Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
Yeah!
Lakini wakati wa kusaini MOU ambayo ni kwa "faida ya Watanzania wote" waislamu hawakuwa na mwakilishi! kitu gani kilichopo katika mkataba hatujui......tunachoambiwa ni kwa faida ya wote!.

Bila shaka MoU ya kupewa chuo muhimu sana cha Tanesco bure wakristo walihusishwa!
 
Yeah!
Lakini wakati wa kusaini MOU ambayo ni kwa "faida ya Watanzania wote" waislamu hawakuwa na mwakilishi! kitu gani kilichopo katika mkataba hatujui......tunachoambiwa ni kwa faida ya wote!
"hongera" Wakristo, hongera Kanisa!Msidanganyane! mlipo kodi mkubwa ni Waislamu kutokana na wingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

Wacha bwana!

Usiniambie kwamba watu kumi wakikaa chini ya mti kucheza bao wanakuwa wamelipa kodi zaidi ya mmoja anayekatwa 14% P.A.Y.E. Safi sana, hakika nyinyi mnalipa zaidi

Kama unaamini hivyo, kusanyeni vijisenti kidogo mifukoni mwenu mjenge angalau zahanati ya maana kule MAFIA manake naona ni madrassa na misikiti ya makuti tu kila kona lkn mtu akilichoka busha lake inabidi apande jahazi kuja RUFIJI likapasuliwe MCHUKU MISSION HOSPITAL (Pentecostal)

Halafu waambieni na waarabu wanaowajengea misikiti pembezoni mwa Petrol Stations, siku zikilipuka moto kanzu ni rahisi kuungua kwa hiyo ni bora wawajengee mbali kidogo kwani hakuna haja ya kuweka karibu na Filling Stations wakati mnakuja kwa miguu.

USHAURI: Moto ukilipuka, vua kanzu haraka kabla haijadaka moto. Kimbia mbio busha lisiungue. Kwa rehma zake maanani, inshallah ndevu hazitaungua
 
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.

Hivi kweli waislamu hawajui hii serikali?

Wamepelekwa mkenge tena, kama uongo subiri uone, kama wanaume hawajavalishwa sketi mchana kweupe na kupigishwa paredi

Wanabembeleza sensa tu, ikishapita! Mhhh sijui, watarudia hotuba ya ...... kwenye sherehe ya ..domdom
 
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

Aksante kwa ufafanuzi ila ingekuwa vema pia iwapo wingi huo na ufanyabiashara huo ungetumika pia kuboresha shule na vyuo vya elimu vinavyomilikiwa na waislamu.
 
tusidanganyane ndugu yangu siseeq, waislam sisi hat kama ni asilimia 90 ya watanzania hatuna lolote zaidi ya kulalama tuuu!!
wenzetu wanasoma kwa bidii sisi tunalalama ati tunabaniwa kwenye matoke!
wenzetu wana weka investments za kweli tena nyingi sisi tunabaki kulalama ati wanapendelewa,
tusiwe wanafiki wala kuendeshwa kwa imani kali zisizokua na faida kijamii wala kiuchumi.....tuangalie tulichelewa wpi na tujifunze toka kwa wenzetu tuweze kubadilika!! otherwise tutabaki ng'ang'ania kadhi isokua na tija kiuchumi tukija kushtuka wako maili 1000 mbele ya hapo walipo

Waislamu pia wanasoma kwa bidii lakini kwa kukosa kujua kinachofanyika kufelisha watoto wa kiislam na mfano matokeo ya kidato cha nne mtihani ya dini ya kiislam Ndalichako amekiri eti walikosea kwa bahati mbaya computer zikasahihisha kimakosa baada ya waislamu kupinga matokeo na kutaka kuandamana. Kulikuwa na system ya kuwabana watoto wa kiislam lakini Kikwete kwa makusudi ameanzisha shule za sekondari za katana sasa wengi wanaenda huko kidato cha sita na vyuoni tunabanana. Waache hawa wagalatia waendelee kuamini bado hatuna elimu wakistuka tumewabana kila kona kama sasa hivi viongozi wakuu wanchi wote waislam ukiondoa Pinda.
 
HUO wehu wa wingi ndio unaowapa kiburi, lakini kwa taarifa yenu idadi yenu ni ndogo sana hapa nchini. SHAME on you bcoz lengo letu si kujenga taifa la waislamu bali la watanzania wote wakiwemo waislamu.

Wamarekani kupitia CIA wana data za kila kitu dunia hii, wanakujua kuliko unavyojijua ingia ktk link hii https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html ujue wingi wa waislam Tanzania tena inawezekana wamepunguza na hizo figure lakini wameshindwa kuwaongezea wagalatia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom