Mahusiano na UKIMWI.

Jamani hiyo God Forbid yenu Geoff na Grandpa mmenifanya nicheke pamoja na hasira zangu zoote za leo.
 
KATIKA VITU AMBAVYO WANAWAKE HUKOSEA NA KUOONYESHA UDHAIFU MKUBWA ni kuanzisha hiyo hoja ya kutumia condoms kwenye ndoa

Umeungwa mkono hapa kiongozi.

Hakuna udhalilishaji na kufuru mbaya kwa SAKRAMENTI TAKATIFU YA NDOA kama kutumia kondom!

Anayebisha hapa na athubutu kupanua kinywa chake aseme MUNGU ALIKOSEA.

Halafu tutaona kama atakuwa nami, na Abraham na Isaka na Yakobo na Bikira Maria na Mfalme Suleiman mbele ya kiti cha Enzi siku hiyo ikifika.
 
Hahahha kuna siku nilisikiliza Leo tena, it was last week kama sikosei. Mke ndo alianza kuugua kwa vitendo i.e. kuonyesha kuwa kaambukizwa, mume akamrudisha kwa wazazi wake kwa kejeli kibao kuwa mkewe kapata UKIMWI na hivyo wamuuguze mtoto wao yeye hamtambui tena. Mke akauguzwa na wzazi wake na kuanza kutumia ART. Baaada ya muda akapona na kupanga chumba chake. then baba alipoanzakuumwa akarudi kupiga goti kwa mke.

ucje kuniambia wife alimsamehe......
 
Jamani hiyo God Forbid yenu Geoff na Grandpa mmenifanya nicheke pamoja na hasira zangu zoote za leo.
Ndio ubaya wa hii JF version 2.
Kajukuu hapo najua ungenigongea kale ka fevareri batan ketu ka kipindi kile.....
 
Natamani WOS anipe mbinu mbadala za kumshawishi shemeji yenu matumizi ya kondomu
WOS NITUMIE AJENDA KWENYE PM PLS ..
 
Umeungwa mkono hapa kiongozi.

Hakuna udhalilishaji na kufuru mbaya kwa SAKRAMENTI TAKATIFU YA NDOA kama kutumia kondom!

Anayebisha hapa na athubutu kupanua kinywa chake aseme MUNGU ALIKOSEA.

Halafu tutaona kama atakuwa nami, na Abraham na Isaka na Yakobo na Bikira Maria na Mfalme Suleiman mbele ya kiti cha Enzi siku hiyo ikifika.

umenena hapo jibaba!.....
mwanamume akishasikia habari ya CONDOM KUTOKA KWA MKE WAKE WA NDOA.....!HEHEHEHEHE,sijui kwakweli
hakika SIJUI KWAKWELI!
SIJUI
labda hao wanandoa hawakwenda semina msimbazi senta
 
Nadhani sasa wametuelewa.

Hede hede hede!!!!

Ukichezewa hiyo kitu ujue ndio umevunja mkataba na KONDOM!!!
 
Umeungwa mkono hapa kiongozi.

Hakuna udhalilishaji na kufuru mbaya kwa SAKRAMENTI TAKATIFU YA NDOA kama kutumia kondom!

Anayebisha hapa na athubutu kupanua kinywa chake aseme MUNGU ALIKOSEA.

Halafu tutaona kama atakuwa nami, na Abraham na Isaka na Yakobo na Bikira Maria na Mfalme Suleiman mbele ya kiti cha Enzi siku hiyo ikifika.

hakukosea bali binadamu ndio mnamkosea....itabidi tu iwe hivyo.
 
umenena hapo jibaba!.....
mwanamume akishasikia habari ya CONDOM KUTOKA KWA MKE WAKE WA NDOA.....!HEHEHEHEHE,sijui kwakweli
hakika SIJUI KWAKWELI!
SIJUI
labda hao wanandoa hawakwenda semina msimbazi senta

hizo semina ziliwafundisha na kutotulia kwenye ndoa zenu pia?
 
hakukosea bali binadamu ndio mnamkosea....itabidi tu iwe hivyo.

Umenena vema.

Sasa tubu na kuikana kondom katika sakramenti takatifu ya ndoa!

Nawe utaungana nami katika ufalme wa Mungu siku hiyo ikifika!
 
Naona jamvi lemechangamka.

Ngoja sasa nisepe. Mkoloni kakamata sehemu mbaya...
 
Umenena vema.

Sasa tubu na kuikana kondom katika sakramenti takatifu ya ndoa!

Nawe utaungana nami katika ufalme wa Mungu siku hiyo ikifika!

hapa ishu inabidi tu iwe kinga coz na nyie mnasema tutake uctake mnakiduana nje, sasa c ndio kuleteana maradhi huko, unaonaje tuki introduce hii kitu ili kila mmoja ajifie kivyake?
 
HAPA MAMAANGU NIKUKUMBUSHE TU(kwa exiperience yako najua sina cha kukuelekeza kabisa),
1-wanaume hawako tayari kutumia kondoms kwenye ndoa zao,LABDA TU KUWE NA TATIZO NA WAMEKUWA INSTRUCTED TO DO SO
2-wanaume kuhusu ''kazi za nje''.....!well,ukweli ni kwamba THERE IS NOTHING YOU WOMEN CAN DO ABOUT IT!.....it is something INEVITABLE
3-na kama point nr 1 tajwa hapo juu ni sahihi hasa hasa tukijua nini maana ya NDOA.....na kama point nr 2 tajwa hapo juu ni sahihi hasa hasa mwanamke mwenye ndoa akiithibitisha.......!WOMEN SHOULD ADVISE MEN(remind them again and again) to condomise whenever they have sex OUTSIDE THEIR MARRIAGES.....!(naomba ieleweke kwamba SEX WATAFANYA TU,hata ukidhani hawafanyi...WAO WANAFANYA)

NA NDIO HAPO.... ITS KNOWN FOR A FACT THAT MEN DO CHEAT ( WAPO PIA WANAWAKE WANAOCHEAT MAANA HAO WANAUME SI WANA CHEAT NA WANAWAKE? hata kama wako wanao cheat na wanaume!)..... kumpa mkeo mzigo wa kukumbushia ati ukiwa na kazi za nje utumie condom ni mzigo usiokuwa na sababu.The bottomline kila mtu akili kichwani how to deal na mwanaume/mwanamke wake ili awe salama.

Back
Top Bottom