Hapa sasa!
Kwa kifupi..kuna vipengele vingi mno kwenye maambukizi ya VVU na UKIMWI hayazungumzwi wala kuwekwa kwenye programming.
Ndio maana huu mpango mpya wa 2008-2012 National Multi Sectoral Strategic Framework on HIV/AIDS imeliona hili na kuliwekea mkakati ili kuwalenga wale waliokuwa hawafikiwi - MSM/ mashoga, watumia dawa za kulevya nakadhalika kitu ambacho mikakati iliyotangulia hakuzingatia.
Sasa hivi kuna idadi kubwa sana ya MSM (Men having Sex with Men) .Tutashangaa lakini ni ukweli kuwa ni wengi kuliko tunavyodhania - wapo wenye maradaka/vyeo - wenye kuheshimika katika jamii lakini wanafuga vijana waogo wa kiume.Ni kitu nakiongea kwa kujiamini - sijaambiwa na mtu bali nimeweza kuongea na baadhi ya vijana hao kama walivyoongea na Radio Clouds jana! Mmoja wa vijana hao aliweza hata kusema kuwa ameambukizwa lakini " mwanaume" wake hajui na pia huwa ana cheat na wanaume wengine pale mwanaume wake akisafiri.
Wanandoa nadhani wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko wale wasiokuwa ndani ya ndoa.Hivyo wanandoa jihadharini TUMIENI KINGA HATA KAMA MMEOANA!
Ni kweli De Novo wote tuko katika risk but tukisema mtu akiamua kuwa makini na maisha yake kwa hali halisi mtu single anaweza akasimama na kujilinda tofauti na married kwani inatengemea na partner wako!! Sasa mfano hao waume ambao wanachukua mashoga wakati wake zao wako masomoni au safarini au wake wanaotoka na watu wengine aka ving'asti, mabuzi (sijui kama bado hili jina latumika) wote hao partners zao wanajiamini kuwa wako salama.
single ,married wote tuko katika hatari kubwa sana ya kuambukiza Ukimwi jambo moja ni uaminifu ..hakuna kundi lenye unafuu .
Hapa sasa!
Kwa kifupi..kuna vipengele vingi mno kwenye maambukizi ya VVU na UKIMWI hayazungumzwi wala kuwekwa kwenye programming.
Ndio maana huu mpango mpya wa 2008-2012 National Multi Sectoral Strategic Framework on HIV/AIDS imeliona hili na kuliwekea mkakati ili kuwalenga wale waliokuwa hawafikiwi - MSM/ mashoga, watumia dawa za kulevya nakadhalika kitu ambacho mikakati iliyotangulia hakuzingatia.
Sasa hivi kuna idadi kubwa sana ya MSM (Men having Sex with Men) .Tutashangaa lakini ni ukweli kuwa ni wengi kuliko tunavyodhania - wapo wenye maradaka/vyeo - wenye kuheshimika katika jamii lakini wanafuga vijana waogo wa kiume.Ni kitu nakiongea kwa kujiamini - sijaambiwa na mtu bali nimeweza kuongea na baadhi ya vijana hao kama walivyoongea na Radio Clouds jana! Mmoja wa vijana hao aliweza hata kusema kuwa ameambukizwa lakini " mwanaume" wake hajui na pia huwa ana cheat na wanaume wengine pale mwanaume wake akisafiri.
Wanandoa nadhani wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko wale wasiokuwa ndani ya ndoa.Hivyo wanandoa jihadharini TUMIENI KINGA HATA KAMA MMEOANA!
Aksante messUkweli unabaki pale pale wanandoa wapo kwenye risk saaanakwa sababu zifuatazo. 1. huwezi ukasema leo tuanze kutumia condom from no where 2. Huwezi kumkimbia mwenzi wako kwa kujifanya uko bize sana na kumtosa 3. contract zetu za ndoa zimekaa vibaya maana ile ni life time (ndoa za mkataba zingekuwa nzuri sana).
Ndoa za mkataba zingeweza kupunguza kwa kiasi fulani maana ukiona mwenzio haeleweki no ku renew contract. unatega tega contract iishe tu basi.
Kisusi jaribu kuliangalia hili kwa mtazamo mwingine- uwezo wa mtu kuzuia asiambukizwe kupitia ngono zembe! Nani mwenye uwezo wa kucontrol hili?Ukimwi hauangalii umeo/umeolewa, cha msingi ni kuepukana na ngono zembe na kwa wanandoa ikibidi kupima kila mwaka!
aksante - hili ndilo walilokuwa wanajaribu kulisoundisha hawa masingles!. Ukweli ndio huo tutake tusitake.enzi zangu nikiwa nje nilikuwa cfanyi bila kinga hata iweje, sasa huku ndani kinga ni msamiati, wa nje wana uwezo wa kujikinga sana kuliko cc wa ndani, wao hata kama hamna uaminifu atleast mtu ushikie bango kinga.....
Hapo chachahiyo kwa wanaume wengi inakuwa ngumu sana kulikubali, cjui tutafanyaje.
HALAFU WAKUU,
hali haitishi kiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiile kwa sasa!kumekuwa na mabadiliko makubwa sana
sasa hivi nchi yetu ina brainstorm kuhusu MARALIA
Hapo chacha
hivi siku itatokea wanaume wote wakashikilia kuwa hawakutani na wife zao bila kinga- hivi sie tunawezagoma kweli??
Ni kweli De Novo wote tuko katika risk but tukisema mtu akiamua kuwa makini na maisha yake kwa hali halisi mtu single anaweza akasimama na kujilinda tofauti na married kwani inatengemea na partner wako!! Sasa mfano hao waume ambao wanachukua mashoga wakati wake zao wako masomoni au safarini au wake wanaotoka na watu wengine aka ving'asti, mabuzi (sijui kama bado hili jina latumika) wote hao partners zao wanajiamini kuwa wako salama.
Aksante mess
Jamani wapendwa lengo hapa si kufanya description tu na kuondoka hapana tujadiliane ni nini cha kufanya?
mess kaanza na ndoa za mkataba- Je tunafikiri hii inawezakuwa suluhisho la UKIMWI kwenye ndoa?? Inawezekana ndoa za mkataba zikasaidia tubadili tabia zetu?
hapa sasa!
kwa kifupi..kuna vipengele vingi mno kwenye maambukizi ya vvu na ukimwi hayazungumzwi wala kuwekwa kwenye programming.
ndio maana huu mpango mpya wa 2008-2012 national multi sectoral strategic framework on hiv/aids imeliona hili na kuliwekea mkakati ili kuwalenga wale waliokuwa hawafikiwi - msm/ mashoga, watumia dawa za kulevya nakadhalika kitu ambacho mikakati iliyotangulia hakuzingatia.
sasa hivi kuna idadi kubwa sana ya msm (men having sex with men) .tutashangaa lakini ni ukweli kuwa ni wengi kuliko tunavyodhania - wapo wenye maradaka/vyeo - wenye kuheshimika katika jamii lakini wanafuga vijana waogo wa kiume.ni kitu nakiongea kwa kujiamini - sijaambiwa na mtu bali nimeweza kuongea na baadhi ya vijana hao kama walivyoongea na radio clouds jana! Mmoja wa vijana hao aliweza hata kusema kuwa ameambukizwa lakini " mwanaume" wake hajui na pia huwa ana cheat na wanaume wengine pale mwanaume wake akisafiri.
wanandoa nadhani wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko wale wasiokuwa ndani ya ndoa.hivyo wanandoa jihadharini tumieni kinga hata kama mmeoana!
Aksante mess
Jamani wapendwa lengo hapa si kufanya description tu na kuondoka hapana tujadiliane ni nini cha kufanya?
mess kaanza na ndoa za mkataba- Je tunafikiri hii inawezakuwa suluhisho la UKIMWI kwenye ndoa?? Inawezekana ndoa za mkataba zikasaidia tubadili tabia zetu?
ni ngumu sana mamaanguhivi kuwa faithful ni ngumu ehh? hata kama kuna kifo?