barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,327
- 29,590
Acha upuuuzi wewe, intelligensia ya maandamano kivipi? Wee hukumsikia kamanda wenu akiwa laivu kutangaza mwenyewe maandamano mnayopangaga kufanya?Police nao waache kutumika vibaya na wanasiasa...Haiwezekani inteligensia za Police ziwe zinaona mikutano na maandamano ya vyama vya upinzani tu lakini ujambazi haiuoni ...Iwe fundisho kwao wafanye kazi za kupambana na ujambazi sio kupambana na raia wasiokuwa hata na fimbo