Magufuli angekuwa salama zaidi karibu na matajiri kuliko 'watanzania masikini' ambao kimsingi hawakumchagua

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Sio nia yangu kurudia yaliyotokea kwenye uchaguzi ulioisha, maana yamesemwa sana na yamesemwa na wengi.

Natamaani tutafakari kwa pamoja hili swali; kwanini viongozi wa nchi nyingi duniani wanakuwa na uhusiano wa karibu na watu tajiri?
Kwanini rais wetu anawachukia watu matajiri?
Au ni kwasababu tu ya ile dhana ambayo watu wengi masikini tunakuwa nayo kwamba, ili mtu awe tajiri lazima afanye mambo fulani ambayo sio halali? Tunadhani kuwa tajiri yeyote lazima au amedhulumu watu, au ametumia ushirikina au amefanya mbinumbinu tu ambazo sio halali na zilozopelekea kuumia kwa mtu au watu wengine.

Dhana kuwa tajiri akitaka ukaribu na kiongozi wa nchi basi huyo ni mpiga dili ni dhana ya kishamba sana.
Kati ya vitu ambavyo vinamuwezesha mtu kumiliki mali na kuikuza basi ni discipline.
Discipline ya matumizi, discipline ya kufuata sheria, discipline ya utendaji uliotukuka, discipline ya maisha ya familia,n.k

Sio lazima matajiri wote wawe kwenye kundi hilo hapo juu, ila kuwaweka wote kwenye kapu la wapiga dili sio sawa.

Marais wengi duniani ukiacha tu huyu wa kwetu, wanaona kuwa karibu na matajiri kama jukumu lao la msingi, na kimsingi ni sehemu ya uongozi.

Jamii yeyote ina makundi mbalimbali ya watu yenye mahitaji tofauti tofauti.
Kwanza kuwa karibu na kundi fulani haina maana ya kutokuwa karibu na kundi jingine.

Ni sehemu tu ya uongozi kuwa kiongozi wa wote na kuangalia mahitaji ya wote.

Ni mara ya tatu ndani ya mwaka mmoja 2017, rais wa urusi anakitana na watu matajiri urusi.
Kati ya mambo wanayojadili ni matatizo ambayo matajiri hawa wanapata kwa kuwekeza katika nchi nyingine na namna gani serikali yao inaweza kuwasaidia.
Wanajadiloana pia vipaumbele vya uwekezaji wa ndani, changamoto na jinsi ya kusonga mbele.

Mheshimiwa yeye anataka hawa wakwetu waishi kama mashetani.
These are people with connections, risking their money everyday to create jobs,pay taxes,bring in foreign currency. And the list you could do is stay close to them.

Kiukweli mimi naona uhusiano wa rais na 'watanzania masikini' unalenga zaidi kura ambazo ni maslahi binafsi ya rais. VS uhusiano wa rais na watu matajiri ungeongeza ajira, uwekezaji na kodi vitu ambavyo viko kwa maslahi mapana ya watanzania wote.

[HASHTAG]#Ugua[/HASHTAG] pole Tundu Antipas Lisu.
 
Pumba kama pumba zingine
 
Mkuu, una maana awe nao karibu kama [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alivyokuwa karibu na wezi wa madini?
Lisu amemsaliti nani?
Ni nini Lisu amesema cha uongo?
Ndege iliyoshikiliwa imeachiwa?
Hao watu wa madini wamewapa hela mlizotangaza wametuibia?
 
Endeleeni tu kuandika ujinga ujinga.
si mnalipwa!
nionyeshe uhusiano wake na masikink?
usiadaike na chuki yake dhifi ya matajiri wachache walio mnyima hela ya kampeni na waliomfanyia jeuri akiwa waziri.
 
We ni mchochezi mkulu ameshasema anataka waishi Kama mashetani [HASHTAG]#ajabu[/HASHTAG] ni Kwamba cc mackini ndo tunaishi Kama misukule [HASHTAG]#vumilieni[/HASHTAG] jamani tunajenga chato Kwanzaa.
 
Sio nia yangu kurudia yaliyotokea kwenye uchaguzi ulioisha, maana yamesemwa sana na yamesemwa na wengi.

Natamaani tutafakari kwa pamoja hili swali; kwanini viongozi wa nchi nyingi duniani wanakuwa na uhusiano wa karibu na watu tajiri?
Kwanini rais wetu anawachukia watu matajiri?
Au ni kwasababu tu ya ile dhana ambayo watu wengi masikini tunakuwa nayo kwamba, ili mtu awe tajiri lazima afanye mambo fulani ambayo sio halali? Tunadhani kuwa tajiri yeyote lazima au amedhulumu watu, au ametumia ushirikina au amefanya mbinumbinu tu ambazo sio halali na zilozopelekea kuumia kwa mtu au watu wengine.

Dhana kuwa tajiri akitaka ukaribu na kiongozi wa nchi basi huyo ni mpiga dili ni dhana ya kishamba sana.
Kati ya vitu ambavyo vinamuwezesha mtu kumiliki mali na kuikuza basi ni discipline.
Discipline ya matumizi, discipline ya kufuata sheria, discipline ya utendaji uliotukuka, discipline ya maisha ya familia,n.k

Sio lazima matajiri wote wawe kwenye kundi hilo hapo juu, ila kuwaweka wote kwenye kapu la wapiga dili sio sawa.

Marais wengi duniani ukiacha tu huyu wa kwetu, wanaona kuwa karibu na matajiri kama jukumu lao la msingi, na kimsingi ni sehemu ya uongozi.

Jamii yeyote ina makundi mbalimbali ya watu yenye mahitaji tofauti tofauti.
Kwanza kuwa karibu na kundi fulani haina maana ya kutokuwa karibu na kundi jingine.

Ni sehemu tu ya uongozi kuwa kiongozi wa wote na kuangalia mahitaji ya wote.

Ni mara ya tatu ndani ya mwaka mmoja 2017, rais wa urusi anakitana na watu matajiri urusi.
Kati ya mambo wanayojadili ni matatizo ambayo matajiri hawa wanapata kwa kuwekeza katika nchi nyingine na namna gani serikali yao inaweza kuwasaidia.
Wanajadiloana pia vipaumbele vya uwekezaji wa ndani, changamoto na jinsi ya kusonga mbele.

Mheshimiwa yeye anataka hawa wakwetu waishi kama mashetani.
These are people with connections, risking their money everyday to create jobs,pay taxes,bring in foreign currency. And the list you could do is stay close to them.

Kiukweli mimi naona uhusiano wa rais na 'watanzania masikini' unalenga zaidi kura ambazo ni maslahi binafsi ya rais. VS uhusiano wa rais na watu matajiri ungeongeza ajira, uwekezaji na kodi vitu ambavyo viko kwa maslahi mapana ya watanzania wote.

[HASHTAG]#Ugua[/HASHTAG] pole Tundu Antipas Lisu.
Rais hachukii matajiri, anawapenda Sana, ispokua rais hapendi matajiri waliojipatia mali pasipo halali na ni mabingwa wa kukwepa kodi ya serikali.

Hivi tajiri muuza Dawa za kulevya anaua nguvu kazi ya nchi, na wewe ndo rais, utamshangilia na kumpigia makofi?

Thread zingine ni kinyesi tu
 
Masikini ni mtu dhaifu sana, Kiakili na Kipesa pia kumshawishi ni virahsi masikini haaminiki
 
Mkuu, una maana awe nao karibu kama [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alivyokuwa karibu na wezi wa madini?

Wasaliti amewafanya mawaziri,ni ajabu sana pale unaposikia Mwenye nyumba anamtuhumu jirani yake kuwa anatembea na mkewe wakati dereva wake ndiye muhusika Mkuu wa mimba ya mkewe
 
Sio nia yangu kurudia yaliyotokea kwenye uchaguzi ulioisha, maana yamesemwa sana na yamesemwa na wengi.

Natamaani tutafakari kwa pamoja hili swali; kwanini viongozi wa nchi nyingi duniani wanakuwa na uhusiano wa karibu na watu tajiri?
Kwanini rais wetu anawachukia watu matajiri?
Au ni kwasababu tu ya ile dhana ambayo watu wengi masikini tunakuwa nayo kwamba, ili mtu awe tajiri lazima afanye mambo fulani ambayo sio halali? Tunadhani kuwa tajiri yeyote lazima au amedhulumu watu, au ametumia ushirikina au amefanya mbinumbinu tu ambazo sio halali na zilozopelekea kuumia kwa mtu au watu wengine.

Dhana kuwa tajiri akitaka ukaribu na kiongozi wa nchi basi huyo ni mpiga dili ni dhana ya kishamba sana.
Kati ya vitu ambavyo vinamuwezesha mtu kumiliki mali na kuikuza basi ni discipline.
Discipline ya matumizi, discipline ya kufuata sheria, discipline ya utendaji uliotukuka, discipline ya maisha ya familia,n.k

Sio lazima matajiri wote wawe kwenye kundi hilo hapo juu, ila kuwaweka wote kwenye kapu la wapiga dili sio sawa.

Marais wengi duniani ukiacha tu huyu wa kwetu, wanaona kuwa karibu na matajiri kama jukumu lao la msingi, na kimsingi ni sehemu ya uongozi.

Jamii yeyote ina makundi mbalimbali ya watu yenye mahitaji tofauti tofauti.
Kwanza kuwa karibu na kundi fulani haina maana ya kutokuwa karibu na kundi jingine.

Ni sehemu tu ya uongozi kuwa kiongozi wa wote na kuangalia mahitaji ya wote.

Ni mara ya tatu ndani ya mwaka mmoja 2017, rais wa urusi anakitana na watu matajiri urusi.
Kati ya mambo wanayojadili ni matatizo ambayo matajiri hawa wanapata kwa kuwekeza katika nchi nyingine na namna gani serikali yao inaweza kuwasaidia.
Wanajadiloana pia vipaumbele vya uwekezaji wa ndani, changamoto na jinsi ya kusonga mbele.

Mheshimiwa yeye anataka hawa wakwetu waishi kama mashetani.
These are people with connections, risking their money everyday to create jobs,pay taxes,bring in foreign currency. And the list you could do is stay close to them.

Kiukweli mimi naona uhusiano wa rais na 'watanzania masikini' unalenga zaidi kura ambazo ni maslahi binafsi ya rais. VS uhusiano wa rais na watu matajiri ungeongeza ajira, uwekezaji na kodi vitu ambavyo viko kwa maslahi mapana ya watanzania wote.

[HASHTAG]#Ugua[/HASHTAG] pole Tundu Antipas Lisu.
Kwanza mimi naamini kuwa raia yeyote ambae hapendi nchi yake si mzalendo, na kuwa kalibu na matajili si dhambi hata kidogo, nakumbuka Obama kipindi anaingia kwenye uongozi watu WA kwanza kuwaita walikuwa matajili, na siyo kwamba atakacho Sema Tajiri ndo iwe Shelia no,
 
Rais wetu ni selfish, anatumia agenda ya masikini na wanyonge kwa maslahi yake na ndio maana tunashuhudia mkakati wa kuongeza muda wa rais kukaa madarakani
 
Back
Top Bottom