Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Weka picha
 
Ila historia haifutiki. Alafu hivi kwanini watu wa bara hawapendagi kusikia hili swala la Dar ina wenyewe?
Kwa sababu wameshaninuliwa wote na kusukumiwa huko pembezoni, yaani uwe mwenyeji halafu hela huna useme unaishi Dar?
 
Chaga2.jpeg
 
Hao wa bara huko kwao maisha yao yalivyo mabovu ndio usiseme unaweza ukajiuliza kama ndio Tanzania hii hii au wapo nchi nyingine. Maana hata kujisaidia wanajisaidia maporini. Ustarabu wote wamekuja kuupatia hapa Dar.
Wenyewe choka mbaya makazi mbagala chamazi mwananyamala wanuka mavi
 
Tume zaliwa 7 asante mungu wote tuna vyombo vya moto!
Tupo hapa machame now!
Ukibahatika tarehe 2 kukutana na Gari 7 nyeusi juwa mjomba kim atakuwa kwenye moja kurejea Dar!
 
Ni ngumu kupata ticket ya basi au ndege kipindi hiki mkoa wotewote ule,sasa hizi sifa za kwamba kasikazini ndo wanarudi kwao peke yao sijui zinatoka wapi? Ni Ushamba unawasumbua!!
 
Back
Top Bottom