Magamba angalieni hapa ndo mtajua nani mshindi Igunga!

Mbona kidogo sana hizo, siku ingine tunahakikisha tunatumia kama 300,000 kwa kila kura, uwezo tunao.
 
CHADEMA bana hawatumii nguvu nyingi,wanatumia nguvu kidogo na akili kwa wingi CCM wao na ulofa wao wa mawazo wanatumia nguvu mpaka za msaada,kwa jambo dogo tu CCM ni ma zero brain.

una mtindio wa ubongo ww.
 
ni lazima upate wasiwasi na uwezo wangu wa kufikiri maana hukutegemea kwamba kuna vijana wana uwezo wa kufikiri kama mimi..magamba yamekujaa hadi kwenye ubongo kijana...kwa kifupi ni kwamba tukirudi kwenye uhalisia tukichukua hiyo gharama yenu ya kura moja 113,275/= tukaigawanya na gharama ya cdm kwa kura moja 17177/= unapata 6.5...maana yake ni inabidi ccm yako itumie nguvu mara sita na nusu ya chadema ili iweze kumshawishi mtu mmoja akupe kura....just think brother!!!

Adolph we nyoko!
Unatisha sana mkuu, tunahtaj vijana analysts likeu 100x kwajl ya kuelimisha umma wa Watanzania. There after tutakuwa na Tanzania yenye kumjali mtu wa chini zaidi huku raslimali zetu nyingi tukizinadi kwa uchache wenye masrahi zaidi.
Tanzania bila Magamba sugu kama Kobe inawezekana, tuwaelimishe Mama zetu, vijana wenze2 wajiandikishe kwa wingi zaidi baaaasi tunakuwa tumemaliza kazi ya kumbandua kobe Gamba gumu. Ni rahisi na inawezekana zaidi cha msingi ni kutia nia na kujitolea.
Binafsi nakawaida ya kwenda kijijini kwetu 3x per annum na sasahivi my compain ni kuelimisha watu 100 hasa akina mama na vijana make akina mama ndo wanaodumu zaidi Tanzania na vijana kila leo wanatimiza umri wa kujiandikisha na hatimaye kupiga kura.
Na ntakuwa nafanya review na feedback za huduma niliyotoa weekly ili kuwakeep wanakijiji actve ya kile nilichowaelimisha!
Sas imagine inamaana nikirudi mara3 ndani ya mwaka mmoja inamaana mpaka the year 2015 ntakuwa nimeelimisha vijana na kinamama karibu Jimbo zima watakuwa aware na elimu ya uraia na nn maana ya demokrasia.
Wakati huo najiandaa kuchukua Jimbo langu kutoka mikononi mwa Mafisadi Magamba wanaotegemea Vote kwa Wajinga.
CDM tutachukua madaraka ya Nchi hii coz we are strategic.
JF let's keep fire blazing!!!
 
Hawa ndio great thinkers wa ukweli ................mzee big up sana unajua kucheza na data
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom