Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
nimesoma gazeti la nipashe linasema kuwa serikali itgharamia mafunzo yatakofanyika nje ya nchi kuhusiana
na namna ya kuendesha mahakama ya kadhi ikanishangaza sana nikajiuliza huku sio kutumia kodi za wananchi
ku establish/promote one religion wakati huo huo ikijitangaza kuwa haina dini.

Binafsi nataka kuwepo na mahakama ya kazi lakini sitaki serikali iwe na mkono wa fedha kwa sababu ya kuepuka
kuwa controlled na serikali kwa sababu ukishakubali pesa ya serikali basi umeuza uhuru wako kama ambavyo
imetokea kwa bakwata. naomba ujadili hoja iliyopo mezani ya serikali kutumia kodi za wananchi kugharamia
mafunzo ya kidini ya dini moja na siyo kumjadili mtu.
 
Kwani wewe una dini?

Ndio nina dini na ninaitii, lakini natumia pia my natural instincts katika issues zinazohusu dini yangu. Kwa mfano, nikiambiwa Yesu alisema tufuge ndevu na kuvaa suruali fupi, hiyo nami nitatumia instincts zangu kufika ukweli
 
Sasa hii mahakama itawa hukumu ata uamsho wachoma nyumba za ibada!

Kwa hii mahakama waislam hawawezi kuanzisha lazima waanze kulilia serikali.

Baada wajenge shule ili wasome wanataka mahaka.

Hivi kutakuwa na mawakili?
 
nimesoma gazeti la nipashe linasema kuwa serikali itgharamia mafunzo yatakofanyika nje ya nchi kuhusiana
na namna ya kuendesha mahakama ya kadhi ikanishangaza sana nikajiuliza huku sio kutumia kodi za wananchi
ku establish/promote one religion wakati huo huo ikijitangaza kuwa haina dini.

Binafsi nataka kuwepo na mahakama ya kazi lakini sitaki serikali iwe na mkono wa fedha kwa sababu ya kuepuka
kuwa controlled na serikali kwa sababu ukishakubali pesa ya serikali basi umeuza uhuru wako kama ambavyo
imetokea kwa bakwata.

Nadhani hapa Pinda amevunja waziwazi katiba ya nchi.
 
....Tatizo kubwa ni Hilo!
Mnapenda sana kufanyiwa na kupewa tu bila nyinyi wenyewe kutoka jasho.
Hao watu uliotaja inatakiwa waongezee tu katika kile ambacho
mmeishafanya, sio watumie pesa zao huku nyi mmejibweteka tu mkingoja
kufanyiwa...Shauri lenu. Mjini hapa!

Bakhresa na Oil com hawajawahi kuchangia hata penseli au dawati,tkbir kwa kupenda vya bure !
 
nimesoma gazeti la nipashe linasema kuwa serikali itgharamia mafunzo yatakofanyika nje ya nchi kuhusiana
na namna ya kuendesha mahakama ya kadhi ikanishangaza sana nikajiuliza huku sio kutumia kodi za wananchi
ku establish/promote one religion wakati huo huo ikijitangaza kuwa haina dini.

Binafsi nataka kuwepo na mahakama ya kazi lakini sitaki serikali iwe na mkono wa fedha kwa sababu ya kuepuka
kuwa controlled na serikali kwa sababu ukishakubali pesa ya serikali basi umeuza uhuru wako kama ambavyo
imetokea kwa bakwata.

Sasa unaonaje MOU ivunjwe na makanisa warudishe serikalini mashule na mahospitali yote yaliyojengwa kwa pesa ya serikali ambayo pia ni hela za watanzania wote.Msiangalie tu upande msioupenda jaribuni kuangalia usawa kwa manufaa ya nchi vilevile.Ktk nchi siku zote lazima kuwe na usawa kwa kila mwananchi.Kama inavosema katiba yetu kwamba nchi haina dini lakini wananchi watakuwa na uhuru wa kuabudu,kwa maana hiyo waisilamu wanayo haki ya kuishitaki serikali kuhusiana na mikataba waliosainiana ya MOU tokea mwaka 1992.Kama mnaona waisilamu hawana haki ktk nchi hii na ukristo ndio unahaki peke yake mtapenda nchi ije ijigawe kwasababu ya ubinafsi tu?
 
Hujanielewa, sipingi mahakama ya kadhi maana hainihusu, just for curiosity!!!! hapana. Nawaheshimu sana na maamuzi yenu!!Ila najiuliza faida zake ni zipi kuliko secular laws? Ndio maana nimeomba nieleweshwe. Sina dharau na dini yoyote. hata kama wakatoliki wangelikuwa na mahakama, sidhani kama zingelinisaidia sana katika maisha ya humu mudunia kuliko sheria za serikali. Pole kama nimekukwaza. Na kweli ndevu zina faida gani, usumbufu wa kunyoa tu!! ukiacha kuwa Mtume SAW anawataka mzifuge!!
Nimekuelewa vizuri isipokuwa wewe mwenyewe ndio hujajielewa. Kama unataka kuzijua faida kwa nini wewe unaona mke kanisani faida zake ni zipi?.. Kwa nini usiende kuoa ktk ofisi ya Halamashauri ikiwa wewe unataka sheria za secular?.

Vivyo hivyo Muislaam ana haki kama yako anaoa mke muislaam kwa kuamini sheria zake ktk haki ya ndoa na ndipo sheria za talaka na mirathji zinapomhusu, wewe usiye na sheria hizi ndio unaenda mahakama au unamwacha mkeo bila talaka na kuvuta kimada mwingine ukitumia dini kutohallaisha ndoa ya pili ati huruhusiwi kutoa talaka, hivyo unamtumia tu huyo binti ambaye ukifa anaondoka hana kitu, mirathi inakuwa tatizo ambalo haki za mke na watoto zinaamuriwa na serikali.

Waislaam wameyaona haya wazazi wengi wakiacha mali kwa kumrithisha mtu mwingine kabisa wakiwaacha watoto na mke hawana kitu, ndipo walipoona uhalali wa watoto kuwa warithi halisi wa mali hizo na sio kuandika will ambayo inawaondoa watoto na mke. Lazima watu hawa wawe ktk mirathi no matter what!
Wewe unaijua nchi yetu, ufisadi hadi vyumbani na hakuna mahala watu wanauana kama kwenye urithi na pengine ndio vifo vingi vya crimes zetu hutokana na mali. Kama ipo sheria ya mgao mara zote utakuta inasaidia kuondoa crimes maana kila mtu anajua fungu lake.
 
Mzee unasema kweli hapa kuwa Waislamu ni watu wa amani? Are you serious??? Jiulize mara mbili zaidi. Una amani kwa kutuchomea makanisa?
Utatufundisha nini wewe kuhusu amani?! fanya research kuhusu Mtume SAW jinsi alivyofunga makataba wa amani na Makafiri huko Hudaybiyah, uone kuwa sisi ni watu tunaomaliza matatizo kwa amani kabla ya vita, kubakieni kwenu nyinyi Wakristo miaka yote hii huku mkifanya kila aina ya uvunjaji wa amani(kutoka mwembechai mpaka MOU) bila ya kuguswa ni ushahidi tosha kuwa Waislamu ni watu wa amani.
 
Huyu PM na serikali yetu ya chama cha magamba sijui huwa wanasoma katiba au la. Hata sielewi kama wanachokisema huwa wanakitafakari. Make jana Pinda amesema uendeshwaji wa mahakama ya kadhi utafanywa na waislamu wenyewe na mahakama itagharimiwa na waislamu wenyewe. Sasa kisa cha nini serikali kugharimia mafunzo ya kitu ambacho haihusiki? Halafu moja ya nchi zilizotajwa wajumbe watakwenda kujifunza ni pamoja na zanzibar, hivi kweli waislamu hawajui namna ya kuunda mahakama ya kadhi mpaka waende zanzibar, hivi kadhi wa zanzibar si yupo katika muundo wa seriakli ya mapinduzi zanzibar hawezi kualikwa tanganyika akaja kuwasaidia waislam kuunda mahakama yao. Mimi siamini kwamba waislamu wa tanganyika wanaweza kudai mahakama ya kadhi wasiyoielewa, huku ni kuwadhalilisha waislamu wa tanzania na kufuja kodi za walipa kodi pasipo sababu ya msingi. Serikali iwaachie waislamu waanzishe yenyewe iwatambue tu kwenye katiba ya nchi kuwa mahakama yao ipo kw amujibu wa katiba ya nchi na maamzi yake yasiyokinzania na sheria nyingine km za udhalilishaji au jinai basi yatatambulika kote tanganyika.
 
Pinda na Jk ni vigeugei sana na hawaaminiki..walishakataa mambo ya mahakama ya kadhi sasa wanaanza tena drama zao..hivihuyu pinda mzima kweli huyu mzee? tusije tukawa tunaongozwa na watu wenye mtindio wa ubongo hapa
 
Sioni tatizo kama wewe au Waislamu wakiamua kufanya hivyo wao kama wao. Binafsi yangu hilo ni swala lenu kama Waislamu. Sifikiri kama kuna mtu amekataa msifanye hivyo. Mimi nakataa kufanya hayo uliyoyasema kwa kutumia kodi za watanzania. Mimi ni mpagani, iweje nitoe kodi yangu kuendesha dini yako ambayo sina haja nayo. Natoa kodi ili nipewe huduma nzuri za matibabu na siyo kuendeshea imani za watu wengine.
Nimekuelewa vizuri isipokuwa wewe mwenyewe ndio hujajielewa. Kama unataka kuzijua faida kwa nini wewe unaona mke kanisani faida zake ni zipi?.. Kwa nini usiende kuoa ktk ofisi ya Halamashauri ikiwa wewe unataka sheria za secular?.

Vivyo hivyo Muislaam ana haki kama yako anaoa mke muislaam kwa kuamini sheria zake ktk haki ya ndoa na ndipo sheria za talaka na mirathji zinapomhusu, wewe usiye na sheria hizi ndio unaenda mahakama au unamwacha mkeo bila talaka na kuvuta kimada mwingine ukitumia dini kutohallaisha ndoa ya pili ati huruhusiwi kutoa talaka, hivyo unamtumia tu huyo binti ambaye ukifa anaondoka hana kitu, mirathi inakuwa tatizo ambalo haki za mke na watoto zinaamuriwa na serikali.

Waislaam wameyaona haya wazazi wengi wakiacha mali kwa kumrithisha mtu mwingine kabisa wakiwaacha watoto na mke hawana kitu, ndipo walipoona uhalali wa watoto kuwa warithi halisi wa mali hizo na sio kuandika will ambayo inawaondoa watoto na mke. Lazima watu hawa wawe ktk mirathi no matter what!
Wewe unaijua nchi yetu, ufisadi hadi vyumbani na hakuna mahala watu wanauana kama kwenye urithi na pengine ndio vifo vingi vya crimes zetu hutokana na mali. Kama ipo sheria ya mgao mara zote utakuta inasaidia kuondoa crimes maana kila mtu anajua fungu lake.
 
Hakuna kitu kama hicho mada nyingine zikiandikwa hapa tunatakiwa tuwe makini serikali hawezi kamwe kugharamia mahakama ya kadhi haiwezekani aliyetoa mada ana yake hahah

Mkuu ni kweli kabisa nilimsikia Pinda kwa masikio yangu akitamka haya maneno.Tafuta Nipashe la leo
 
Sina tatazo na mahakama ya kadhi kuanzishwa Tanzania tatizo ikiwa gharama za uendeshaji zitabebwa na waIslam wenyewe.Sina tatizo ikiwa tatizo la mirathi na ndoa litahusu watu wa dini mbili tofauti ie Islam na Christian halitasikilizwa katika mahakama ya kadhi.

WaIslam ni raia wa Tanzania wana haki ya kuabudu kwa kufuata misingi ya dini yao bila kubughudhiwa.
 
Sidhani kama serikali imewahi kukataa mahakama ya kazi, kinachogomba ni kodi ya nani itakayotumika kughalimia mahakama hizo? Hii ya breweries au kodi ya nani?
 
Sasa unaonaje MOU ivunjwe na makanisa warudishe serikalini mashule na mahospitali yote yaliyojengwa kwa pesa ya serikali ambayo pia ni hela za watanzania wote.Msiangalie tu upande msioupenda jaribuni kuangalia usawa kwa manufaa ya nchi vilevile.Ktk nchi siku zote lazima kuwe na usawa kwa kila mwananchi.Kama inavosema katiba yetu kwamba nchi haina dini lakini wananchi watakuwa na uhuru wa kuabudu,kwa maana hiyo waisilamu wanayo haki ya kuishitaki serikali kuhusiana na mikataba waliosainiana ya MOU tokea mwaka 1992.Kama mnaona waisilamu hawana haki ktk nchi hii na ukristo ndio unahaki peke yake mtapenda nchi ije ijigawe kwasababu ya ubinafsi tu?
mou hauwezi kuichallenge mahakamani...
 
Ndio nina dini na ninaitii, lakini natumia pia my natural instincts katika issues zinazohusu dini yangu. Kwa mfano, nikiambiwa Yesu alisema tufuge ndevu na kuvaa suruali fupi, hiyo nami nitatumia instincts zangu kufika ukweli

Dini yako ni ipi?
 
Sidhani kama serikali imewahi kukataa mahakama ya kazi, kinachogomba ni kodi ya nani itakayotumika kughalimia mahakama hizo? Hii ya breweries au kodi ya nani?

Kwani sasa hivi ni kodi ya nani inayogharamia kesi za Waislaam, hospitali na shule za makanisa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom