Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa:
"Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake."
Wajumbe hao wakisikia moja katika matatu hayo yakitajwa, utu huwatoka wakauvaa uhayawani. Hupumua moto na labda kutoa moshi mithili ya gari la moshi.
Picha hii labda inaweza kuakisi mionekano ya nyuso zao pindi matatu hayo yakitajwa:
Jamani eeh, isiwe taabu tukutane hapa. Kama vipi tuteme nyongo na kufahamiana pia!
Au nasema uongo ndugu zangu?