Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe mara moja

Ajitahidi aende na vielelzo tu, sheria ni msumeno, ingawa tunajua namna unavyouma wapinzani zaidi
 
'all people are equal under the law',sheria ni msumeno,kwa hiyo mi naiomba sheria ifanye kazi yake bila kuangalia wadhifa wa mtu kama anamakosa.
 
Hii kesi imelenga kuwakomoa kina Slaa, Ndesa, Lema na Mbowe. Lakini hakimu wa kesi hii anapaswa atambue kwamba hao anaowatesa ndio mabosi wake wajao. Je, 2015 Dk Slaa atakapokuwa rais, hakimu huyu atamueleza nini Slaa? Kwa jinsi ninavyomfahamu Rais wangu Slaa si mtu wa visasi ila hakimu huyu ataishi maisha ya huzuni na upweke hadi anaingia kaburini.

Tunajua anatumiwa na JK ila tunamshauri ajitoe kusikiliza kesi hii.

.
Sioni mantiki ya kusema, mahakama yaamuru Mbowe akamatwe;
Hapa kinachotakiwa ni kuandika jina la huyo hakimu kwamba ndie aliyeamuru mbowe akamatwe. Maana ingelikuwa anafanya kazi kiadilifu na sii kufuata matakwa ya bwana zake wanasiasa ndio angistahili kufichwa na kivuli cha mahakama. Mbona hakimu anapochukuwa rushwa haisemwi kuwa 'mahakama yachukua rushwa?' na madala yake wanautupilia mbali uheshimiwa wa hakimu huyo na kumtaja kwa jina? Ili ajulikane na kila mtu na aibebe aibu yake mwenyewe? Na huyu mvueni uheshimiwa wake na mtajeni kwa jina lake aibebe aibu yake mwenyewe ya kuendekeza siasa za maji taka mahakamani.
.
 
mi sioni mantiki ya kukiuka amri halali ya mahakama ya kuitwa mahakamani, nadhan anatuambia na sisi wananchi wengine tufate nyayo zake

kwani huwezi kutumia akili yako mpaka ufuate nyayo zake?
 
Mbowe ni mtu na akili zake na anajua anachokifanya,anzijua na kuziheshimu sheria za nchi hivyo sio rahisi yeye kuidharau mahakama lazima patakuwa na jambo(dharura)Tuwe na subira tu majibu yataguatia muda sio mwingi.
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Baba yako Jk alisamehe wezi, haikuwa uhuni. Kwako wewe uhuni ni kutofika mahakamani, ila kuongoza nchi kihuni sio uhuni. Pumbaaaaaaaaaaaaaaaavu!
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Kama huo ni uhuni basi Kikwete ni Mhuni 7x70; anatakiwa mahakamani akatoe ushahidi kesi ya Mahalu hataki kwenda, wala kuandika ushahidi wake!!!
 
Walio karibu na Mhe. Mbowe watueleze kwanini yeye na mdhamini wake hawakufika Mahakamani leo? Hawakuwa na taarifa ya kesi kuwepo au nini basi?

It show that somehow Mbowe is disorganised. Kama mwenzae amabaye yuko based Dar aliweza kufika. Yeye au mdamini wake kwa nini ashindwe.Au mafisadi sasa wanauwezo wa kuwahonga hata wadhamini.

In bongo every option is possible and equal
 
It show that somehow Mbowe is disorganised.

Mbona mnamjudge mtu kabla ya kusikia upande wake kuna sababu gani
maana sidhani kama Mbowe anajua kabisa kuw aana kesi mahakamani na asitokee
Jiulize ni kwa nini na usimuhukumu kabla ya kusikia upande wake wa habari unasemaje maana hapa ni kama unamuhukumu kuwa alijua na akadharau au akaenda kufanya kazi nyingine
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

Hivi kesi yenyewe inahusu nini? Mbona kila siku ni hati za kukamata watu ndiyo inayotolewa mahakamani? Wakihudhuria watu wanaahirisha ili hakimu apitie mafaili sasa anataka wahudhurie ili iweje wakati yeye hajamaliza kusoma mafaili?
 
Mbona mnamjudge mtu kabla ya kusikia upande wake kuna sababu gani
maana sidhani kama Mbowe anajua kabisa kuw aana kesi mahakamani na asitokee
Jiulize ni kwa nini na usimuhukumu kabla ya kusikia upande wake wa habari unasemaje maana hapa ni kama unamuhukumu kuwa alijua na akadharau au akaenda kufanya kazi nyingine

Khaa sasa wewe unakataaa nini kwani Slaa ni wa chama gani? lema yuko Chama Gani??? Tena wote ni viongozi . Hivi hawa comunicate.??? Dr slaa mbona kuna thread alinadika wakati anawajibu TRA kuwa anakwenda arusha kwenye kesi........

ajifunze kuwe orgainse Kuna nyenzo ya memo na alert kwenye simu yingi za kisasa. Ni vitu vimewekwa ili mtu hata akisahau basi akumbushwe kabla ya tukio. Au yeye anatumia Traditional Diary?

NA mwenye kiti wa Chama si ana secretary amabaye antakiwa kujua na kumbumusha mambo ya kichama ..???

