Magamba angalieni hapa ndo mtajua nani mshindi Igunga!

mzee you are very creative. ccm kinaleta aibu tu ktk zama hizi ambazo watu wameenda shule. huwezi kuwa mtu makini halafu ukabaki ccm, ndo maana watu kama j. makamba, nauye, sita, mwakyembe, mwandosya, lembeli nk huko waliko siko wanakopaswa kuwa. matokeo yake wanamponza mtu anayeheshimika sana john magufuli kuwa msanii anayesoma bajeti ya daraja la mbutu hadi asubiri rostam ajiuzulu. john magufuli wanakushushia hadhi maana wewe ni dk,
 
CHADEMA bana hawatumii nguvu nyingi,wanatumia nguvu kidogo na akili kwa wingi CCM wao na ulofa wao wa mawazo wanatumia nguvu mpaka za msaada,kwa jambo dogo tu CCM ni ma zero brain.
 
Interpretation yake ni kuwa: CCM & CUF ni wahujumu na CUF ndo imezidisha zaidi!
CDM is a very economical political party. Big up Peopleees Power!
 
AkiROSTAM mbunge mwingine wa magamba itabidi kada fulani ikose mishahara mwaka mzima, hata cost za chadema bado nyingi,zinahitajika mbinu sio mashindano.
Hizo bil 3 wangetatua tu kero za Igunga baada ya rostam kuacha uchwara wasingepiga hata kampeni,
kweli masaburi!
 
ooh! Mkuu @Adolph...you're making my day going safi coz of yr lovely analysis...
May GOD BLESS YOU!
 
sijapata kuona ....brilliant analysis..... you had enter a variable into vote analysis register!
 
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......

source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania

ok,kwa hiyo unashauri nani aende mjengoni na kaapishwa,kati ya Kafumu na Kashindye?
 
mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
Usiwe mvivu wa kusoma, mbona mtoa mada kaweka sources tatu??check line ya mwisho ya mtoa mada au unataka sources za aina gani??
 
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=

kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......

source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania

Nimepata wasiwasi na uwezo wako wakufikiri . Kwani kuna thread humu ndani jana iliweka wazi kuwa tulichokuwa tunatafuta sio habari ya gharama wala kujua idadi ya kura ni kupata mbunge. Kwa hiyo aliyopata Mbunge ndio ametimiza lengo lake. Na isitoshe usiilinganishe CCM na cdm kwenye pesa. CCM wao wana vyanzo vingi vya mapato kwani wana rasilinali nyingi sana, kwa wao Tshs 3bn ni ndogo, na imewaathiri kidogo ikilinganishwa na cdm ambayo imetumia tshs 400mn na imevunja benki ambapo akaunti zake zote nyeupeee hazina kitu hivi sasa wanatembeza bakuli.
 
ok,kwa hiyo unashauri nani aende mjengoni na kaapishwa,kati ya Kafumu na Kashindye?

acha kuwa "mgumu kuelewa rahisi kusahau"...tuliza akili kijana mbona unakurupuka??
 
Siku imeisha vizuri.
Safi sana kama watu wanakuwa na takwimu nzuri namna hii.

CAG ameisha audit kumbe , duh basi ni hatari ! mbona haraka hivyo ame audit wakati uchaguzi umeisha juzi tu na watu bado hata machozi hayajaisha kwa kukosa ubunge na kupoteza tshs 400mn ambazo zimefanya chama kufilisika
 
Nimepata wasiwasi na uwezo wako wakufikiri . Kwani kuna thread humu ndani jana iliweka wazi kuwa tulichokuwa tunatafuta sio habari ya gharama wala kujua idadi ya kura ni kupata mbunge. Kwa hiyo aliyopata Mbunge ndio ametimiza lengo lake. Na isitoshe usiilinganishe CCM na cdm kwenye pesa. CCM wao wana vyanzo vingi vya mapato kwani wana rasilinali nyingi sana, kwa wao Tshs 3bn ni ndogo, na imewaathiri kidogo ikilinganishwa na cdm ambayo imetumia tshs 400mn na imevunja benki ambapo akaunti zake zote nyeupeee hazina kitu hivi sasa wanatembeza bakuli.

ni lazima upate wasiwasi na uwezo wangu wa kufikiri maana hukutegemea kwamba kuna vijana wana uwezo wa kufikiri kama mimi..magamba yamekujaa hadi kwenye ubongo kijana...kwa kifupi ni kwamba tukirudi kwenye uhalisia tukichukua hiyo gharama yenu ya kura moja 113,275/= tukaigawanya na gharama ya cdm kwa kura moja 17177/= unapata 6.5...maana yake ni inabidi ccm yako itumie nguvu mara sita na nusu ya chadema ili iweze kumshawishi mtu mmoja akupe kura....just think brother!!!
 
Mkama Jana kapinga na kukataa katu katu kwamba eti CCM haijatumia 3bln - kaita eti uzushi mkubwa wa wapinzani hasa CDM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom