Mahusiano: Jinsi ya Kumfurahisha Mkeo

8. Muongozo wakati wa kusafiri


• Jiepushe na kurejea nyakati zisizotarajiwa au nyakati za usiku.

Kulikoni.........?!

Kwenye red: Hata kuingia kwangu nitoe taarifa mapema?
Kwenye bold: Au kunakuwa na mwisho wa kuingia nyumbani kwangu?

Dhubutu.........! Haiwezekani kabisa....!
 
Kulikoni.........?!

Kwenye red: Hata kuingia kwangu nitoe taarifa mapema?
Kwenye bold: Au kunakuwa na mwisho wa kuingia nyumbani kwangu?

Dhubutu.........! Haiwezekani kabisa....!

Una kifua weye?

Unataka ukafumanie; Utastahimili?
 
11. Jimai (Tendo la ndoa)

• Unawajibika kulifanya mara kwa mara iwapo huna dharura (ugonjwa n.k)

• Uanze kwa dua zilizo sahihi.
• Umuingilie katika sehemu iliyo sahihi tu (sio sehemu ya nyuma)
• Uanze kwa vitangulizi (vya jimai) ikiwa ni pamoja na maneno ya mapenzi.
• Uendelee mpaka umtosheleze hamu yake.
• Mpumzike na mfanyiane mzaha mnapomaliza
• Epukana na jimai wakati wa damu ya mwezi kwa sababu kufanya hivyo ni kusababisha matatizo ya kiafya.
• Fanya chochote unachoweza kuepuka kuharibu kiwango chake cha haya alicho nacho (haya na staha) mfano kuvua nguo pamoja badili ya kumtaka avue yeye mwanzo huku ukiwa unamuangalia.
• Epuka wakati wa jimai mkao ambao unaweza kumuumiza mfano kumgandamiza katika kifua inayopelekea kumzuilia pumzi, hususan iwapo wewe ni mzito.
• Chagua muda muwafaka kwa jimai na uwe unamjali kwani wakati mwengine anaweza kuwa ni mgonjwa au amechoka.



hapa wanashindwa wengi!!!
 
WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.


Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao ni wakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni "njoo hapa" au "vua nguo basi" na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".


Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye "mwanaume".

Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi " hao wana bahati".

Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizo wamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye "Video" ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.


Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta "Kungwi" na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.


Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni

-ubunifu wako,
-kujaribu,
-kuujua mwili wako na wa mpenzi wako,
-ufurahiaji wa mwili wako,
-kujiamini kwako,
-uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.


Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsi ya kuridhishana, jinsi ya kufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano ya kimapenzi iwe ni ndoa au mahusiano ya kudumu nje ya ndoa.

Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoa au Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribu kufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea ni vizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu "usipigwe kibuti" kwa vile unamjulia.....yaani unajua vipele vilipo na unavikuna vilivyo.
 
wanawake wengine hata uwaridhishe, akivaa chupi tu anatuma msg kwa bwanake wa juzi ili wakutane tena akamkatie pochi ya kwenda saluni
 
wanawake wengine hata uwaridhishe, akivaa chupi tu anatuma msg kwa bwanake wa juzi ili wakutane tena akamkatie pochi ya kwenda saluni

Kweli kabisa tena hata akipiga game 2 kwa siku kesho anatafuta mwingine aongezee pale mlipochangia nyie wa wili wa leo!hatari sana aisee....huko tunakoenda ni balaa sana huwa najiuliza kama ukimwi usingekuwepo hiki kizazi kingekuwaje???
 
Daaaah, kaka huo ndo uhalisia uliopo nchi mwetu.kiukweli yatupasa tubadilike maana tunafanya vitu kwa kuiga baadae wake au wanaume kuachika.plz bodo umbonga daaah
 
Ware wa kure poti amkiraza mwanamke anamwambia aturie asikwepesekwepese ili aingise vizuri bila kwarokwaro. Hata kukata kiuno haruhusiwi eti anataka mimba ikiingia mtoto awe generari wa jeshi.
 
Wanaume wengine kweli hajali kabisaaaaaaaaa yani akisha maliza yeye hata hujamaliza kumsafisha yeye wajuzi anakoromaa,mwanamke tena ndio unabakia kuhesabu boriti za nyumba na kuangalia nyufa mpaka usingizi ukuchukue,na wala haonyeshi aibu na sikuukimwambia hujatosheka unataka tena ooooooooooh sikuhiyo panakua hapatoshi,kakufundisha nani,sipendi tabia hii mimi au umeshaanza mambo yako huko nje unaniendea kinyume,tena yule shogako havintishi na kusudiyao ndio wanaokufundisha uhuni basi mambo kibao mpaka unatahayari na husemi tena unataka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom