Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

Mkuu Lunyungu, ninasikitika sana jinsi ulivyojitoa ufahamu kwenye hii issue na kuanza kumpiga madongo Lawrence Mafuru huku ukweli wa rekodi za kichunguzi ukimuonyesha kuwa ni msafi kuliko wengine wote hao.
Sijui ni Msemwa yupi unayemuongelea hapo juu, sijui ni yule alikuwa NDC miaka ile au yupi kama ni huyo basi kwa hakika una chuki binafsi na Mafuru au wewe ni mmoja wapo wa hao jamaa wawili.
Huyu Mbajo Methusela alikuwa CHC huyu, huyu ni mpigaji wa kawaida tu, hawa nd'o wakati wapo CHC (sijui yupo wapi kwa sasa) nd'o waliokuwa wanafanyia vikao vya board ya CHC Dubai. Huyu mshikaji alinunua nyumba pale ndani Dar Village karibu na Tanesco Mikocheni kwa pesa taslimu za kigeni(usd) ambayo ilikuwa kama 600m ya kibongo kipindi hicho. Hapo bado hujaongelea pesa chafu walizokuwa wanatembeza bungeni kipindi issue ya CHC ilipopelekwa bungeni ifutwe. Mnakumbuka wabunge wakiongozwa na MZitto walivyokomalia isifutwe, hahahahaha haikuwa bure. Na haya ni machache yanayojulikana kwa mtu kama mimi. Vipi ambayo vyombo vya usalama vinajua? Huyu Msemwa ngoja kwasababu sijajua kama ni yule alikuwa NDC ama la.
Lakini Mafuru ni mtu safi, lile suala la NBC ni kumuonea tu kwani hakupatikana na hatia yoyote.
 
" Msajili wa Hazina katika hili ameonekana wazi kuwa sio mlinzi tena wa mali za umma ambazo zimewekwa chini yake Bali ni mwizi au anayeshirikiana na wezi.
Magufuli ajue wazi kaachiwa mchwa eti utunze ghala la nafaka, na asipomshughulikia asije kuta anaambiwa serikali yake inalipia kodi majengo ya Ikulu kwani yalishauzwa kisheria siku nyingi"- Chakaza
 
Mkuu Lunyungu, ninasikitika sana jinsi ulivyojitoa ufahamu kwenye hii issue na kuanza kumpiga madongo Lawrence Mafuru huku ukweli wa rekodi za kichunguzi ukimuonyesha kuwa ni msafi kuliko wengine wote hao.
Sijui ni Msemwa yupi unayemuongelea hapo juu, sijui ni yule alikuwa NDC miaka ile au yupi kama ni huyo basi kwa hakika una chuki binafsi na Mafuru au wewe ni mmoja wapo wa hao jamaa wawili.
Huyu Mbajo Methusela alikuwa CHC huyu, huyu ni mpigaji wa kawaida tu, hawa nd'o wakati wapo CHC (sijui yupo wapi kwa sasa) nd'o waliokuwa wanafanyia vikao vya board ya CHC Dubai. Huyu mshikaji alinunua nyumba pale ndani Dar Village karibu na Tanesco Mikocheni kwa pesa taslimu za kigeni(usd) ambayo ilikuwa kama 600m ya kibongo kipindi hicho. Hapo bado hujaongelea pesa chafu walizokuwa wanatembeza bungeni kipindi issue ya CHC ilipopelekwa bungeni ifutwe. Mnakumbuka wabunge wakiongozwa na MZitto walivyokomalia isifutwe, hahahahaha haikuwa bure. Na haya ni machache yanayojulikana kwa mtu kama mimi. Vipi ambayo vyombo vya usalama vinajua? Huyu Msemwa ngoja kwasababu sijajua kama ni yule alikuwa NDC ama la.
Lakini Mafuru ni mtu safi, lile suala la NBC ni kumuonea tu kwani hakupatikana na hatia yoyote.
Huyu nadhani atakuwa Fredy Msemwa wa Watumishi Housing.
 
Mmeshaanza ujinga wenu Kuna uzi wa zamani ulikuwa unazungumzia masamaki...kuna watu walimwaga povu mle matokeo yake uzi ulipoibuliwa wamezikimbia post zao naona naww unaleta mambo hayo ..woga wanini acha ajadiliwe km huna habari zake tulia wenyenazo wafunguke
Uwezo wa kufikiri wa watanzania sijui tupo kundi gani?
Mtu badala akupinge kwa hoja analeta ujinga, itatuchukua mda kufika tunakoenda au hatutaweza kufika.
 
Watanzania acheni majungu chapeni kazi.
Atapimwa kwa utendaji kazi wake kwa kazi hii mpya aliyopewa. Si historia na majungu yenu.
Kama atashindwa si ataonekana!
Ameshaanza kufatilia viwanda mlivyonunua na havizalishi chochote m meanza za ku mbwelambwela
Tatizo ni kwamba hizi nafasi sio sehemu za majaribio
 


Mkuu
Mzee wetu Lunyungu, kwanza nikupongeze kwa uzalendo wako!. Uzalendo ni pale unapofanya jambo lolote jema kwa taifa lako kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na sio maslahi binafsi or party politics.

Pia nimependa presentation style yako kwa kulisaidia taifa lako kwa kutoa angalizo tuu, ila nimependa zaidi na jinsi ulivyo na access of information nyeti kulikopelekea kukufanya wewe kuwa well informed hadi kuyapata matokeo ya veting kwenye the highest levels kujua ni nani alipata nini na nani aliyeongoza!.

Bahati nzuri pia nawafahamu wote, kama alivyo yeye na makando kando yake ya NBC, Mbajo kiukweli ni very smart in look and deeds with the stongest cv, ila naye alikuwa na makandokando yake pale CHC!, vivyo hivyo kwa aliyemfuatia!.

Naomba kutofautiana na wewe, kuwa sometimes it is not the CV that matters but the way to do things ndio mpango mzima!. Mimi niliwahi kuomba kazi ya ushauri mahali, procurement ilifanywa na Deloitte, sifa ya kwanza walimtaka mtu mwenye advanced degree, mimi nikiwa na just a first degree, nilipaswa kukatwa kabla, ila nikapitishwa kwenda kwenye written interview ya amptitude test, huko nikakutana na watu wenye masters na Ph.D, lakini niliwagaragaza vibaya!. Finalist tulikuwa watatu, the top CV ni mwenye Ph.D, akifuatiwa na mwenye Masters na wa mwisho mwenye CV nyembamba ni mimi!, tukaingia Oral, amini usiamini, bila upendeleo wowote, bila kumjua mtu yoyote!, I got the job!.

Kwangu mimi mchakato huo ni kama mchakato wa kumpata Mchechu pale NHC!, sasa jinsi jamaa anavyofanya wonders kwenye kudeliver!, hivyo what matters sio CV wala sio mchakato bali ni delevery!, na kwenye delivery unaulizwa ungekuwa ni wewe unapata hii kazi, what will you do?!, hapa ndipo nilipowaacha wenzangu na ma CV yao manene!.

Jee Mafuru ana deliver?!, that is all that matters!, kama hadelivi, hata kama mchakato ulikuwa safi, kwa Magufuli, he must go!, na sio yeye tuu bali naamini atasafisha madudu yote ya serikalini na kuitua 'mizigo' yote!.

Pasco
Muda ndo upo sahihi zaid. Hongeren kwa kutoa michanganuo mizuri kuwafurahisha wasomaji. Ila naamini kuna watu wana uwezo binafsi wa kujua mambo
 
Mafuru kinachomponza sasa ni kufuta baadhi ya posho za wakubwa. Watanzania bwana kwa wivu...Juzi mlimsema sana Mchechu...leo Mafuru. Yale yale aliyoyasema Msekwa....wivu wa kike. kwanini usimwage data tuchambue kuliko kuja na lugha za kificho nk..
Ni kweli kabisa mkuu. Huyu jamaa huenda kafuta na posho za rais ndio maana atapangiwa kazi nyingine
 
Huu ni wivu tu wa hapa na pale...kisa ni bwana mdogo afu tayari kashashika vyeo nyeti mbalimbali...Hata kama kwa kashfa zote, jamaa ni mtu very smart. huwezi fika alipofika bila maarifa ya ziada hata ukibebwa na washkaji zako wote
Duh! Watanzania sisi ni wavivu sana kufikiri. Mnaamini kila anayepinga nu adui!!! Ona sasa yanayotokea
 
Baada ya mchakato mzima na kwasababu ya maslahi mapana ya nchi hii tuliona Mafuru anafaa kuliko wenzake though CV yake haikuwa na uzito kuliko wenzake, kuchukua nafasi kama ile issue sio tu a good CV sababu ni nyingi ambazo nyingine zinapima upana wa weledi kati ya applicants, alitosha kuchukua nafasi hiyo japo aliscore lower points in vetting, tunachohitaji kwa sasa watanzania ni delivery hilo tu, mtoe kasoro zenu ktk utendaji na sio kuanza kuchimba aliingiaje na weledi wake, huu ni msimu wa mabadiliko ya kweli afanye kazi akishindwa atatupisha tutaweka mtu mwingine, tusilete maumivu ya kukosa nafasi huko nyuma kupima watendaji wetu sasa tuwapime kwa utendaji wao wa kazi za kila siku kwa kasi ya Magufuli.
Hapa Kazi Tu.
Mabadiliko ya kweli mmeyapata sasa.
Muda huwa hauingopi mzee. Next time usikurupuke
 
With a serious and good governance we don't expect short cuts .Kama mtu anaweza kuwa wa mwisho hata katika vetting then how comes leo awe na maslahi mapana ? Kwa mtu ambaye ukiingia NBC ukatmka jina lake watu wenye uelewa wanakuwa na mtikisiko anawezaje ku deliver ? Kweli tunasema kama aliiba huko lakini anaweza ku deliver then we should not question him ?

Is this what Magufuli would want to deal with ? I am not sure .

Mimi nasema nimesema yangu kwa upole bila kashfa wala matusi . Nimesema tu na najua wako hapa wanao jua ninacho kisema .

Tuangalie Tangazo la kazi na mahitaji yake . Then tuangalie applicants walikidhi mahitaji ya Tangazo ?
Ok kwa yaliyo tokea NBC na leo mtu yule yule kuwa registrar ina maanisha nini ?

Narudia kumuomba kaka yangu Magufuli , mimi nimesema tu kwa sauti kubwa , mie si mshabiki ila nalitakia mema Taifa hili. Tafadhali muulize Katibu mkuu Hazina , Katibu mkuu Kiongozi na uhalisia a mchakato . We anyone in the position with merits but not kwa nguvu na influence ya NHC nk .

Magufuli tafadhali waulize wake watu wa vetting na wakushauri tena na mwishi utanielewa ninacho kisema .
Kama one of the requirements ni mtu kuwa na Masters degree , je Msajili anayo ? Kuna mahali kwenye CV kaandika to be continued what kind of a CV is this ?
Mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom