Magari maarufu, yenye sura mbayaaaa..!

kunajamaangu sinza anako akana bampa la nyuma ukikaona unaweza tapika.
mhhhhh! huyu sio msimamizi wa mirathi ya dr X aliyekuwa anamili mchuma wenye neno alilohitimishia mtoa mada 'BABA YAKO ANALO?' maana jina la mtaa unaoishi, wazee wenzangu watie neno, mi natunza akiba
 
Image287.jpg
Hiii imekaaa kama sanduku
 
Najua baadhi yetu tunamiliki magari haya, ila kwakweli dah.. hapana. Inapokuja kwenye sura, magari haya inabidi yaturudishie chenji. Yaani hayana mvuto kabisaa! Inaelekea hata walioyatengeneza hawakuamini kuna mtu angeyanunua!!

1. Toyota Will V. Hiki kigari mi sijui designer wake alikuwa anafikiria nini? yaani hata hakieleweki! Yaani ni kama uchukue vitz uikate makalio uunganishie VW beetle kwa nyuma!

View attachment 75324

2. Ford Ka. Ukikionan hiki kigari kwa mara ya kwanza unaweza ukaangua kicheko. Yani kama kimdudu flani hivi.. Kibayaa..!
View attachment 75325

3. Honda insight. Mtu unaendaje show room unachagua gari hii? Halafu ndio nyie mkishagundua mmeingia chaka baada ya mwezi mnaanza kutangaza kuuza. Nani anunue?
View attachment 75326

4. Nissan Cube: Hawa jamaa na wenzao Toyota Bb naona walikosa kazi. Nini hiki? Huyu designer ni wakufukuza kazi mara moja!!
View attachment 75327

5. Toyota prius: Hili tatizo ni kubwa! Hata sijui nisemeje..
View attachment 75328

6. Hiki nacho ni kituko kingine. Toyota Platz.. Yani vitairi vidogooo.. Mvuto sifuri. Wadada wanavipendaje?
View attachment 75329

7. Toyota Spacio. Jamani, hii gari ni kama walisahau kitu wakaja kukiongezea mwishoni..! Yani ipo ipo tu.. Na kuna nyingine inaitwa FunCargo ndio kichekesho kabisa..
View attachment 75331

8. Daihatsu Terios. Ni gari nzuri, ila shapeless! Halafu kembambaa.. yani mtu ukitaka kubadilisha mawazo inabidi upaki pembeni, utoke nje!
View attachment 75332

9. Christler PT Cruiser. Mi siongei. Jionee mwenyewe. Utadhani inajiandaa kupiga chafya!
View attachment 75333

10. Toyota Opa. The fact kwamba kila mtu analo, haiondoi ukweli kwamba huu mgari una sura mbaya kama nini!
View attachment 75334

11. Toyota Vista sedan. Bora wangeacha tu ile Vista Ardeo. Sasa hapa ndio wamefanya nini? Hata kama unayo, kubali hii gari haina mvuto!

View attachment 75335

13. Toyota Verossa: Hii gari ikiwa inakuja kwa mbele, unaweza ukadhani inatania. kumbe iko serious!! Cha ajabu watu wanaipenda
View attachment 75336

14. Hummer. Hivi hii midubwasha watu wanaipendea nini? Sawa, inauzwa gali, kwahiyo? Hata kipofu anaweza kuona jinsi hii gari ilivyo mbaya..!
View attachment 75337


"Babaako analo?"
Hahahahahahaha nmechekaa hatari...ndio anayo tena ma 3. Ila ka opah umekaonea kana show nzuri atleast. Aki ca cube kama boksi kwanza ukikaona tu hasira zinapanda from nowhere. Hahahaha
 
My dream car ni NISSAN X-TRAIL mwenye nayo atujuze fuel consumption na upatikanaji wa spare na gharama zake ukilinganisha na gari kama toyota carina.
 
we ji kusanye tu mkubwa kwani kila ukipendacho lazima kipendwe na wengine!!!!mi nina Funcargo na ninaipenda balaaa!!wife mwenyewe anataka nimnunulie nissan cube ndo mtima wake ulipo!!go for your choice!!!

Kumbe sijakosea kununua hii babywoka yangu!
 
Back
Top Bottom