Magufuli: Hakuna haja ya hivi vyama vya siasa

Msimfanye rais zoba kiasi hicho, simuungi mkono lakini hawezi kuwa wa kiasi cha chini kiasi cha kufikiria hayo
 
Ikiwa mtu km magufuli ambaye ni mwanasiasa kwa miaka zaidi ya 20 hajui umuhimu vyama vya siasa itamchukua mamangu ambaye ni mama wa nyumbani na kijijini muda kiasi gani kujua umuhimu vyama vya siasa ktk maendeleo ya nchi?
 
Mm mdau, mimi ni mmoja wa wale wasiunga mkono style ya JPJM huku nikifurahiswa na matokeo ya style hiyo. Hata hivyo, nafikiri umemwelewa JPJM visivyo. Nilichosikia amesema ni kwamba wananchi hawahitaji vyama bali wanahitaji maendeleo. Huu ni ukweli mtupu japo ni rahisi kumwelewa ulivyomwelewa.

Kwa nyongeza tu, JPJM si mwana siasa na si mwana diplomasia na akiachwa kuzungumza bila manuscript (extemporaniously) lazima utarajie kuwa ataropoka, na ndivyo alivyofanya leo.

Tulimchagua wenyeee! Sasa tumvumilie!
 
Yupo sahihi kabisaaa!!!

Afrika hakuna Demokrasia

Hakuna demokrasia,kwasababu demokrasia haiwezi kutekelezwa na watu au vyama vyenye uchu wa madaraka kama CCM.

Heri wakoloni waje,si kututawala tena

Bali waje kutufundisha demokrasia kwa vitendo,

Hata dhahabu tutawapa.

Waafrika hatuna laana,tuna ujinga wa kurithi.

Ujinga mpaka kwenye damu.
 
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Huyu anaejiita mtumbua majipu atatufikisha pabaya sana.....nanusa harufu ya kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani. Ni suala la muda tu. Dalili zitaendelea kuonekana na ambao hawajaziona wataziona kadiri siku zinavyosonga.
 
Ukiwa na vyama opportunists kama Chadema ni wazi utakuwa na hitimisho la namna hii...Chama chenye miaka zaidi ya 20 bado kilitegemea kapi lenye tuhuma za ufisadi kuwa mgombea...huu ni ulofa na upumbavu!
Jina lako linafanana kwa kiasi kikubwa na unkachofikiria
 
Ikiwa mtu km magufuli ambaye ni mwanasiasa kwa miaka zaidi ya 20 hajui umuhimu vyama vya siasa itamchukua mamangu ambaye ni mama wa nyumbani na kijijini muda kiasi gani kujua umuhimu vyama vya siasa ktk maendeleo ya nchi?
Umuhimu wa Vyama vingi Tanzania ni mkubwa sana kama wangekuwa wanafanya yanayopaswa lakini Uoinzani kwao wametafsiri kupinga kila kitu. Agrrrrr
 
Huyu anaejiita mtumbua majipu atatufikisha pabaya sana.....nanusa harufu ya kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani. Ni suala la muda tu. Dalili zitaendelea kuonekana na ambao hawajaziona wataziona kadiri siku zinavyosonga.
hata mimi naona hivyo. watutsi waroho wa madaraka sana.
 
Hatimaye yametimia the direct lie:

TOUCHSTONE

Our argument went through seven stages—watch your posture, Audrey.—It went like this. I didn’t like the way a particular courtier had cut his beard. He sent me word that, whether I liked it or not, he liked it fine. They call this “the courteous retort.” If I repeat that it isn’t cut well, and he responds that he isn’t trying to please me, just himself, with his beard. They call this “ the modest quip.” If I say again it is poorly cut, and he responds that my judgment is no good, they call this “the sullen reply.” If I say yet again that his beard is poorly cut, and he says that I’m not speaking the truth, they call this “the brave retort.” One more time I say it’s not well cut, and he says I’m lying. They call this “the argumentative countercheck.” And so on through “the circumstantial lie” and “the direct lie.” quote Shakespeare.
 
Mtoa mada wewe ni popompo

alichosema sio hakuna haja ya vyama Bali amesema sasa ni muda wa kutafuta maendeleo sio kujizuuka kwenye mambo ya vyama tuungane kuhakikisha afrika tunajikwamua Na umasikini
pia akasema lengo lake yeye ni kuhakikisha anapambana Na wachache wanaomiliki Mali nyingi huku wakisababisha wananchi walio wengi wa Hali ya chini kupata shida.
 
Msiponyooka awamu hii hamtonyooka tena! Sijui kama bado tunahitaji Rais nwenye element ya udikteta kama tulivokuwa tunaomba daily?
 
Huyu jamaa itakua ndio wale wa buku Saba waliotumwa kuhakikisha wana uua upinzani mushindwe Na mulegee
 
Back
Top Bottom