Atakimbilia kufuta kesi kwa madai kuwa haina manufaa kwa Taifa, si ndiyo zao maji yakiwafika shingoni. Wanabeep wakipigiwa wanazima simu
Watu wa Chama cha mafisadi ndio zao hizo kubeep; halafu wakiona mambo yanapamba moto wanaretreat. Londa na Makamba waliposhushiwa zigo la ufisadi walioufanya wilaya ya Kinondoni na Halima Mdee walikuwa mbogo, lakini baada ya kuoneshwa vielelezo alivyokuwa navyo yule binti , hawa mafisadi ilibidi wakunje mikia na waichomoe kesi pale bungeni!! Nadhani huyu fisadi Mahanga ni wa design hiyo hiyo, mambo yatakapokuwa moto ataichomoa!