha familia mbili zilizoishi katika mazingira tofauti si kazi ndogo..yaani ukiweza asilimia 60% mshukuru Mungu. Sasa ni jinsi gani sisi wana ndoa tutakubali kubeba kwa pamoja yale mapungufu ya asilimia 40% ambayo tupende au tusipende haiwezekani ku balance hiyo equation..ni mitihani na yataka ujasiri na kuaminiana? Je.. kina mama wakimsema mke wangu nikae kimya? au niwafokee ili wanitenge na kuniambia nimelishwa dawa? au niwaeleweshe kuwa kutompenda wifi au mkwe ni sawa kwa asilimia 110% kutonipenda mimi.. kama watamtenga basi waanze kunitenga mimi?

Kwa haraka haraka .. Mimi binafsi nadhani wanaume tunachangia bila kujua mahusiano haya. Tuna nguvu ya kuyaboresha na pia tuna uwezo wa kuyakoleza moto. Ila tusisahau.. ili kusawazisha mambo inabidi mke na mume kuwa kitu kimoja kwenye lawama na busara. Inabidi mke na mume kuwa wakweli na uwazi utawale kwani ..baada ya ndoa ..familia zetu na wazazi wetu ..wanarudi kupunzika seat ya pili na kutuacha sisi wenyewe kwenye usukani..hawatakiwi tena kutuingilia wakati tunaendesha jahazi letu..Nawasilisha..

Shemeji.....................umenikamilishia mwanzo wa mwisho wa wiki dah........nimecheka sana. Aksante mwaya kwa observation yako.

Salamu zimefika, nikuchagulie sahani gani??

yoyote tu, muhimu iwe imejaa tu na ukila inarambika. sipendi sahani zilizozeeka na kufanya ufa.

bek to ze topik: kwa ninavyowaelewa dada zake Mbu nadhani unahitaji kujifunza mipasho kabla kuvalishwa pete na Mbu. lol
Ahahahaaaaaaaaaaa nimecheka kwa nguvu shemeji ah..uchokozi huo. Hapana hao watakuwa wa mama mwingine; ninaowafahamu mie ah........... umbeya na ukorofi niwafunze mie!!

Hahaha wallah umenichekesha klorokwini hadi nimelia! Nakuchagulia santuri ya Embakasy ya Mangelepa! au Mshenga Part 1!!

Kupitapita kwake kunanipa wazimu, hii ni wiki ya pili ninamuona
Kila mara akipita nyumbani kwangu kuelekea dukani
Sura yake ya kijapani na umbo lake kweli vinanizingua.................eh eh heee x2

Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa x2

Kichanganyio: Sherehe kubwa sana, nitaifanya nyumbani
Majibu mazuri nikipata x2
Nadhiri niliyoweka,nitaitoa siku hiyo
Hapo nitapo kubaliwaax2

Dah! shemeji unajipendelea bana! yaani umenitupia CD ya ushenga? nilizani utanipatia inayohusu honeymoon?

Dah! shemeji unajipendelea bana! yaani umenitupia CD ya ushenga? nilizani utanipatia inayohusu honeymoon?

Hahaha indirect proposal shemeji........ huyu bwana naona anachelewa hajui amtume nani LOL. Shemeji umesahau mwanzo wa kumi ni moja? Honeymoon yaanza na ushenga LOL.

.............. BTW: Shemeji hivi ndo waletewa weye kesi weye, huyo mwenzangu anakushtakia, mama (mama yako/dada zako) wamemchakachua....kapika wamebeza chakula, kavaa katoka wanacheka na kuyatoa ya eheee.....shukuru Mungu kaka kakusitiri!! AU mama/dada anakuja kulalamika kwako,...mkeo kamjibu hovyo au kamkosea heshma...wafanyafanyaje vile tukifikiria? mh?

khaa sisteri hujachacha!
bht acha tu mpenzi wangu, yale maswaiba ya jana ndo yanaondolewa na shemeji yangu hapa Klorokwin ah!! kweli nimecheka alivyoiweka hiyo .....anavyowajua dada zake Mbu. Sipati picha mwenyewe akija hilo fukuto hahaha. Mi cmo

• Thanks
Reactions: Mbu

shemeji hii mada inataka utulivu na ndio maana naikwepa kwepa kwa vile muda na majukumu hayaruhusu, lakini nadhani :-

