Haya maneno hayakusemwa na Mh Magufuli! Mh amesema kuwa tuachane na tofauti za vyama vyetu bali wananchi wanahitaji maendeleo si mambo mengine....Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Leo ArushaKayasema lini haya??
unapotosha watu wewe tumefuatilia hotuba mwanzo mwisho. umeamua kuandika ili upate support ya Nyumbu wenzio wasiofuatilia. hapa ndo nimeona tabia za nyumbu na nimejua kwa nn mnaitwa nyumbuAnasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana una laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Watakufundishaje bila kukutawala? Naona wewe unamtaka TrumpYupo sahihi kabisaaa!!!
Afrika hakuna Demokrasia
Hakuna demokrasia,kwasababu demokrasia haiwezi kutekelezwa na watu au vyama vyenye uchu wa madaraka kama CCM.
Heri wakoloni waje,si kututawala tena
Bali waje kutufundisha demokrasia kwa vitendo,
Hata dhahabu tutawapa.
Waafrika hatuna laana,tuna ujinga wa kurithi.
Ujinga mpaka kwenye damu.
Kasema wananchi hawahitaji vyama wanahitaji maendeleo. Akaendelea kusema kwamba uchaguzi umeisha sasa tufanye kazi. Kisha akasema yeye ni Rais wa Watanzania wote wawe CHADEMA, CUF, UDP, awe mtu hana chama hatawabagua.Kama kweli kasema hivyo basi hastahili kukaa Ikulu hata kwa dakika moja na kama ameshaingia ni Accidental President anayepaswa kutafutiwa sulujisho mbadala kwa hatua zozote zile
Msukuma ni Mtutsi?hata mimi naona hivyo. watutsi waroho wa madaraka sana.
Hayo ameyasema wapi kabla sijaporomosha matusi
Kwenye siasa za upinzani hii imemjenga au imemboa Nassary?Kasema wananchi hawahitaji vyama wanahitaji maendeleo. Akaendelea kusema kwamba uchaguzi umeisha sasa tufanye kazi. Kisha akasema yeye ni Rais wa Watanzania wote wawe CHADEMA, CUF, UDP, awe mtu hana chama hatawabagua.
Kisha akasema Nasary ni kijana mzuri na hana makeke hivyo anampongeza sana. Akasema sura ya Nasari ni CHADEMA lakini ndani ni CCM.
Kwenye siasa za upinzani hii imemjenga au imemboa Nassary?
Unadhani Nassary atakaa awike tena kwenye siasa za upinzani? Salama ya NASSARY ahamie tu CCM ili apewe ukuu wa wilaya! Ubunge haumfai tena!
Kazi ya Mbunge ni kuikosoa serikali! Kama ameshindwa kazi hiyo, ajiunge na MAGUFULI, atuachie CHADEMA yetu!
Wanafiki hawana nafasi huku!
Mkuu, tatizo ni kuwa,this process is lagging behind in Africa ndio maana wenzetu ambao process hii ilienda vizuri wametuacha mbali sana.Brain yetu bado ina element nyingi za wale viumbe.Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Kasema wananchi hawahitaji vyama wanahitaji maendeleo. Akaendelea kusema kwamba uchaguzi umeisha sasa tufanye kazi. Kisha akasema yeye ni Rais wa Watanzania wote wawe CHADEMA, CUF, UDP, awe mtu hana chama hatawabagua.
Kisha akasema Nasary ni kijana mzuri na hana makeke hivyo anampongeza sana. Akasema sura ya Nasari ni CHADEMA lakini ndani ni CCM.
Nimesikiliza hiyo hotuba na ni kweli ametamka kuwa kinachohitajika sio haya mavyama ya siasa bali maendeleo! Nilichokiona kutoka katika hotuba yake ikiwa ni pamoja na lugha ya maneno na ya mwili (body language), ni kweli JPM anayosema anayesama kwa dhati, ana nia nzuri lakini HANA uelewa wa kutosha kutambua na kukubali kuwa chama chake, CCM, ndicho kilisababisha hayo anayoyaita 'mambo ya hovyo kabisa' aliyoyakuta na kwamba bila vyama vya upinzani kupaza sauti kali leo hii tungekuwa na Maembe na hayo anayoyaita ya hovyo yangekuwa business as usual! JPM anahitaji mshauri makini wa siasa au niseme sayansi ya siasa na anayemwamini na kumheshimu ili ampige msasa kwamba asikandamize wala kubeza upinzani (ninafikiri anaposema hawataki mavyama, anamaanisha upinzani) kwani ndio unampa nafasi aliye madarakani kujua wapi amejikwaa ama ameteleza katika juhudi zake za kutaka kuwaletea wananchi maendeleo.Ikiwa mtu km magufuli ambaye ni mwanasiasa kwa miaka zaidi ya 20 hajui umuhimu vyama vya siasa itamchukua mamangu ambaye ni mama wa nyumbani na kijijini muda kiasi gani kujua umuhimu vyama vya siasa ktk maendeleo ya nchi?
Maneno mazito sana haya na sijui kama kuna wakufanya hivyo ,Lililotokea Kilombero sijui kina Mbowe wataendelea kulaani mpaka lini,hakuna kipindi nilipata maumivu ya moyo kama wakati wa uchaguzi huu uliopita kwa kusubiria matamko ya viongozi wetu wa Ukawa ,kama viongozi hamchukui hatua juu ya upuuzi kama huu wa meya wa Dar ,Mkurugenzi analeta zuio la uongo na mahakama imemkana ,mpaka sasa hivi yupo anakula kiyoyozi ila anayepelekwa polisi ni mdee ,Kila siku Mbowe ni tumechoka tu kwenye vyombo vya habari ,Kama kweli kasema hivyo basi hastahili kukaa Ikulu hata kwa dakika moja na kama ameshaingia ni Accidental President anayepaswa kutafutiwa sulujisho mbadala kwa hatua zozote zile
Mtoa mada wewe ni popompo
alichosema sio hakuna haja ya vyama Bali amesema sasa ni muda wa kutafuta maendeleo sio kujizuuka kwenye mambo ya vyama tuungane kuhakikisha afrika tunajikwamua Na umasikini
pia akasema lengo lake yeye ni kuhakikisha anapambana Na wachache wanaomiliki Mali nyingi huku wakisababisha wananchi walio wengi wa Hali ya chini kupata shida.
Na kitengo kilimchagua nani?.....
Kwa nyongeza tu, JPJM si mwana siasa na si mwana diplomasia na akiachwa kuzungumza bila manuscript (extemporaniously) lazima utarajie kuwa ataropoka, na ndivyo alivyofanya leo.
Tulimchagua wenyeee! Sasa tumvumilie!