Magari maarufu, yenye sura mbayaaaa..!

lkn hata noah imekaa kama kichwa cha nguruwe siriaz sijui kwann ziliundwa vile.
... we gfsonwin, yaani mi mwenyewe nikiwa ndani ya Noah yangu, najiona kama niko kwenye ndege...tena najihisi kama nakula kiti moto... ndio maana nalipenda LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimependa sana hii maada Tena bora mshkaji kasaidia kutoa na Picts kbs, kuna vigari vingine viliundwa mfano wa wadudu pori. Hata hivi vigari vinavyoitwa vya wa Tz ( vitz), sivipeeendi yaani we check ata ukiharibikiwa porin vibaka wanaweza kuvidondosha na kukuibia kila ki2
 
... we gfsonwin, yaani mi mwenyewe nikiwa ndani ya Noah yangu, najiona kama niko kwenye ndege...tena najihisi kama nakula kiti moto... ndio maana nalipenda LOL

ndugu yangu heri wewe mwenye hiyo NOAH mie hata kavitz sina ingawa ndo bingwa wa kunanga.
sijui ni fungu la kukosa lanisumbua?
 
mie naomba tu mtu ani uploadie nissan grande sijui niione tu hii gari. jamani ni tamu
 
attachment.php

Nikimkamata designer wake wallah napiga eti
 
Mie naipenda Nissan Xtrail tatizo tu kule nyuma kwa chini inakuwa kama ina p.u.bu
 
'nissan cube' na' fun cargo' zuna syra mbaya kama buti la jeshi
 
Back
Top Bottom