Magufuri ndo kura yangu me na familia yangu ya watu 12
Mtaiga sana mwaka huu hata Mpaka kuvaa chupi
Sidhani kama hawa vijana wakorofi wa bavicha watakubaliana na wewe. Wana itikadi haribifu zaidi ya scorpion. Wao kila kitu ni kupinga. Wewe tulia tu utaona.Wakati wa kampeni wa uchaguzi mkuu uliopita mgombea urais kupitia CCM ndugu Magufuli alitoa kauli mbiu kwamba Watanzania wakimchagua yeye ndiye ataleta mabadiliko (Magufuli for Change), mie binafsi sikuamini kama mgombea huyo wa CCM anaweza kuleta mabadiliko hayo.
Mheshimiwa Rais Magufuli kwa asilimia mia moja na amini ahadi uliyoitoa kwa Watanzania umetimiza kwa kasi kubwa sana na Watanzania wameliona hilo, hakuna binadamu aliyekamilika Mhe. Rais Magufuli anaweza kuwa na mapungufu lakini kazi aliyoifanya ni kubwa kubwa sana haswa kwa vita dhidi ya Ufisadi, matumizi mabaya ya fedha serikalini, nidhamu ya watumishi wa umma na nk.
Kwa hali iliyokuwa nayo Chama cha Mapinduzi mwaka jana kwasasa imani ya Watanzania imerudi kwenye Chama hicho. Ndugu zangu Watanzania kwa kila hali tumuunge mkono huyu kiongozi shujaa ili atuongozee kwenda kwenye Tanzania yenye matumaini, kweli hakuna mabadiliko yasiyokuja na maumivu yake ila baada ya maumivu kuna matumaini mazuri. Vijana ama wanaharakati wanaotumika vibaya kupitia mitandao ya kijaamii watafakari kwanza kutoa maoni ya kumbeza kiongozi huyu shujaa.
Wenye macho wameyaona. Wanaosubiri kuletewa mkate nyumbani waendelee kusubiri tu.Mabadiliko gani chanya yameanza kuonekana mpk sasa kwa mwananchi wa kawaida?
SIASA IPI JAMANI CHADEMAA,SISA ZA UKUTA BILA MSINGII[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] ,ahahaha,haina mvuto!
chadema ndie baba ya siasa tanzania
Mkuu,naona unafukua makubuli!ahahaha!SIASA IPI JAMANI CHADEMAA,SISA ZA UKUTA BILA MSINGII
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.