Finest wacha tu, nilikuwa nikiingia humu nakutana na vurumai za uchaguzi zinaniongezea tu stress wakati mie nina zangu za kunitosha.
hapo sasa ..kuna thread ilishawahi kutoka hapa ikiuliza kuolewa/kuoa ndo mwisho wa kupenda?. wajua sometimes ndoa inawapa kiburi baadhi ya wanandoa..anajua akikuchakachua hutokuwa na la kufanya....ingawaje mara nyingi tunalalamikiwa sie kina mama kuwa tunajisahau na kuona tumefika lakini hata kina baba jamani nao wanajisahau.akishakuoa anaona ndo kamaliza anawezakutenda kama mbwa wa jirani akiamini huwezipenda tena........ Mama Big anasema mke akishaona mumewe anamtendea maovu, naye anatafuta liwazo lake la pembeni .......ndo maana ya msemo wa akidumishia hapa, wapo wanaodumishia kule (I wish kungekuwa na icon za kuonyesha hiyo kidumu)hapa ndo huwa nawashangaa watu hivi ukioa au kuolewa basi ndo mwisho wa kupenda tunaamua na kuamini kwamba huyu niliyepata takuwa msaidizi na rafiki na unaamua kufunga milango sasa hapa ndo huwa tunajichanganya ivi huwa tunajiulizaga tulikuwa sahihi kwenye maamuzi yetu na kama tulikosea ni wapi turekebishe kutumia nguvu nyingi/ubabe ndo kutarudisha mapenzi atapigana na wangapi mamamtu akikuchoka haijalishi ni mmeo au mkeo atatoa lolote mdomoni sasa hapo kazi kwako kufanyia kazi kwa busara na kutafuta positive ways za kutibu majeraha yako
Ndo maana nakwambia hapo juu ukiona mwanaume anamkandia mke wake nyumbani hiyo nigia ya kukupata wewe na kisha akutafune
Hapo sasa ndo mnapochetuka ati...unapokandya kwa mkeo nyumba ndogo inavidaka aohhh kumbe mkeo anakupangia ratiba .basi mie utapata kuanzia tarehe 1 hadi 1 ya mwezi... kama mkeo hafui kufuli zako anakuachia ufue mwenyewe basi nyumba ndogo anazivaa kabisa mwashare...mara oh mke wangu mie bwana tukimaliza anakimbilia kuoga yeye......basi small house atakuwekea thermos uchagoni usipate shida ya kwenda hadi bafuni.... sasa hayo yote ndo unaona ah mwanamke si huyu kumbe ndo umempa majibu mwenyewe.
Hapo sasa ndo mnapochetuka ati...unapokandya kwa mkeo nyumba ndogo inavidaka aohhh kumbe mkeo anakupangia ratiba .basi mie utapata kuanzia tarehe 1 hadi 1 ya mwezi... kama mkeo hafui kufuli zako anakuachia ufue mwenyewe basi nyumba ndogo anazivaa kabisa mwashare...mara oh mke wangu mie bwana tukimaliza anakimbilia kuoga yeye......basi small house atakuwekea thermos uchagoni usipate shida ya kwenda hadi bafuni.... sasa hayo yote ndo unaona ah mwanamke si huyu kumbe ndo umempa majibu mwenyewe.
nyamayao wewe hujashangaa...ila sijui hawa ndo wale wanaitwa wake toka kwa bwana....mwenyewe anampenda mumewe.
Duh Rose wangu hii ilikuwa kali loh..............ila huyo Bi mdogo naye ah......anaaibisha ati! we utaambiwaje upelekwe kwenye kitanda anachotumia mke mwenzio? aku babu kama umewezaongeza majukumu (mwanamke) uwe unajimudu......... mi ngemgomea akishindwa kunpeleka guest ah aishie zake akakumbatie mito yake huko na kutafuta sabuni ah.....nini kutiana nuksi??ahh we bwana wewe acha tu ...
kuna kimbwanga kilitokea uku machokorani kwetu its just similar to ths
..bmkubwa alisafiri bwana kakamkubwa akavuta small haus kwa nyumba so kulala ni pale pale anapolala na mkewe na shuguli zote ni vile vile na kama ni kanga au vtenge vilikuwa vile vile vya mkewe basi muda ukafika bmkubwa akarejea hm ..sasa smal haus ikabd arud kwao bas kwa machungu sasa akaanza kumponda mama wa watu eti ...
..mwanamke gan wewe unalalalia kigodoro chembambaaaaaaaaa yan nimelala kwako wk tu sna hamu tena ..bibi weweee fanya mpango mnunue godoro jipyaaaaa
.....na ile kanga yako ilioandkwa ....ndo nilikuwa najifutia afta shuguli..
....na kile kitenge chako....na zile chup zako chn ya godoro bib ukaztoe znaleta uvundo chumban...na lile kabat lako ukalipange vzr..ahh jaman ikabd bmkubwa amwulize vema bwna uyu bib izi details za chumban kwetu kazipataje??????? sjui alidanganywa nini manake mpk leo wapo pamoja!!!!!!
nyamayao na MJ1 hebu tulieni kwanza, then muliangalie jambo hili katika upana wake. mnaweza mkapata stress bure baaanaa!
Duh Rose wangu hii ilikuwa kali loh..............ila huyo Bi mdogo naye ah......anaaibisha ati! we utaambiwaje upelekwe kwenye kitanda anachotumia mke mwenzio? aku babu kama umewezaongeza majukumu (mwanamke) uwe unajimudu......... mi ngemgomea akishindwa kunpeleka guest ah aishie zake akakumbatie mito yake huko na kutafuta sabuni ah.....nini kutiana nuksi??
MJI naamini we unaelewa sana haya mambo sentesi ii inanitia mashaka for me nikisema I LOVE YOU i mean it naweza nkawa naangukia kundi uliloweka hapa maumivu yake mtu akikutenda acha lakini huwa siachagi kumpenda natamani roho yangu ibadilishwe siku moja
aaaaaaaaah ndoa ni ngumu sana kuna wakati unaishi kama chizi fulani mambo yaende ukiweka kila kitu utatembea unaongea mwenyewe ni kiasi cha kujaribu kujua mwenzako anataka nini nini hataki kupunguza matatizo maana huwa tunaongea na kulala na maadui zetu humo ndani unashughulika weee kumbe mwenzio anamuwaza jumaahapo sasa ..kuna thread ilishawahi kutoka hapa ikiuliza kuolewa/kuoa ndo mwisho wa kupenda?. wajua sometimes ndoa inawapa kiburi baadhi ya wanandoa..anajua akikuchakachua hutokuwa na la kufanya....ingawaje mara nyingi tunalalamikiwa sie kina mama kuwa tunajisahau na kuona tumefika lakini hata kina baba jamani nao wanajisahau.akishakuoa anaona ndo kamaliza anawezakutenda kama mbwa wa jirani akiamini huwezipenda tena........ Mama Big anasema mke akishaona mumewe anamtendea maovu, naye anatafuta liwazo lake la pembeni .......ndo maana ya msemo wa akidumishia hapa, wapo wanaodumishia kule (I wish kungekuwa na icon za kuonyesha hiyo kidumu)
ndio gia mliyobatizwa nayo? hakuna gia nyingine?
MJ1,
Hayo ndiyo ma-ufundi yenyewe!
- Kufuli zinakuwa taken care of with all respects : zinafuliwa as soon as you are done!
- Kuna ki-ndoo kidogo uvunguni mwa kitanda : huna haja ya kwenda hata msalani (short call)!
- Huna haja ya kwenda saluni : kucha, mav.*.zi, scrub yote ni indoor!
- Menu inaliwa chumbani :tena mkiwa watup*
- e..t..c
Bigirita umenifanya nimecheka sana leo...wala kaka sijachukulia kifupi na ndo maana nikasema pengine mama nae alikuwa vuvuzela baba akachoka akatoka ndo kukutana na wa kuziba masikio ili kulinda ngoma zake.nyamayao na MJ1 hebu tulieni kwanza, then muliangalie jambo hili katika upana wake. mnaweza mkapata stress bure baaanaa!
MJ1,
Hayo ndiyo ma-ufundi yenyewe!
- Kufuli zinakuwa taken care of with all respects : zinafuliwa as soon as you are done!
- Kuna ki-ndoo kidogo uvunguni mwa kitanda : huna haja ya kwenda hata msalani (short call)!
- Huna haja ya kwenda saluni : kucha, mav.*.zi, scrub yote ni indoor!
- Menu inaliwa chumbani :tena mkiwa watup*
- e..t..c
lol nimenunua kesi.........pole nyamayaona kweli, maana hapa mie nimeshajiweka kama ndio huyo mama vile na ningechukua hatua gani za muhimu...mhh MJ1 kaniharibia cku haki ya nani tena.
aaaaaaaaah ndoa ni ngumu sana kuna wakati unaishi kama chizi fulani mambo yaende ukiweka kila kitu utatembea unaongea mwenyewe ni kiasi cha kujaribu kujua mwenzako anataka nini nini hataki kupunguza matatizo maana huwa tunaongea na kulala na maadui zetu humo ndani unashughulika weee kumbe mwenzio anamuwaza jumaa
mnajua muwe mnatofautisha kitu kimoja, huyo mwanamke anaweza kufanya hivy coz ana muda wa ziada wa kutafuta mbinu za kukurubuni wewe, mie nitoke job cjapika, cjui manka ana homework, kabula na flu, kidume changu kinataka nikalishe mie tu, huku Kaizer atake nimwekee cjui maji na kisoc cha kubebea hizo ndude zake, cjui nimlishe na yeye, mara nini na nini, bado mie mwenyewe, huo muda naupatia wapi mtu huyu huyu?