Hii kesi imelenga kuwakomoa kina Slaa, Ndesa, Lema na Mbowe. Lakini hakimu wa kesi hii anapaswa atambue kwamba hao anaowatesa ndio mabosi wake wajao. Je, 2015 Dk Slaa atakapokuwa rais, hakimu huyu atamueleza nini Slaa? Kwa jinsi ninavyomfahamu Rais wangu Slaa si mtu wa visasi ila hakimu huyu ataishi maisha ya huzuni na upweke hadi anaingia kaburini.
Tunajua anatumiwa na JK ila tunamshauri ajitoe kusikiliza kesi hii.
mi sioni mantiki ya kukiuka amri halali ya mahakama ya kuitwa mahakamani, nadhan anatuambia na sisi wananchi wengine tufate nyayo zake
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Walio karibu na Mhe. Mbowe watueleze kwanini yeye na mdhamini wake hawakufika Mahakamani leo? Hawakuwa na taarifa ya kesi kuwepo au nini basi?
It show that somehow Mbowe is disorganised.
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Mbona mnamjudge mtu kabla ya kusikia upande wake kuna sababu gani
maana sidhani kama Mbowe anajua kabisa kuw aana kesi mahakamani na asitokee
Jiulize ni kwa nini na usimuhukumu kabla ya kusikia upande wake wa habari unasemaje maana hapa ni kama unamuhukumu kuwa alijua na akadharau au akaenda kufanya kazi nyingine
Kuna Thinkers wanaosahau kuwa you are an Authority!!JamiiForums
Khaa sasa wewe unakataaa nini kwani Slaa ni wa chama gani? lema yuko Chama Gani??? Tena wote ni viongozi . Hivi hawa comunicate.??? Dr slaa mbona kuna thread alinadika wakati anawajibu TRA kuwa anakwenda arusha kwenye kesi........
ajifunze kuwe orgainse Kuna nyenzo ya memo na alert kwenye simu yingi za kisasa. Ni vitu vimewekwa ili mtu hata akisahau basi akumbushwe kabla ya tukio. Au yeye anatumia Traditional Diary?
NA mwenye kiti wa Chama si ana secretary amabaye antakiwa kujua na kumbumusha mambo ya kichama ..???
Usiteteee Uzembe
Mbona mnayeyusha??.....KAMA WEWE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUAJE?Swala sio uzembe au kutetea uzembe maana naona umehukumu kwa kujua taarifa za upande mmoja
Sasa wewe hapo ndio unapaswa kujiuliza kama Katibu wake alikuwa na uwezo wa kuja mpaka arusha na akamwacha Mwenyekiti wake kuna dharura kubwa sana aliyokuwa nayo Mwenyekiti wake ndio maana ameshindwa kuonekana mahakamani
Na kingine kwa kuwa Dr nae ni mshtakiwa hawezi kutoa sababu za kwa nini mshtakiwa mwenzake hayupo mahakamani aliyepaswa kutoa taarifa ni mdhamini ambaye nae ni mgonjwa
Usikurupuke kulaumu kabla hujajua sababu ni nini
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas
Mbona mnayeyusha??.....KAMA WEWE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUAJE?
Una personal contact zake na unaweza hata kumPM na kumuuliza Dr mwenyewe au mchumba wake hayo maswali maana kwa wengine hayana tija wala hayatuletei maendeleo
Ajitahidi aende na vielelzo tu, sheria ni msumeno, ingawa tunajua namna unavyouma wapinzani zaidi
Wewe unafikiri kufika mahakamani ndiyo kuwa organised unaweza usifike ukawa organised pia na kwa vile unasema viongozi wenzake wamefika yeye hajafika huoni kuwa inawezekana anajua anachokifanya.Khaa sasa wewe unakataaa nini kwani Slaa ni wa chama gani? lema yuko Chama Gani??? Tena wote ni viongozi . Hivi hawa comunicate.??? Dr slaa mbona kuna thread alinadika wakati anawajibu TRA kuwa anakwenda arusha kwenye kesi........