Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

BungelaKatiba2014tz

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
1,231
648
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.


attachment.php

 

Attachments

  • FB_IMG_1442460625105.jpg
    FB_IMG_1442460625105.jpg
    11.6 KB · Views: 11,053
The Constitution is the guide which I will never abandon-George Washington
you have ignored Wananchi`s Constitution....and preferered to Chenge`s 1...which will guide and protect the corrupted system
 
Hapa ndipo ninapokumbuka maoni ya Mkandara kwenye moja ya post huku JF

Vyama hivi sasa ni vigumu kuona tofauti yao...hatuoni tofauti ya itikadi wala Sera...hujui chama kipi kinaamini kipi na kinasimamia lipi

Tabu zaidi ni kuwa CCM kama chama mama tulitarajia kiwe way ahead of vyama vya upinzani...kuanzia kwene ubunifu mpaka kwenye itikadi na kauli mbiu za kukitofautisha na hivi vyama pinzani na vichanga

Kwa sasa CCM ni kama think-tankers wao wameshafikia ukomo wa ubunifu na wana kazi ya ku-copy na ku-paste toka upinzani

Nilianza kuona waki-copy na ku-paste Lowassa Mabadiliko Mabadiliko-Lowassa wakigeuza kuwa Mabadiliko-Magufuli Magufuli-Mabadiliko

Sasa na hii ya M4C nayo wameiga....

Naanza sasa kuwaza kimyakimya kuwa..."If I am to choose between a copy and the original, I will choose the original one as it has the root and the how's of the vision and it will never fade in a little while"
 
Last edited by a moderator:
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
View attachment 287841

Acha kujitekenya wewe!
Hiz mbinu za lumumba baada ya kuona kufuli hailuziki na watu wanasonga tu!
Wakaona waje na kopy and paste hiyo walidhani watawachanga watu!

Mipango yenu mbona huwa inaliki kabla hata hamjamaliza kikao hamstuki tu!

Huko huko lumumba wengi tu wamewachoka ndo maana Mnapanga weeeeee kabla hamjafika hata makwenu news ziko hewani! !
Shughuli ya kusafisha kaniki wakat rangi inajulikana mnayo mwaka huu! Mbaffffffff
 
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.

👆👆👆👆
Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio kuiba mbinu na Mikakati ya
#Mabadiliko2015
 

Attachments

  • 1442479158523.jpg
    1442479158523.jpg
    51.6 KB · Views: 1,262
Back
Top Bottom