Mahusiano na UKIMWI.

Usagaji nalo neno- so far studies zilizofanyika zimeangalia tu HIV transmission kati ya heterosexuals na wale Men having sex with men (ukiachilia mbali drug users) sijasikia lolote juu ya wasagaji- to what extend and how wanawezakuambukizana- mwenye information naomba anijuze!

Do you know the process?:rolleyez:
 
mie bwana nasema kila mtu afanye awezalo kujikinga na hili gonjwa kwa wale wafanyao ngono zembe....

Mi huwa nashindwa kuelewa mnapo sema ngono zembe,
Yaani ngono zembe jamaa ameshindwa kudo ze nidiful au inakuwaje?
Au kala mzigo kiuzembe uzembe ndo mnasema ngono zembe?
 
Hili swali kiboko kwakweli fidel
 
Mi huwa nashindwa kuelewa mnapo sema ngono zembe,
Yaani ngono zembe jamaa ameshindwa kudo ze nidiful au inakuwaje?
Au kala mzigo kiuzembe uzembe ndo mnasema ngono zembe?

cha kwanza utajidai unatumia kinga, cha pili umeshamwamini unacheza rafu....umenimanya?
 
Hii sredi mimi sijaielewa kabisa, mnaongelea kinga... kuna chanjo mpya ya watoto au?? na hii Kondomu ni fasheni mpya ya vijana ehh?
 
Kaizer hebu tunarratie hiyo process ya usagaji maana wengine mbado kuona ila tunasikia kuwa kuna kugaiana mipingo au artificial naniiliu) na kuzama na kuibuka vyumvini. Sasa bado sijaelewa kama hiyo mipingo inatumika kwa wote na kama inasababisha michubuko!! (Ah sijui nimeharibu thread?? Ah mi sijui bana maana hili nikichanganyikana na ibada ya mkuu wa nchi ah ni balaa kabisa
 
cha kwanza utajidai unatumia kinga, cha pili umeshamwamini unacheza rafu....umenimanya?

Kwa kufanya hivyo ndo muite ngono zembe?
Si wao wawili wameamua kula kavu peremende! Hapo mtu anae shindwa kutongoza mnamwitaje vile?
 
Usagaji nalo neno- so far studies zilizofanyika zimeangalia tu HIV transmission kati ya heterosexuals na wale Men having sex with men (ukiachilia mbali drug users) sijasikia lolote juu ya wasagaji- to what extend and how wanawezakuambukizana- mwenye information naomba anijuze!

Unajua Fizikia?
Wanasema - kwa - zinakwepana hivyo hata + kwa + zinakwepana pia.
Kwa minajili hiyo wana sayansi mpaka sasa wamechemka kwa nn hawa jamaa hawapati ngoma?
 
Kwa kufanya hivyo ndo muite ngono zembe?
Si wao wawili wameamua kula kavu peremende! Hapo mtu anae shindwa kutongoza mnamwitaje vile?

ndio ngono zembe hiyo sasa....mhh bado unatongozaga kwa kuimbisha tu, uwe una2mia vitendo,cna hakika kama nimewah kutongozwa kwa hiyo cna jibu luv.
 
Wamefanya uzembe gani hapo wakati wameamua wenyewe kwa ridhaa yao bila kusurutishwa na mtu!
Mm huwa sitongozi kabisaaa zile nakupendaga sana dah na wala sikumbuki unaanzaje kutongoza mm huwa nashtukia tayari na mega tu tumekubalianaje wala sijui nashtukia tupo rumu.
 
unakumbuka condom?
 
aaah bora nipate elimu ya afya yangu huku maana mengine hayawezekani ...................
 
Back
Top Bottom