Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

Hapo ndipo usipoujuwa Uislam, kwanza kabisa, mwanamke akishakuwa na watoto tu, basi hata kama nyumba ni yako, unaondoka wewe, mpaka watoto wakuwe (balehe) au aolewe na mume mwingine. Kumbuka hilo.

Ya kuchuma pamoja Uislam umehimiza maandikiano ya mikataba yenu (hii ipo kwenye Qur'an) si kukubaliana tu kisha kudhulumiana, kila mmoja aandike mali zake na mkiwa partners kila mmoja apate haki yake akiwa hai na si mpaka mmoja afe - kumbuka hilo pia.

Urithi kwa Waislam ni kitu kingine na mali za kuchuma pamoja ni kitu kingine. Hapo ndipo mnapowadanganya wake zenu, kuwa tunachuma pamoja, katika Uislam kama mnachuma pamoja mgawane kama biashara nyingine yoyote ile mkiwa hai, kila mtu anachukuwa haki yake na kuifanyia apendacho akiwa hai. Si kungoja mmoja kafa mwengine akombe zote.

Unaona raha ya sharia hiyo?

Ni kweli ni nzuri. Kama ipo na inatambulika sasa mnataka nini? au mnataka bunge lijadili nini?
 
Hiv kwa nini mnapenda kutukana watu, kwan we ukitoa tu hoja bila kutukana itakuwaje...

halaf kwan kama waingereza na wafaransa waliikubali mahakama ya kadhi ni wao na mazingira ila siyo ya hapatanzania

Hala leo cha kushangaza eti na wewe leo unaitetea uingereza na kuiona iliwahi kufanya jambo la maana duniani, muislam kabisa anasifu nchi za makafiri?.

Kweli nimeamini dini si mchezo.

Mungu ibariki Tz...

Na hao ndo wanajiita wastarabu eti waarabu wamewafundisha ustarabu wa hali ya juu
 
Mahakama inayokataza watu kunyoa ndevu.

mahakama inakataza watoto wasisome elim dunia.

mahakama utayokata wezi mikono.

mahakama inayotambua kumuua mkristo ni haki.

mahakama inayomkatqza mwanamke kurithi.

mahakama inayohukumu mwananke aliyefanya sex kupigwa mawe mpaka afe.

mahakama inayofanya uonevu kisha haitaki ikaguliwe wala kuongozwa na yoyote.

Mahakama ya kadhi haikubaliki tanzania.
 
jk si kasema hukuna mahakama ya kadhi sasa semina za nini?

JK hawezi kwani ni dhaifu mno, si mara yake ya kwanza kusema hivo kwani mara ya kwanza alisema hivo akiwa msikiti wa quadafi pale dodoma.
 
Kama mmeshaamua na kwamba msipopewa mmachokitaka mtafanya fujo, kwa nini mnapeleka muswada bungeni? Muswada wa kujadiliwa ili uamuliwe kwa maslahi ya taifa au muswada wa kusainiwa tu? Ndiyo kazi ya bunge?

Unajua kuna katiba ya nchi inayotakiwa kuheshimiwa na watu wote? Katiba inasemaje juu ya dini na vyombo vyake?

ENDESHENI MAHAKAMA ZENU NA MZIGARIMIE NDIYO. KITU GANI KINAWAFANYA SASA MLAZIMISHE ZINADINKWE KWENYE KATIBA WAKATI TANZANIA INA DINI NYINGI NA KILA DINI INA SHERIA ZAKE LAKINI HAKUNA HATA MOJA ILIYOINGIZWA KWENYE KATIBA KWA KUWA WATU WAKE WANAHESHIMU KWAMBA SERIKALI YA TANZANIA HAIFUNGAMANI NA DNI YOYOTE?

KULINDA KATIBA NI CHUKI?

TUMESEMA WAISLAM KAMA DINI ZINGINE ZOZOTE, TENGENEZENI MAMBO YENU YOTE KWA MUJIBU WA IMANI ZENU NA MUANDIKE KURUANI NYINGINE AMA KATIBA YENU KAMA TAKAAVYO LAKINI MSIVUNJE SHERIA.

KATIBA YA NCHI NA SHEIRA ZA NCHI NI ZA TAIFA NA HAZITAFUNGAMANA NA DINI YOYOTE. HAKUNA DINI KUWA JUU YA SERIKALI NA HAKUNA DINI MOJA KULAIZMISHA SERIKLAI KWA VITISHO KAMA MNAVYOFANYA. MNACHOKITAFUTA HATUKITAKI NA MNAJUA NI CH ASIRI NDIYO MAANA HATA HAMTAKI KUKISEMA HADHARANI. HATA HIVYO TUNAWWAFAHAMU. TANZANIA HAISILIMISHWI!.

Sheikh mmoja leo katuambia hivi:wanang'ania mahakama ya kadhi itambuliwe ni kutaka kuidhinisha ndoa za watoto wa miaka sita kama nabii wao alivyofanyaaa.ili serikali itambue hayo maamuzi isije pinga na kuuita kuwa huo ni ubakaji na kuwachukulia hatukali dhidi ya wazinzi wote watakao jaribu kuoa vitoto vya miaka sita kwa mwamvuli wa mahakama ya kadhi.ndio sababu ya kunga'ng'ania serikali iheshimu maamuzi yao.
 
Ata Chadema na CUF hapa wanagawanyika.

Sini ina nguvu kuliko siasa.Ukiwauliza watu wachague kati ya DINI na SIASA watachagua DINI.
Ndo ujue maana Ya simu inayomwagwa na wanasiasa natamani baba wa Taifa arudi atoe lecture Ya dakika 10 tu. Kina pinda watakimbia viti
 
Pinda kwa kuwa kaoa muislamu na kambadilisha dini mke wake tunu pinda ndiye anaye kuza suala hilo . kwa nini yy asitamke tu suala hilo haliwezekani. Pinda ndiye anaye chochea vurugu
 
Tupe darasa imemkomboa kivipi? Akipewa talaka anaondoka na begi tu hata kama wamechuma pamoja mali zilizopo?
Mkuu wakati mwingine unatakiwa kuusoma Uislam na kuulewa kuliko kuongea vitu vya kupotosha pata darsa kiduchu kuhusu Mwanamke kwenye Uislam.

