Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,451
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
 
Kwaiyo wanaume wa dar wana anza kuachiwa jiji lao
naijatwittersavages-20181221-0001.jpeg
 
Kwanza kasema kaskazini mwa Tanzania ambayo ni arusha mwanza mara tanga kilimanjaro nk
Achana na kukariri ramani

Ukiskia KASKAZINI ujue Kaskazini kweli na sio kaskazini magharibi ya mwanza na mara....kule ni KANDA YA NYONYO!

Mtu akisema KASKAZINI dont get twisted na Kaskazini zote mbili ya mashariki na ya nyonyo mana Kaskazini ipo moja tu.
 
Hapa ninachokiona kinatafutwa ni ukanda tu hakuna kingine kwani hiyo mikoa haswa iko upande gani mwa Tanzania
 
Kama hiyo mikoa ingekua KASKAZINI kweli mbona inaitwa KANDA YA NYONYO na sio KANDA YA KASKAZINI ya Kilimanjaro & Arusha Featuring Tanga & Manyara???

Katika Ramani inaonekana ipo Kanda ya Kaskazini Magharibi na Kaskazini Mashariki ila kiuhalisia ipo KASKAZINI moja tu unless kama Nyonyo wanataka wajiunge nao Kaskazini ila tatizo nyota
 
Mbona jana kulikuwa na foleni kubwa sana sijawi iona aisee nilitukwa naelekea K/koo kuputia njia ya Buguruni - Ilala sasa ajabu kuanzia mabibo tabata na buguruni tulichukua Saa lizima Kwaiyo ushuhuda wako sio sahihi
 
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Barabara zote kuu magari yamejaa, hadi inakera kuendesha gari, naona Wtz wengi wanarudi vijijini kujumuika na jamii
 
Kama hiyo mikoa ingekua KASKAZINI kweli mbona inaitwa KANDA YA NYONYO na sio KANDA YA KASKAZINI ya Kilimanjaro & Arusha Featuring Tanga & Manyara???

Katika Ramani inaonekana ipo Kanda ya Kaskazini Magharibi na Kaskazini Mashariki ila kiuhalisia ipo KASKAZINI moja tu unless kama Nyonyo wanataka wajiunge nao Kaskazini ila tatizo nyota
Kwani kijana huko unajikosha kuna nini mpaka unaita kanda ya nyonyo mikoa mingine
 
Back
Top Bottom