Magufuli: Hakuna haja ya hivi vyama vya siasa

Nafikiri mnaposema hakuna haja ya kuwa na vyama vya siasa, mna maana vyama vingine vyote vifutwe isipokuwa CCM. This is how you guys can be evil.....
 
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika

Haya maneno ameyasema Rais, au ni wewe mwandishi ndiyo umetaka yaonekane kama yamesemwa na Rais? Lete quotation ya kile alichokisema hapa..
 
Mungu tukombowe wafrika tujue democrasia ni nini tuachane na ushabiki wa kisiasa sio lazima ccm au chadema chama chote kiwe na uwezo wakushika dola leo hi viongozi wameapa kulinda katiba lakini ni wanafiki wakupitiliza hivi ni kipengele gani cha katiba kilicho mpa mamlaka mh Rais kuzui makutano ya kisiasa?
 
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika

Kama ni kweli kasema hivi. Sitoshangaa kesho au keshokutwa akipiga vita uwepo wa vyama vyingi nchini. Madikteta wengine pia walianza hivi hivi. Nadhani athari za ile safari ya kuvuka mto Rusumo inaanza kujionyesha.
 
Back
Top Bottom