Mume: anabeba jukumu la kuonesha thamani ya mke wake kwa familia, kama mume atamjengea mazingira ya mke wake kupendwa, beleive me atapendwa na familia. Mume anaweza akampa hela mke wake anunue zawadi kisha aipe familia na idanganyike kuwa mke ndio katoa hiyo zawadi ili kujenga upendo n.k

Mke: anabeba jukumu la kujipendekeza kwa familia, ajielewe kuwa yeye ni mgeni na hao ndio wenyeji wake, akeep low always na asikurupuke kutaka kumtawala mume au familia, wanasaikolojia wanasema " everyone on earth is lovable" na mimi naamini hivyo, ni vile tu mtu unavyojiweka.

Familia/ wifi/ wazazi: wanabeba jukumu la kurekebisha na sio kutawala mahusiano ya mume mtu, wanacholazimika ni kurekebisha kupitia mtoto wao na sio kukabiliana na mke wa mtoto wao na kumkebehi na kumkejeli. haitojenga bali itabomoa.

kama kila mtu atachukua jukumu lake hapo juu, na kama mume atawaelewesha familia yake hayo hapo juu basi naamini mivutano itazikwa kabla kuzaliwa. Trust me inawork.

Mimi kwenye mivutano ya kifamilia basi lawama 80% namtupia mume mtu.

hehehehhe nimejitahidi lakini usishangae kumbe nimeandika pumba tupu. Mnisamehe tu wajameni!

Duh asa shemeji yangu hazina hii ulitaka kutunyima afu tungekuletea kesi huko mbele ya safari ungemlaumu nani?! Ngoja niiprint for future use! Aksante sana shem

So kila mtu ana role ya kuplay kwenye hii "Wife-inlaw" relationship eh! Ubarikiwe shemeji

bht acha tu mpenzi wangu, yale maswaiba ya jana ndo yanaondolewa na shemeji yangu hapa Klorokwin ah!! kweli nimecheka alivyoiweka hiyo .....anavyowajua dada zake Mbu. Sipati picha mwenyewe akija hilo fukuto hahaha. Mi cmo

lol....umenikumbusha! ulifanya msako wee sungusungu ku recover mali za msukule?....aaah jamani mi nacheka tu hapa.

Hivi mpendwa, shemeji ndo klorokwini, hao mawifi yee Mungu?

Eti wadogo zake Mbu lazima ujue taarab....lol!
Mtafute mzee yusufu akupige brush fasta!

Klorokwini....seriously, sijawahi kukusoma mahali umeandika kwa mkazo ulotumia hapo!

Shukrani saaana (hapa utani kando kabisa)...kumbe kuna wakati unachukulia maisha seriously eeh....i will not avoid you then!

sjui kwanini nikikutana na sredi za MJ1 na Mbu nakuwa serious? nitareport hii hali kwa mods!

• Thanks
Reactions: Mbu
lol....umenikumbusha! ulifanya msako wee sungusungu ku recover mali za msukule?....aaah jamani mi nacheka tu hapa.

Hivi mpendwa, shemeji ndo klorokwini, hao mawifi yee Mungu?

Eti wadogo zake Mbu lazima ujue taarab....lol!
Mtafute mzee yusufu akupige brush fasta!

..............Hahaha hata sijui amefia wapi ah........mie sungusungu hebu anipe pumzi mie!! alishazichezea vya kutosha sasa nimezinduka!
Huyu Klorokwin anamtania Mbu, nadhani atakuwa mtani wake huyu loh......kama najiona ...ngo, ngo ngo Mzee Yusuph! Ah Klorokwini ana visa kwa kweli.

Klorokwini....seriously, sijawahi kukusoma mahali umeandika kwa mkazo ulotumia hapo!

Shukrani saaana (hapa utani kando kabisa)...kumbe kuna wakati unachukulia maisha seriously eeh....i will not avoid you then!

....................Bora nawe umeliona hili maana mie nimebaki mdomo wazi! Afu anaconclude kuwa ni pumba!!! Anafanya mchezo huyu!!

MJ1....lol! Basi achana na msukule (wakati tuko wadogo kuonyesha umekinyaka kidhungu kidogo utaskia....golden chance never come twice...lol! Kaipoteza hiyo)

Hii mada kwa kweli kiboko, hizo 'pumba' za shemejio kiboko.

Back
Top Bottom