Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Mbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.
Mbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.
Hatuwezi kuruhusu Nchi yetu itawaliwe na mkongo bali tunataka mtanzania halisi. Full stop.
Kisiasa alipoteleza Zitto ni kusema manenoa haya Bungeni.. Pale it's not about me na swaga zake...Nafikiri anaanza kampeni vibaya hata kama kweli ndio nia yake..Hii ilitakiwa ndani ya chama chake apate support kwanza ndani hata kama angepata maadui pia.
Wanaopitisha mgombea Urais CDM wako kimya tusiohusika tunaumiza vichwa kisa Zitto kabwe katangaza nia! Jamani hata mwendawazimu anaweza kutangaza nia kwani ndo atakuwa Rais? Mi nakumbuka Marehemu Mzee Mwasanguti aliuza ng'ombe wake kwenda kununua fomu ya kuomba achaguliwe na ccm kwenda kugombea urais, hawa watu wapo na wataendelea kuwepo
Kwanini gazeti la Tanzania Daima liko negative sana kuhusu Zitto? eti "Urais Unamtesa Zitto".
Gazeti la Mwananchi limeandikaje habari hii?