Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

Asalaam Alaykum! Saa 4 asubuhi nilifika Central Police kusimamia mahojiano yake na Polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa ZCO baada ya utambulisho na kumfahamisha haki zake wakati wa mahojiano alihojiwa. Ukiacha namna alivyokamatwa mpaka naondoka polisi saa 10 kasoro alikuwa ktk hali nzuri na polisi akiwa kituoni hawakumfanyia lolote lililokinyume na haki za mtu aliyechini ya ulinzi.
Sheikh anatuhumiwa na mambo yafuatayo:-
1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-
i. kwanini waliandamana ii. nani aliandaa mabango
iii. kwanini walisema kuwa baada ya maandamano yale wataenda kumng'oa Mufti na Ndalichako
iv. nani aliandaa maandamano
Sheikh alikiri kuhamasisha maandamano na pia alikubali ujumbe uliuokuwa katika mabango ulikuwa umebeba hisia za waislamu. Isipokuwa yeye hajui nani aliyaandika hayo mabango. Kuhusu Mufti na Ndalichako alisema wanastahili kuondolewa kwasababu ya kuongoza kwa dhulma dhidi ya waislamu. Pia alisema maandamano yaliandaliwa na Taasisi na Jumuiya za Kiislamu na yeye ni katibu wake.
2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe
Hapa alijibu kuwa huo ni mgogoro wa ardhi na waislamu wapo pale kwasababu ni kiwanja cha waislamu. Na kama kuna mtu anadai amevamiwa eneo lake huo ni mgogoro wa ardhi aende kushitaki mahakama ya ardhi na waislamu wapo tayari kufika mahakamani kujibu. Pia alikiri kuwa amehusika ktk ujenzi wa msikiti unaojengwa ktk eneo hilo.
3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu
4. Vurugu mbagala.
Haya mawili ya mwisho hakuhojiwa kwasababu mafaili yanayohusu malalamiko hayo yalikuwa hayajafika central lakini vilevile muda ulikuwa umeenda sana. Kwani mpaka tunamaliza mahojiano ilikuwa ni saa kumi kasoro hivi toka saa nne asubuhi.
DHAMANA.
Baada ya mahojiano niliomba apatiwe dhamana na kesho afike polisi kwa mahojiano zaidi. Polisi waliokuwa wanamhoji walikataa kwa hoja kuwa suala hilo liko kwa viongozi wakuu wa jeshi la polisi. Waliomba nikamwone ZCO Bw. Msangi, yeye alisema hawezi kulitolea maamuzi akanitaka nimwone Kamanda Kova. Nilienda kuonana na Kamanda Kova naye aliniambia kuwa hawawezi kutoa dhamana mpaka amalize mahojiano yaliyobaki. Na vile vile alisema wanasubiri wapate ushauri toka ofisi ya DPP. Lakini zaidi akasema kwa kuwa issue ya mbagala kuna watu wameshitakiwa kwa armed robbery kosa ambalo halina dhamana si vizuri kumpa dhamana sasa kwani huenda katika upelelezi wao wanaweza kumuunganisha na washitakiwa wa armed robbery mbagala. Kwa ufupi hiyo ndio hali iliyokuwepo. NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA



Eeeeh Mwenyezi Mungu linusuru taifa letu...
 
Alisema katika tukio hilo, watu kadhaa walitiwa mbaroni, akiwamo raia mmoja wa Rwanda aliyekutwa na panga, shoka ndogo na majambia.
Ndiko alipotoka Ponda huko??
 
Uvumilivu sasa basi, hata kama wanatimiza unabii ila imekuwa tu machi sasa.
 
Wakuu katinga Mahakamani mchana huu chini ya ulinzi mkali .Nimeona mwenyewe magari kadhaa yakitoka kwa kasi haoa Polisi kati na nyuma kuna gari la washa wash .Njia ilizibwa kote hakuna kupita hadi walipo ondoka kwenda Kisutu .Mlioko Kisutu tunaomba mlisho nyuma juu ya tukio hili tafadhali
 
matayo 24:9
''wakati huo watawasaliti nyinyi,mpate dhiki ,nao watawauwa;nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu .ndipo wengi watakapo jikwaa''

marko 13:9
''nanyi jihadharini nafsi zenu;maana watawapeleka nyinyi mabarazani; na ktk masinagogi(misikiti) mtapigwa;nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu ,kuwa ushuhuda kwao.''

qur an
''hakika tumekutuma wewe (muhammad) uwe shahidi kwao na wao (waislamu )wawe mashahidi kwa watu wote''
 
Naanza kufikiri kitabu chao kile hakina message za kutosha kuhubiri wafuasi wao hivyo viongozi sometimes inabidi watafute wenyewe cha kuhubiri, this is why kila sehemu utakayo sikia kuna sheikh maarufu, ujue tu mahubiri yake ni ya uchochezi, ukimkuta mstaarabu kidogo atatumia Biblia kuhubiri ubaya wa Ukristo, sijawahi kusikia muhubiri mashuhuri duniani wa Kikristo akihubiri chuki, utengano na au kutumia kitabu kingine zaidi ya Biblia, ufike wakati tuanze kuchunguza hiki kitabu kama kweli ni cham mbinguni au kuzimu!
 
matayo 24:9
''wakati huo watawasaliti nyinyi,mpate dhiki ,nao watawauwa;nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu .ndipo wengi watakapo jikwaa''

marko 13:9
''nanyi jihadharini nafsi zenu;maana watawapeleka nyinyi mabarazani; na ktk masinagogi(misikiti) mtapigwa;nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu ,kuwa ushuhuda kwao.''

qur an
''hakika tumekutuma wewe (muhammad) uwe shahidi kwao na wao (waislamu )wawe mashahidi kwa watu wote''
Huyo Marehemu Mwamedi ametumwa na kina nani?
 
Kiongozi wa Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda pamoja na wafuasi wengine waliokamatwa, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka ya madai mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislam kuvamia eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.

Watuhumiwa hao wamerudishwa rumande wakisubiri taratibu nyingine.

CHANZO: TBC Habari za Saa 7 mchana
 
انتقلوا الشيخ سحق طلب! كل شخص يحق لإنقاذ لأنها ليست جريمة


nakojolea na huyo mungu wenu wa vurugu ,uhasama na visasi hanifanyii chochote wakosa elimu nyie
 
Kova naona anajikanyaga tu,mara armed robbery,mara kavamia kiwanja cha watu hata sijaelewa vizuri mie!

sidhani kama kuna ugumu wowote wa kuelewa hapo, ni kwamba ponda anazo tuhuma zaidi ya moja na ni jambo linalowezekana kabisa. Ila nina wasiwasi na suala la armed robbery inaweza ikawa ni tuhuma ya kutengeneza ili polisi wapate sababu ya kumshikilia mahabusu kwa muda mrefu zaidi kwa nia ya kumtenga na jamii au ikiwezekana apate hatia afungwe kabisa, I just speculate!
 
Hayupo wa kuwatia kiburi ili waandamane. Hii ni fundisho kwa kila mtu awe mkristo au Mwiziharamu (Mwisramu) No one is above the law!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom