Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

Kiufupi wameshashindwa mpaka watakapofungua kesi nyingine, wao kuendelea kuwepo Bungeni ni ukiukwaji mkubwa wa Katiba ambao Samia hapaswi kuufumbia macho.
Hawajashindwa maombi yao yameondolewa mahakamani hayakufuata taratibu za kisheria.

Shauri lao halijasikilizwa bado.
 
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu, thanks God, mimi ni miongoni mwa tuliona ombwe hili and very soon tutalipunguza kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu issues mbalimbali za Kisheria.
P

Huna uwezo huo, ww uko kwenye media muda mrefu, lakini husimamii hizo ethics za uandishi zaidi ya kucheza na nyakati. Ww ni sehemu ya tatizo la wazi la waandishi wetu hapa nchini. Kila mara nakusikia ukilalamika kwenye vipindi mbalimbali kuhusu udhaifu huu wa waandishi wa habari, hasa kama kushikilia habari muendelezo, lakini ww binafsi sio mfano wa hilo! Umegeuka kuwa mpiga porojo, na kwenye utawala wa Magufuli ndio ukageuka kuwa kituko. As days goes on, you became from bad to worse.
 
Hapa nachozungumza ni reporting ya court decisions.

Waandishi hawafahamu namna ya kuripoti taarifa za kimahakama wanaishia kupotosha tu.

Mahakama zenyewe ni sehemu ya tatizo la utendaji wa mahakama. Katika mazingira hayo hata hao waandishi wanaripoti kutokana na udhaifu huohuo wa mahakama. Fuatilia vizuri utakuta mahakama ina msemaji wake na analipwa mshahara @month, lakini hataripoti chochote.
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Wewe ndiyo unaonekana huna akili, Waandishi wa Habari wameshatekeleza majukumu yao ya kuripoti,Sipika ameshindwa kutekeleza majukumu yake.
Lisa la wanahabari ni lipi?
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.

Mahakama sio kazi yake kufundisha sheria. Kama ni kufundisha kuna kozi za sheria kwenye vyuo vingi tu kikiwepo chuo cha Mahakama huko Lushoto. Waende wakasome vyuoni.

Kinachotakiwa ni Mahakama kuweka kigezo cha kwamba mwandishi anayeruhusiwa kuripoti taarifa za mahakamani awe amefaulu elimu ya sheria angalau kwa kiwango cha cheti.

Baada ya kusema hivyo nimeisoma hukumu ya kesi ya akina Mdee, ni kwamba walikosea jina la mtu waliyemshtaki. Kwa hiyo kesi yao imetupiliwa mbali kwa kuwa mtu waliyemshtaki hayupo. Hivyo hata kama wangeshinda je wangeitekeleza hiyo hukumu dhidi ya nani?

Hivyo wanaruhusiwa kufungua kesi upya.
 
Huna uwezo huo, ww uko kwenye media muda mrefu, lakini husimamii hizo ethics za uandishi zaidi ya kucheza na nyakati. Ww ni sehemu ya tatizo la wazi la waandishi wetu hapa nchini. Kila mara nakusikia ukilalamika kwenye vipindi mbalimbali kuhusu udhaifu huu wa waandishi wa habari, hasa kama kushikilia habari muendelezo, lakini ww binafsi sio mfano wa hilo! Umegeuka kuwa mpiga porojo, na kwenye utawala wa Magufuli ndio ukageuka kuwa kituko. As days goes on, you became from bad to worse.
Mkuu Tindo, kuna mtu unajijua ulivyo na uwezo wako, what you are, what you are capable of and your abilities and capabilities, na kuna vile wengine wanavyo kuona na kuku rate. Unapojiona unaweza kitu fulani, na unajijua unaweza na uwezo huo unao, akitokea mtu mwingine to rate you kuwa wewe si lolote, sii chochote, umejiover rate, lakini in reality ni huna uwezo huo unaojidai unao, the best thing sio kumwambia unao, bali kumshukuru for his/her rating of you, kwa kumwambia thank you.
Thank you Mkuu Tindo
P
 
Sio rahisi Kwa mtu ambaye hana legal training kutofautisha dismissal of the case and struck out of the case.
 
Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);

Mwanasheria msomi Edmund Ngemela katika mahojiano na mwandishi msomi wa Global TV Online kwa pamoja wanaipitia hukumu na kujaribu kwa lugha rahisi kupata maana hukumu ya hii pia kipi kitafuata

Source : Global TV online

..Nadhani kuna matatizo yafuatayo kwa waandishi wanaoripoti masuala ya mahakamani haswa kesi za kisiasa.

1. ELIMU.

2. UOGA.

3. USHABIKI.

..Kuhusu UOGA, utaina huyo mwanasheria anayehojiwa ni muoga kujibu maswali ya muandishi badala yake anatoa majibu yasioufahamisha umma ukweli wote.

..Muandishi wa habari ametimiza wajibu wake kwa kumhoji mwanasheria kuhusu maamuzi ya mahakama lakini mwanasheria ni muoga kujibu maswali kwa ufasaha.
 
Mkuu Tindo, kuna mtu unajijua ulivyo na uwezo wako, what you are, what you are capable of and your abilities and capabilities, na kuna vile wengine wanavyo kuona na kuku rate. Unapojiona unaweza kitu fulani, na unajijua unaweza na uwezo huo unao, akitokea mtu mwingine to rate you kuwa wewe si lolote, sii chochote, umejiover rate, lakini in reality ni huna uwezo huo unaojidai unao, the best thing sio kumwambia unao, bali kumshukuru for his/her rating of you, kwa kumwambia thank you.
Thank you Mkuu Tindo
P

Uswahili tu huu kaka. Na tuna uzoefu na hii tabia ya kuzungusha maneno lakini matokeo ni duni.
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.

Haya mambo mengine hata hayafahamiki. Nchi hii watu ni mahodari sana kuita kuundwa kwa tume hii na ile, watu fulani na fulani wapatiwe semina hii na ile! why? Mambo mengine ni kupoteza pesa za nchi na wakati tu! Kwani hawa waandishi wa habari hawakusomea kazi zao? Kwani huko walikosomea hawakufunzwa ethical of journalism?
 
Tatizo la waandishi wa habari wanaandika kwa malengo ya kuuza tu magazeti.

Hawajali authenticity ya habari yenyewe.

Hawafuati ethics za uandishi.

Mwandishi anaona akiandika habari kwamba wameshindwa atauza kuliko akiandika kwamba wananafasi ya kurejesha upya maombi yao.
 
Mahakama zenyewe zina hiyo credibility?
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Si kwamba hawajui cha kuandika bali baadhi wanaandika kwa mihemko kuvutia upande wanaoupendelea. Kwa mfano mwaka jana nilisoma kichwa cha habari 'Kibatala aigaragaza Serikali Mahakamani' wakati hata kesi haijaanza kusikilizwa. Kilichotokea ni kwamba kesi ilifutwa ili Serikali irekebishe mashitaka na kuileta upya..
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Kama Mahakama imetupilia mbali mapingamizi yao kuna nini tena kama si kushindwa kesi?
Spika alisema anasubiri majibu ya Mahakama, magazeti yanaandika vizuri sana wanahabari wanaoandika taarifa hizi hawahitaji semina kwa vile wengi wao wana shahada mbali mbali za tasnia yao habari.

Nchi gani ulimwenguni ulisikia waandishi wa habari katika nchi hiyo wamewaita na kupewa semina ya kuandika habari za kimahakama? anayetoa hiyo semina yeye amesomea shahada ipi?

Tanzania bado kuna watu wanadhan kila kitu kinatakiwa kiwafurahishe watawala au baadhi ya watu ambao hupingana na mambo mbali mbali yanayoashiria ushindi kwa kile asichokipenda.
 
Naona majizi ya kura na wabunge feki waliokuwa installed kupata mikopo ya "mabeberu" mnaumia sana yaani ieleweke ile safu nzima waliofanya maigizo na kumwaga damu za watanzania 2020 zitawarudia tu na mtaendelea kuteseka.
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
Ungekuwa mwandishi wa habar ungeandikaje
 
Back
Top Bottom