suala la mwanamke ni suala ambalo liliwashughulisha watu wengi walio pita, na linaendelea kuwashughulisha wengi katika zama zetu hizi. Dini na mila mbalimbali zimezungumzia hali ya mwanamke katika jamii. Wasomi wa elimu na falsafa tafauti wamejaribu kuzungumzia cheo cha mwanamke katika jamii. Lakini kila kundi linajaribu kumzungumzia mwanamke kwa misingi ya kufikia malengo yao. Katika khutba hii tutajaribu kuangazia cheo cha mwanamke katika jamii mbalimbali. Tutaangalia hali ya mwanamke kabla ya kuja Uislamu, na hali yake katika Uislamu, na hali yake katika mataifa ya magharibi.Hali ya Mwanamke kabla ya kuja Dini ya kiislamuAlikuwa mwanamke katika zama za ujinga akionekana kama bidhaa ambayo haina thamani. Kila mtu anaweza kumiliki bidhaa hiyo wakati wowote. Wanaume wakioa wanawake bila ya idadi maulumu na kuacha bila ya idadi ya talaka. Mwanamke haruhusiwi kumiliki chochote, hana haki ya kurithi, anaweza kuolewa na zaidi ya mume mmoja. Mwanamke hakuwa na cheo katika jamii ya ujahiliyah, bali alikuwa akionekana ni mtu anayeleta aibu katika jamii. Ikafikia hali hiyo, baadhi ya wanaume kuwazika mabanati wao wakiwa wadogo kuogopea kuleta aibu katika jamii. Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) Anatueleza hali ya mwanamke Akisema:قال تعالى :(وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُمْ بِالْأُنْثَى ظَلَّ وَجْهُهُ مُسْوَدًّا وَهُوَ كَظِيمٌ 58يَتَوَارَى مِنَ الْقَوْمِ مِنْ سُوءِ مَا بُشِّرَ بِهِ أَيُمْسِكُهُ عَلَى هُونٍ أَمْ يَدُسُّهُ فِي التُّرَابِ أَلَا سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ ) [النحل: 59]{{Na mmoja katika wao anapopewa khabari ya kuzaliwa mtoto wa kike, unabadilika uso wake huwa mweusi na akajaa sikitiko. Anajificha na watu kwa sababu ya khabari mbaya ile alioambiwa. (anafanya shauri) Je, akae naye juu ya fedheha hiyo, au amfukie udongoni. Ni mbaya mno hukumu yao hiyo}}. Hii ndio hali halisi ya mwanamke kabla ya kuja Dini ya kislamu. Na hali hii ilikuwa sawa katika mataifa yote, sawa taifa la kiarabu na wasiokuwa waarabu.Hali ya Mwanamke katika UisalmuBaada ya mwanamke kuishi katika dhulma kwa muda mrefu, bila ya kupata haki zake. Allah (Subhaanahu wa Taala) Alimtumiliza Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) kuja kumkomboa mwanamke na dhulma na udhalilifu alikuwa akipata kutoka katika jamii anayo ishi. Dini ya Kiislamu inamtukuza mwanamke na inampa haki zake zote katika jamii. Miongoni mwa haki hizo:-Mwanamke sawa na mwanamume katika kutekeleza majukumu ya Dini. Amesema Allah (Subhaanahu wa Taala):قال تعالى :(مَنْ عَمِلَ صَالِحًا مِنْ ذَكَرٍ أَوْ أُنْثَى وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَلَنُحْيِيَنَّهُ حَيَاةً طَيِّبَةً وَلَنَجْزِيَنَّهُمْ أَجْرَهُمْ بِأَحْسَنِ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ) [النحل: 97]{{Wafanyaji mema, wanaume au wanawake, hali ya kuwa ni Waislamu, tutawahuisha maisha mema, na tutawapa ujira wao mkubwa kabisa}}. Na Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) alimfadhilisha mwanamume kuliko mwanamke katika baadhi ya mambo, kwasababu ya majukumu mazito ya mwanamume katika kusimamia familia.Mwanamke anastahiki kurithi. Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) Amesema:وقال سبحانه) :-لِلرِّجَالِ نَصِيبٌ مِمَّا تَرَكَ الْوَالِدَانِ وَالْأَقْرَبُونَ وَلِلنِّسَاءِ نَصِيبٌ مِمَّا تَرَكَ الْوَالِدَانِ وَالْأَقْرَبُونَ مِمَّا قَلَّ مِنْهُ أَوْ كَثُرَ نَصِيبًا مَفْرُوضًا) [النساء: 7]{{Wanaume wana sehemu katika mali wanayoacha wazazi wao na jamaa walio karibu. Na wanawake pia wanayo sehemu katika yale waliyaacha wazazi wao na jamaa walio karibu. Sawa yakiwa kidogo au mengi. Ni sehemu zilizofaridhishiwa (na Mwenyezi Mungu)}}.Mwanamke ana haki ya kuchagua mume wa kumwoa. Hawezi kuolewa bila ya ridhaa yake. Kinyume na zama za jahiliyah, mwanamke alikuwa ni bidhaa na chombo cha starehe kila mtu anakichukuwa kwa thamani ndogo, na kwa lengo la kutekeleza matamanio yake.Mwanamke ana haki ya kujikomboa kutokana na mume dhalimu. Sheria ya kiislamu imempatia mwanamke haki ya kutoa talaka kwa mwanamume mwenye tabia mbaya, mwenye kumnyima mkewe haki zake.Haya ni baadhi ya mambo muhimu mabao mwanamke amepewa katika Dini ya kiislamu. Na hii ndio hali halisi ya mwanamke katika Uislamu. Uislamu ulimrejeshea mwanamke hadhi na utukufu wake katika jamii, na ikatambua mchango wake mkubwa katika kuandaa kizazi cha kesho na kulea viongozi wa kusimamia Dini ya kislamu. Amesema Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) katika Hija: [Mcheni Mwenyezi Mungu katika kuwasimamia wanawake, kwa sababu wao ni wasaidizi wenu]. Mtume anaweka wazi cheo cha mwanamke nacho ni wasaidizi wa wanaume, sio mtumwa au mtumishi kama wanavyomdai watu wengine kwamba uislamu umemfanya mwanamke kuwa ni mtumwa hana haki yoyote katika jamii.Enyi waja wa Allah, tumcheni Allah na tufanyeni bidii kuwasimamia wake zetu kulingana na alivyo tufundisha Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala).part2Ndugu Waislamu, nawausieni na kujiusia nafsi yangu kumuogopa Allah (Subhaanahu wa Taala), kwani wachaji Mungu ndio wenye kufaulu. Ndugu katika imani, tuangalieni hali ya mwanamke katika nchi zilizoendelea kama wanavyo dai nchi za kikafiri.Hali ya Mwnamke katika nchi za kikafiri.Hakika hali ya mwanamke katika nchi hizi ni mbaya sana kushinda hali ya mwanamke katika zama za jahiliyah. Mwanamke amefanywa kuwa ni kivutio cha kila badhaa au biashara kwa kudhihirisha uchi wake bila ya kujali wala kuona haya. Kila tukiangalia runinga, kusoma magazeti, internet tunashuhudia mwanamke ndiye wa kwanza kuonyeshwa hali akiwa uchi kabisa kwa lengo la kuvutia watu katika biashara hiyo. Kwa kweli mwanamke amepokonywa haki zake zote za kimsingi, haki ya kusimamia majukumu ya nyumba, kulea watoto, kuandaa familia juu ya misingi ya tabia njema na maadili mazuri.Leo mwanamke hana nafasi nyumbani, kazi yake kubwa ni kutoka nje na kwenda kushindana na wanaume, na kudai haki za wanaume katika kazi. Imekuwa hakuna tafauti baina ya mume na mke. Na hili ndilo lengo kubwa la makafiri kumtoa mwanamke nje na kumvunjia heshima yake aliyopewa na Allah (Subhaanahu wa Taala). Na baadhi ya wanawake wa kiislamu wameathirika na tabia mbaya za makafiri. Wakaona haya ndio maendeleo na kuonekana kuwa mtu ameendelea.Ndugu waumini, ni wajibu wetu kama wazazi kuwatahadharisha wake zetu mabanati wetu na kasumba mbaya za makafiri. Na tujue makafiri hawatokuwa radhi mpaka tufuate mila zao. Amesema Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala):قال تعالى :(وَلَنْ تَرْضَى عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَى حَتَّى تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَى وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ) [البقرة: 120]{{Hawatukuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila yao. Sema hakika uongozi wa Mwenyezi Mungu ndio uongozi wa sawa. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya yale yaliyokufikia ya ujuzi, hutapata msaidizi yoyote wala mlinzi kwa Mwenyezi Mungu}}.MwishoMwisho ndugu Waislamu, tukumbuke malipo na fadhila atakazopata mwenye kumlea msichana malezi ya kiislamu kisha amuozeshe mume mwenye tabia njema basi huyo amedhaminiwa kuingia peponi. Amesema Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam): [Mwenye kuruzukiwa mabinti watatu, na akasubiri juu ya kuwalea, kwa hakika mtu huyo amewajibika kuingia peponi. Akasema mtu kumuuliza Mtume: vipi ukiwa na wasichana wawili?. Akasema Mtume na wawili pia ni sababu ya kuingia peponi].Ndugu waumini, angalieni rehma ya Allah juu yetu katika kusimamia majukumu ya Allah kwa kuwalea wasichana kwa maadili mema na tabia njema, Allah atakulipa pepo yake ambayo si rahisi kuingia kila mtu, isipokuwa watakao simamia majukumu hayo.Tunamuomba Allah atuwafikishe tuweze kutekeleza majukumu yote kwa njia ya kumridhisha yeye peke yake. Na tunamuomba Mwenyezi Mungu awahifadhi watoto wetu na kila shari ilio dhahiri na siri.
 
Matumbo na Wanamajlis,.....Nakuwekeeni maneno kutoka mswada wangu, "Christian Hegemony ........Nawaombeni mtafakari haya yaliyotokea leo katika Semina ya Mahakama ya Kadhi[.... Muslim heroes of the Maji Maji War like Suleiman Mamba, Sultan Songea bin Rauf, Sheikh and Sultan Mataka bin Hamis Massaninga
......../The result of all this is that the Church has been made to stand naked. That the Church neither played any role during..... Maji Maji War hero and Chief of Wangoni Sultan Songea bin Rauf, his Muslim names would be omitted and he would be referred to as “Songea Mbano

........Maji Maji Museum in Songea which has been greatly desecrated removing all signs of Muslim symbols during the Maji Maji War with Germans. The Maji Maji Museum at Peramiho under the Catholic Church has closed its doors to young Muslims for fear of criticism for distorting history. All Muslim symbols in Maji Maji War against Germans have been obliterated in the Maji Maji Museum....
Yusuf Halimoja, Historia ya Masasi, East African Literature Bureau, Nairobi, 1977 pp 163 175 gives a narration how Christians fought alongside Gerrmans during Maji Maji.... 1980, pp 31- 42.[/COLOR]


Shehe, Leo umenipa elimu mpya. Kumbe vita Vya Maji maji ulikuwa ya kidini- Waislamu dhidi ya Wakristo! Na kumbe dini zinaruhusu shirki?

Kuna ujinga mingi sana umechomekwa vichwani mwetu, mtu akiitwa Masudi huyo ni Muislamu, kwa hiyo akipigana na Paulo, huyo Paulo atakuwa Mkristo kwa hiyo basi ni Jihad! Afadhali wanangu hawana majina yenu ya kidini.
 
Lazima kinuke nyie tuleteeni quran kwenye sheria zetu alafu muone mziki wake. Tutawatafuna mpk nyama kama central Africa.
usicheze na huo mziki wewe mseng'e. kule central republic waislam ni 15% tu. kwenye mji mkuu walipokuwa wanauliwa ni chini ya 6%. wengi wao wapo mpakani na chad. anzisheni hapa muone moto wake.
 
Hiyo Mahakama bado mwenzenu siilewi vizuri. kama inawahusu wao tu kwanini tena kutumia kodi za wananchi wote kuijadili Bungeni? je na wakristu watengeneze sheria ziingizwe kenye katiba ? kichwa kinauma kwa kweli


mahakama ya kadhi... ni mahakama ambayo minafuata sharia za Mussa.... na katika ulimwengu huu haiwezi kukubalika moja kwa moja kwa sababu... she ria nyinghi za kipindi kile zilikuwa against human rights...

me nadhani waislamu wajitahidi kupambana kujenga baraza lao ambalo litakuwa linawasaidia wao katika masuala yako... kama alivyosema mmoja wetu huu ndani.... BAKWATA hushughulikia masuala ya mirathi n.k.. basi waislamu wabnoreshe hilo jukwaa/ baraza bili waweze kupata yako zao huko... na sio kuleta mijadala ya kidini kwenye bunge la watu wenye dini tofauti.. I mean wabunge.....

waislamu jitahidini kuipigania BAKWATA yenu iwe na memo isiingiliwe na serikali ili muweze kumaliza mambo yenu huko... na pia mjitahidi kuboresha maana wengi wanakinzana kwa sababu sheria nyingi za dini zimekuwa zikiegemea upande mmoja na kuacha Pande nyingine inanung'unika.....
 
Sasa huyo muislam anaye hukumiwa na kadhi asikubali akimbilie mahakama za serikali atakuwa bado ni muislam kwa imani na kwa maana halisi ya usilamu?

Hata kama mahakana ya serikali ikiitengua hukumu, je huko kwa Mungu nako hukumu itatenguliwa kama ni ya haki?

Kama ndio mnataka kulazimishia hukumu za dunia hii, jehanamu itakuwa na kazi gani? au akiachiwa na mahakama za serikali ndio ameachiwa na hukumu ya jehanamu? Kwanini mnataka kumsaidia Mungu wenu kazi zake?

Na hili ndilo tatizo kubwa la madai haya. Kutaka Mahakama hii kuwa juu ya Mahakama zote kwenye masuala yanayowahusu wale wanaodaiwa kuwa waislamu ( si wote wanakubalika kuwa waislamu mbele ya wale wanaojiona kuwa ndio waislamu safi) haikubaliki. Ni lazima pawe na chombo ambacho kitahakikisha kuwa haki inatendeka kwa misingi ya kibinadamu bila kujali dini, kabila, rangi, umri au jinsia ya mtu. Katiba ya Kenya pamoja na kutambua uwepo wa Mahakama ya Kadhi lakini inaweka bayana kuwa ni subordinate kwa Mahakama Kuu, mahakama ya Rufaa n.k. Vile vile ndivyo ilivyo Uingereza.