Usiteteee Uzembe
 
Swala sio uzembe au kutetea uzembe maana naona umehukumu kwa kujua taarifa za upande mmoja
Sasa wewe hapo ndio unapaswa kujiuliza kama Katibu wake alikuwa na uwezo wa kuja mpaka arusha na akamwacha Mwenyekiti wake kuna dharura kubwa sana aliyokuwa nayo Mwenyekiti wake ndio maana ameshindwa kuonekana mahakamani
Na kingine kwa kuwa Dr nae ni mshtakiwa hawezi kutoa sababu za kwa nini mshtakiwa mwenzake hayupo mahakamani aliyepaswa kutoa taarifa ni mdhamini ambaye nae ni mgonjwa
Usikurupuke kulaumu kabla hujajua sababu ni nini
 
Mbona mnayeyusha??.....KAMA WEWE UNGEKUWA HAKIMU UNGEAMUAJE?
 
Huyu ndio kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni, halafu ndio Mwenyekiti wa Chadema Taifa, anakuwa muhuni hivi je raia wa kawaida watakuje? Mbowe ebu heshimu sheria ya nchi, mambo yako ya kihuni peleka huko Bilicanas

na wewe ondoa uchi wako hapo!
 
Una personal contact zake na unaweza hata kumPM na kumuuliza Dr mwenyewe au mchumba wake hayo maswali maana kwa wengine hayana tija wala hayatuletei maendeleo

Sasa kwani umeshikiwa bunduki usome? Kama unaona haina tija siuipotezee tu?
 
Ajitahidi aende na vielelzo tu, sheria ni msumeno, ingawa tunajua namna unavyouma wapinzani zaidi

Kwa hakika mkuu "upumbavu hauna ujazo". Ipo tofauti kati ya "mpumbavu" na "mjinga". Mjinga akielimishwa ujinga wake unafutika, ndo maana tulikuwa na msemo wa kufuta ujinga na si upumbavu. Unaweza kuwa na Phd lakini ukabakia mpumbavu. Mimi nategemea kwa kuheshimu jamvi letu la watu ambao ni "Great Thinkers" nategemea hapatakuwa na wapumbavu.

Pia, ni vyema kujua Mahakama, Bunge, na Serikali yenye (Rais na watendaji wake) ni vyombo vitatu ambavyo kila chombo kina jukumu lake. Mara nyingi tumekosa imani katika utendaji wa vyombo hivyo, na wakati mwingine tumesababisha wenyewe. Sasa tuiacha ushabiki wa kisiasa hakimu aliyetoa arrest warrant kwa Bw. Mbowe anakosa gani? Ni kweli Mbowe hakuwepo mahakamani hakimu hana taarifa kiutendaji anatakiwa akamatwe aje ajitete.

Mimi naamini kwamba wananchi watakuwa na haki ya kuuliza (question) mwenendo wa kesi hii na pia kukosa imani na hakimu huyu baada ya kupata sababu zilizo mfanya Bw.Mbowe asiwe mahakamani hali akijua kuwa ni kosa la kuidharau mahakama, mbona tunarusha virungu kabla hatujadhibitisha kama kweli kuna sababu za kimsingi za Mbowe kutofika mahakamani.

Mwito kwa wana jamvi la jamii, tusaidie kuijenga nchi yetu, Kama kuna jambo Kikwete amefanya zuri tumpongeze,kama amekosea tukosoane kwa adabu. Vile vile kama Slaa amefanya jambo zuri tumpongeze akikosea tumkosoe pia kwani sisi wote ni wanadamu siamini kama kuna mmoja ambaye ni kamili 100%.

Tujipange kuijenga nchi yetu, tutoe ushauri unaofaa inapobidi tuache ushabiki wa dini ,kabila na vyama great thinkers tu we thinkers wa kwelikweli. Hoja unapoitoa ipime kama ilalenga kujenga au kubomoa. Kila mmoja wetu na amini ana utashi fulani wa kisiasa. Hebu tutangulize utaifa kwanza kisha siasa katika kufanya hivyo huta mtetea Kikwete wala Slaa utaangalia masilahi ya Taifa.

Mbowe akikosea hutamtetea, Polisi wakiua wananchi hutawatetea. Utakacho simamia ni Haki na Kweli. Kuna watu wanataka kweli lakini hawatendi haki, na kuna watu wanataka haki wakati si wakweli. Haki na kweli ni vitu viwili ambavyo havitenganishwi. Kwani kazi ya Haki na Kweli ni Amani ambayo ndo tunatafuta kwa nchi yetu.
 
Khaa sasa wewe unakataaa nini kwani Slaa ni wa chama gani? lema yuko Chama Gani??? Tena wote ni viongozi . Hivi hawa comunicate.??? Dr slaa mbona kuna thread alinadika wakati anawajibu TRA kuwa anakwenda arusha kwenye kesi........

ajifunze kuwe orgainse Kuna nyenzo ya memo na alert kwenye simu yingi za kisasa. Ni vitu vimewekwa ili mtu hata akisahau basi akumbushwe kabla ya tukio. Au yeye anatumia Traditional Diary?

NA mwenye kiti wa Chama si ana secretary amabaye antakiwa kujua na kumbumusha mambo ya kichama ..???

Usiteteee Uzembe
Wewe unafikiri kufika mahakamani ndiyo kuwa organised unaweza usifike ukawa organised pia na kwa vile unasema viongozi wenzake wamefika yeye hajafika huoni kuwa inawezekana anajua anachokifanya.
 
Back
Top Bottom