Unajua msingi mmoja muhimu jamani : tusiamini kila tunachoambiwa hadi tupate ushahidi .kwa hiyo mahanga asihukumiwe sasa na hawa jamaa wanaosema ana vyeti fake kazi kwao kuthibitsha.. kwenye maisha dont believe whatever you are being told, search for facts..usiamini kila jambo unaloambiwa,thibitisha.
Makongoro asali mambo yasifike mahakamani. Maana itabidi yeye approve kwamba ana PhD na sio tu kwamba ana cheti cha PhD. The accused is not required to prove his innocence. It is enough for him to prevent the accuser from proving him guilty. Halitakuwa jukumu la Msemakweli kuthibitisha kwamba Makongoro hana PhD. Ni Makongoro ndiye atahitajika kuthibitisha ana PhD.
Wakili wa Msemakweli atamtaka Makongoro azungumzie courses alizochukua, mitihani aliyofanya, thesis supervisors, thesis defence n.k. Yote hayo yatamuumbua Mheshimiwa Mbunge. Hatayaweza!
Nilivyosoma mada nimeona Msemakweli kasema Makongoro hakusoma PhD. Hakusema Makongoro kafoji cheti.
Naona maada hii watanzania tunakurupuka nayo sana.
Hivi nikisoma PhD ya miezi sita, siyo PhD? nani aliweka standard duniani kuwa Phd lazima iwe miaka minne?
Na tanzania je kuna sheria inayowazuia watu wasitambulike wakiwa na PhD za namna hiyo?
Kwa misingi hiyo msemakweli atakuwa yuko kwenye wakati mgumu sana, unless sheria ya nchi iko upande wake.
Mzumbe siyo accredited university in Tanzania yet employers have no doubt to employ them.
Hajakurupuka huyu mtu, tulishashema hapa, je tuna standard yetu ya Tanzania.
Hapa Canada nafanya masters kwa miaka 2 na nusu,Europe mtu anachukua same masters mwaka mmoja, France ndiyo unapata kwa miezi nane tu!
PhD kwa mfano Canada inaweza kukupelekesha miaka mpaka sita,wakati Japan unaweza kupata PhD kwa miaka miwili
Where is our standard?

sisi wa TZ hatuzitambui hizo PHD za miezi 2 kama za kina Mahanga. kwa hiyo akiwa ndani ya mipaka ya TZ ajiite Mr. Mahanga hapo tutaelewana
jamani kuna tofauti ya kutosoma Degree na kufoji Degree.Nyambala kauliza swali la msingi: feki ya kiswahili inahusu kitu kisichokuwa na ubora unaotakiwa. Tunaposema vitu vingi toka China ni feki tuna maana havifikii viwango vinavyotarajiwa.
Makongoro asali mambo yasifike mahakamani. Maana itabidi yeye approve kwamba ana PhD na sio tu kwamba ana cheti cha PhD. The accused is not required to prove his innocence. It is enough for him to prevent the accuser from proving him guilty. Halitakuwa jukumu la Msemakweli kuthibitisha kwamba Makongoro hana PhD. Ni Makongoro ndiye atahitajika kuthibitisha ana PhD.
Wakili wa Msemakweli atamtaka Makongoro azungumzie courses alizochukua, mitihani aliyofanya, thesis supervisors, thesis defence n.k. Yote hayo yatamuumbua Mheshimiwa Mbunge. Hatayaweza!
Nilivyosoma mada nimeona Msemakweli kasema Makongoro hakusoma PhD. Hakusema Makongoro kafoji cheti.
Ukiwa na cheti kinasema una PhD basi unayo kweli PhD? Kama ukipata daktari ambaye kwa malipo anakuandikia death certificate basi unakuwa umekufa?
Mimi naona Makongoro hatathubutu kufika mahakamani kujadili PhD yake. Anatarajia mambo yatakwisha kabla ya kufikia huko.
Tatizo hapo sio Ph.D yake kuwa fake bali kuipata chuo ambacho hakitambuliwa na institutions mbalimbali za elimu.
Toka mwanzoni nilishangaa hiyo confidence ya Msemakweli kwamba hao wana degree fake.
Labda ana ushahidi zaidi ya ule ambao wengi wetu tumeujadili hapa mara nyingi.
Hata Mahanga naona kang'ang'ania hapo hapo pa kuwa na degree fake.
Wizara ya elimu inatakiwa waingilie kati na kutoa mwongozo juu ya vyeti vya elimu ili kama chuo hakitambuliwi na wizara ya elimu ya TZ, iwe ni maruku kutumia title au cheti hicho nchini TZ.
Hizo masters unazosema miezi nane au mwaka ni lazima ukae klass mkuu. Hawa akina Mahanga hawajakaa darasani. Wamefanya diatance edu. Na ishu hapa si standard ya muda. Ila ufupi wa muda unatupa tu muongozo wa kuwa na mashaka. It is the same ukasoma PhD miaka kumi au ishirini lazima mtu yeyote utakayemuambia atakuwa na mashaka as to what really happened.
Lakini all in all tukiwa a bit specific as for this case hata mimi naungana na msemakweli PhD ya Mahanga ni FEKI (feki ya kiswahili pls).
KAMA HAKITAMBULIWI HAPA NCHINI KWETU INA MAANA NI FEKI NA ANAFANYA KWA KUTUMIA QUALIFICATIONS ZISIZO SAWA KWA MUJIBU WA NCHI YETU
Nitashangaa Nchimbi naye akija juu manake masters na phd zake zote za distance learning/online na kazipata ndani ya miaka minne. Kwa walioenda shule wanajua ugumu wa mambo hayo. Na kama kweli wooote wanaamini vyeti vyao waturushie kwa mtandao visiwe kama vya A.Lyatonga
Urban Housing and Poverty Alleviation in Tanzania
Milton Makongoro Mahanga
This study is based on research carried out in planned and unplanned areas of Yombo Vituka, Dar es Salaam. It argues that adequate housing for the urban poor is a source of income generation and therefore a means of improving livelihoods. It reiterates that there is willingness and ability amongst the urban poor to contribute towards social service delivery and housing conditions; but that land allocation systems and poor people's access to credit remain a major constraint. The author is a renowned academic in Tanzania and the Member of Parliament for Ukonga Constituency in Dar es Salaam.
ISBN 9789976603439 | 260 pages | 229 x 152 mm | 2002 | Dar es Salaam University Press, Tanzania | Paperback