Hivi ndivyo ilivyo hata kwa wakristu. Kwa mfano, ingawa Kanisa Katoliki halitambui talaka lakini mtu anaweza kwenda Mahakamani na kudai ndoa yake ivunjwe. Mahakama ikiridhia, itavunja ndoa hiyo na kuwafanya wahusika kuwa huru na hata hapo baadae kufunga ndoa na mtu mwingine kiserikali. Hii ni pamoja na kuwa machoni mwa Kanisa hao watakuwa wanazini na sio katika ndoa.

Amandla....

Amandla......
 
Hilo ni moja. Kwamba watoto watakapoolewa wadogo wadogo kwa kadhi pasiwe na chombo cha kupinga, mahakama wala haki za binadamu wala nani kwa sababu kupinga kokote kutakuwa ni kuvunja katiba.

Si hilo peke yake, yako mengi sana lakini pia ni kulazimisha watu watii sheria za dini hiyo na wasiwe na uhuru wa kubadili dini wala watoto wao kuchagua dini waitakayo kwa sabbu sheria za kiislam haziruhusu.

Kulazimisha sheria za dini hii kwenye katiba ya taifa huru lisilo la kidini ni kuchoka amani, uanfiki na ni mwanzo wa kuisilimsha nchi na machafuko.

Ukizaa na muislam, mtoto ni muislam na hana uhuru wa kuchagua dini aitakayo. Huu ni wehu!.

Sheikh mmoja leo katuambia hivi:wanang'ania mahakama ya kadhi itambuliwe ni kutaka kuidhinisha ndoa za watoto wa miaka sita kama nabii wao alivyofanyaaa.ili serikali itambue hayo maamuzi isije pinga na kuuita kuwa huo ni ubakaji na kuwachukulia hatukali dhidi ya wazinzi wote watakao jaribu kuoa vitoto vya miaka sita kwa mwamvuli wa mahakama ya kadhi.ndio sababu ya kunga'ng'ania serikali iheshimu maamuzi yao.
 
Mahakama inayokataza watu kunyoa ndevu.

mahakama inakataza watoto wasisome elim dunia.

mahakama utayokata wezi mikono.

mahakama inayotambua kumuua mkristo ni haki.

mahakama inayomkatqza mwanamke kurithi.

mahakama inayohukumu mwananke aliyefanya sex kupigwa mawe mpaka afe.

mahakama inayofanya uonevu kisha haitaki ikaguliwe wala kuongozwa na yoyote.

Mahakama ya kadhi haikubaliki tanzania.
Huu utoto sasa unaoleta shule zinafunguliwa lini.
 
Hivi wewe mahakama ya kadhi inakuhusu nini? sisi kama tuko nyuma si ndiyo furaha kwako au siyo? sasa kinakuuma nini kuwa kwetu nyuma? sisi tunapenda tuwe nyuma, wewe endelea kuwa mbele, kinakuuma nini?

Mchumba, leo unadai kuwa ya waislamu yananihusu nini? Kesho serikali ikishakubali kuiendesha mahakama yenu, mambo yatakuwa kama hivi!:-


Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmojaanayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake nimuisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwakuolewa na mwanamume mkristo , kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwawanawake.Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni mjamzito na ataadhabiwakwa kuchapwa mijeledi miamoja kwa kosa la zinaa.Maafisa wakuu wanasema kuwa licha ya Mariam kulelewa kwa njiaya kikristo yeye bado ni muisilamu kwa sababu hiyo ndiyo dini ya babake.Alipewa siku tatu baada ya kuhukumiwa aweze kurejea katikadini ya kiisilamu lakini akakataa na ndio maana adhabu ikasalia.Kwa kawaida wanawake waisilamu hawaruhusiwi kuolewa nawanaume wakristo ingawa wanaume waisilamu wanaruhusiwa kuwaoa wanawakewakristo.Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu AmnestyInternational linasema kuwa Bi Ishag alilelewa kama Mkristo muorthodoxi kwasababu babake hakuwepo naye maishani mwake.
 
Back
Top Bottom